mbarali

Mbarali District is one of the seven districts of Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Iringa region and east by Njombe region. To the south the district is bordered by Mbeya Rural District and to the west by Chunya District.
In 2016 the Tanzania National Bureau of Statistics report there were 331,206 people in the district, from 300,517 in 2012.: 97 : 118 Mbarali district is the most famous area for rice farming. The district is home to Kapunga rice project and Mbarali estate. The district hosts a very famous wetland called Ihefu, as well as the Usangu plain. Ruaha National Park is within the district to the north side.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbarali: CHADEMA Digital yaambatana na nyama choma

    Katika oparesheni kabambe inayoendelea ya kutokomeza CCM Mbarali , kikundi cha Diaspora kikiongozwa na TL Marandu kimenunua Zizi la Mbuzi kwa ajili ya nyama choma ya Watenda kazi hiyo ya kuteketeza ccm , kazi inayoongozwa kikamilifu na Liberatus Mwang'ombe. Wakati CCM wakilogana kugombea nafasi...
  2. Mbarali: Kampeni ya kuifuta CCM yafika vijiji visivyofikika , Liberatus Mwang'ombe aongoza kikosi cha ufutaji

    Hali ndio kama mnavyoiona Aliyekuwa mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali kwa tiketi ya Chadema, ndugu Liberatus ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram kuhusu wanachoendelea kukifanya huko katika kusajili wanachama kidigitali. Ameandika "Hii ni kata ya Miyombweni, Mbarali. Unaendesha barabara...
  3. M

    Wilaya ya Mbarali imekuwa ikitoza ushuru wakulima bila kuwatengenezea barabara

    Moja Kwa Moja kwenye mada; niwapongeze wilaya ya Mbeya vijijini waliohusika na ujenzi wa Barabara ya Inyala -Malamba kupitia hospitali ya wilaya iliyopo Inyala Hadi stesheni ya Tazara Kijiji Cha Malamba. Barabara hii haijawahi kutengenezwa toka mwaka 1970 wakati wa ujenzi wa reli. Barabara hii...
  4. Wanawake wanajua kupiga shangwe, Bahati Keneth Ndingo aapa kiapo cha uaminifu jimbo la Mbarali

    Leo bungeni, mbunge wa Mbarali ameapa kiapo cha uaminifu baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa Mbarali. Jimbo hilo liliingia kwenye uchaguzi mdogo baada ya aliyekuwa mbunge wake, Francis Leonard kufariki dunia Julai Mosi, 2023. Wabunge wanawake wa chama cha mapinduzi walijifunga kibwebwe na...
  5. Wilaya ya Mbarali (Tanesco) inaongoza ukataji wa umeme Tanzania!

    Ni kweli kwamba kuna shida ya umeme Tanzania ila wilaya hii inaongoza kwa kukatiwa umeme, unaweza kuona siku nzima hakuna umeme au umeme unaletwa usiku wa manane nao sio zaidi ya masaa matatu au manne. Kinachonishangaza halmashauri ya Makambako na Mbeya mjini umeme unakuwepo but hii halmashauri...
  6. Pole sana Kocha Mkweli, Mweledi na usiyepokea Rushwa Zuberi Katwila, tulijua tu usingedumu Ihefu FC kwa Kuchukiwa na Uliowaadhibu mara mbili Mbarali

    Uwezo wako tunaujua ni mkubwa mno na sababu kuwa Umeondoshwa Ihefu FC kama Kocha Mkuu na Kurithiwa na Mganda Kocha Moses Basena leo kutokana na Poor Performance ya Timu ya Ihefu FC ni Uwongo na GENTAMYCINE sikubaliani nayo. Kocha Zuberi Katwila ( Legend wa Msasani Magunia ) ukiwa na Maswahiba...
  7. Ushindi wa kishindo wa CCM Mbarali, ni fursa kwa upinzani kuwa mguu sawa

    Ushindi mkubwa wa kishindo walioupata CCM katika jimbo la mabara-Jijini Mbeya, ni ishara njema ya kukubalika, kuimarika na kuaminika kwa chama cha mapinduzi kwa wananchi na uhakika wa kushinda chaguzi zijazo. Lakini pia uchaguzi huo ni fursa muhimu zaidi kwa upinzani kujipima, kujitathimini...
  8. J

    Uchaguzi Mdogo Mbarali: Bahati Ndingo ashinda Kiti cha Ubunge

    #CCM BABA LAO, Matokeo ya uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya yametangazwa, Mgombea ubunge kupitia CCM Bi. Bahati Ndingo ameibuka mshindi kwa kura elfu 44,334 dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka chama cha ACT Wazalendo Bw. Dickson Kilufi, aliyepata kura...
  9. Mbarali: ACT WAZALENDO waanza kutekwa

    Maandiko matakatifu kwenye vitabu vyote vya Mungu yameandika kwa msisitizo kwamba SHETANI HAJAWAHI NA WALA HATOKUJA KUWA NA RAFIKI . Hata hivyo kutokana na maslahi binafsi , tamaa na njaa , Wanadamu wanajifanya hawaoni mambo haya Naipongeza sana Chadema kwa kukataa huu ujinga unaoitwa...
  10. Rais Samia arudisha matumaini Mbarali

    Ni kuhusu mgogoro wa ardhi katika eneo la Bonde la Mto Usangu. Akubali Wananchi kuendelea kulima Na MWANDISHI WETU, Mbarali MAKAMU Makamu Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...
  11. Polisi Mbeya: Ulinzi waimarishwa kuelekea uchaguzi mdogo wa Ubunge Mbarali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Mbarali. Akizungumza na vyombo vya habari leo Septemba 18, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amesema, "Vikosi vyote vya...
  12. Uongozi UWT Taifa Wanena Mazito "Bahati Ndingo Apewe Kura za Kishindo Jimbo la Mbarali"

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda akiambatana na Makamu Mwenyekiti Zainab Shomari wakimuombea kura Mgombea wa CCM Jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya Bahati Ndingo katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Ubaruku. Akizungumza katika Mkutano wa Hadhara ,Mwenyekiti Chatanda amewaomba...
  13. R

    Mbarali wamegoma kumsupport Mizengo Pinda uzinduzi wa kampeni za Ubunge

    Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa: Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili...
  14. Nafasi za muda za kusimamia uchaguzi mdogo Mbarali

    Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mbarali ametangaza zaidi ya nafasi 1200 za kusimamia uchaguzi mdogo utakao fanyika tarehe 19/ 09/ 2023. Chonde chonde wapinzani msisusie uchaguzi vijana tupate posho.
  15. Uchaguzi mdogo wa mbunge Mbarali

    Habari na poleni na majukumu! Mchakato na Harakati za UCHAGUZI mdogo wa mbunge Mbarali umekamilika baad ya vyama shiriki kuteua Mgombea wao CCM Wana BAHATI NDINGO ACT WAZALENDO MBUNGE WA ZAMANI MH.KIRUFI N.K Swali Je Mbarali anatakiwa kuwa mtu wa namba gani ? Hilo swali ndo Mbarali wanakosea...
  16. Mbunge Bahati Ndingo Ateuliwa Kugombea Ubunge Mbarali

    Mbunge Bahati Ndingo Ateuliwa Kugombea Ubunge Mbarali Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua, Bahati Ndingo kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mdogo jimbo la Mbarali mkoani Mbeya. CCM imetangaza mgombea wa kukiwakilisha chama hicho katika uchaguzi mdogo wa...
  17. CCM Yamteua Bahati Keneth Ndingo kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali, Mbeya

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM a Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekutana katika kikao chake maalum, kilichofanyika Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma, leo Alhamis, Agosti 17, 2023. Pamoja...
  18. Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

    Wakuu maisha ni kushare love. Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo. Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta Kama Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya. Wilaya ya Mbarali ina fursa jumuishi nyingi Sana lakini kubwa...
  19. TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

    Salaam, Mbunge wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya kupitia tiketi ya chama cha CCM, ndungu Francis Leonard Mtega amefariki dunia leo. Update zote kuhusu maziko, ugonjwa na msiba nitaleta hapa.. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Innalillah wainna ilayhi rajiuun. === Kupitia...
  20. B

    RC Homera na ziara ya kikazi wilayani Mbarali

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera atafanya ziara wilayani Mbarali kesho Jumatano Juni 07, 2023 ambapo atakagua mradi wa umwagiliaji wa Uturo Isenyela wenye thamani ya Bilioni 13.9, kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Mapogolo, kufanya kikao cha Baraza la Madiwani kujadili taarifa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…