Uchaguzi mdogo wa mbunge Mbarali

Sanyambila

JF-Expert Member
Jan 24, 2018
339
457
Habari na poleni na majukumu!
Mchakato na Harakati za UCHAGUZI mdogo wa mbunge Mbarali umekamilika baad ya vyama shiriki kuteua Mgombea wao CCM Wana BAHATI NDINGO ACT WAZALENDO MBUNGE WA ZAMANI MH.KIRUFI N.K

Swali Je Mbarali anatakiwa kuwa mtu wa namba gani ? Hilo swali ndo Mbarali wanakosea huwa wanapitia kipindi kigumu na wasemaji wao au wawakilishi hukaa kimya kwa mwavuli wa Busara. Lakini ikifika wakati wa UCHAGUZI njaa njaaa njaaa zinawaponza Tena pesa zinamwagwa kipindi Kama hiki hatari ila inasemeakana tu chezea njaaa

Sasa Kioja: Mteule alikuwa bungeni analipwa kila kitu sawa n mbunge wa kuchaguliwa 90% labda tu kuwa kiongozi wa kamat za bungeni, kuwa waziri n.k

Katelekeza Uviti maalumu kaja kugombea 😅😅😅😅😅 hivi Mbarali labda wakashtuka usingizini Mara paaa wakamchagua mtu mwingine atafanyaje? Maana Uviti maalumu utakuwa umeenda, ubunge umeenda
Tamaa ilimponza Fisi.

Jambo hili inavyosemekana baadi ya makada wamemshawishi mbunge wa ZAMANI mh. Kirufi achuukuwe form kupitia ACT WAZALENDO ILI WAMCHAGUE YEYENA KUMWANGUSHA HUYU MWENYE TAMAA.

FACT: HUYU MGOMBEA WA KIJANI ALIKUWA BUNGENI KIPINDI CHOTE MBARALI WAKIPITIA WAKATI MGUMU AKIWA PAMOJA NA MWENDAZAKE MH. METEGA ...... Mpaka Mbarali wakawa wanasemewa nabkutetewa na mbunge wa makete wao wpo bungeni hivi Leo Ana kipya gani na alikuwepo BUNGENI 3yrs still nothing did.

Huko Mbarali lawama zote zipo kwenye chama Chao kikuu kuwa wajumbe wao wanapenda FEDHA za aibu kuliko Maslahi ya wananchi.hao wajumbe

Kutoka List ya watu 25 Mbarali wanaletewa huyu mbaye ni yule yule MBARALI NANI AMEWAROGA?

MATATIZO MAKUU MBARALI MPAKA SASA
1. ENEO LA KUFUGIA MIFUGO YAO WAFUGAJI WANAHAMISHWA HAMISHWA KILA WAKUU WATAKVYO JISIKIA
2. MIPAKA YA HIFADHI NA MAKAZI NA MASHAMBA YA WATU MGOGORO HUU HAUJAISHA MAANA HAKUNA SHERIA ILIYO TUNGWA MPAKA SASA KUUTAMBUA MPAKA MPYA
3. SOKO LA MCHELE IGAWA LINAHITAJIKA
4. KUIGAWA MBARALI KUWA WILAYA MBILI MAANA NI KUBWA SAANA.

MBARALI WANAKWAMA KWA MBUNGE TU

MKURUGENZI NA MKUU WA WILAYA WAPO VIZURI SAANA.

MBARALI INA ANGUSHWA NA WABUNGE MBARALI WAWE MAKINI KWENYE UCHAGUZI
WANANCHI CHAGUENI MTU MWINGINE HATA KAMA NI KOTI TU ILA ASIWE CCM MTANISHUKURU BAADAYE MAANA NDO WATAONGEZA UMAKINI AWAMU NYINGINE.
SASA AMEKUFA KOBE ANAINGIA KINYONGA (REFERENCE YA SPEED)

MBARALI MNAKWAMA WAPI
MBARALI INATAKA MPIGA KELELE KAMA DEO SANGA WA MAKETE SIYO WAKAA KIMYA KAMA WAPO MADHABAHUNI,

IPO SIKU MTAAMBIWA MBARALI HAIPO KWENYE RAMANI NA MIPAKA KILICHOPO NI BONDE LA USANGU AMBALO NI POLI LA WANYAMAA MTASEMAJE TAFUTENI WA BUNGE WAZURI WAWAPIGANIE EEEEEEH

NABII MPITA NJIA NAELEKEA MACDONIA
 
Screenshot_20230820-114004_1.jpg
IMG-20230813-WA0003.jpg
 
Mtajuana wenyewe huko huko. Sisi tuko busy kuioambania bandari kabla haijachukuliwa mazima na Waarabu.
 
Back
Top Bottom