mbali

Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabilioni ya pesa yanayotafunwa na wachache yangetumika kundeleza wabunifu tungekuwa mbali sana

    Utangulizi Katika kukua kwangu, nimebahatika kusikia na kushuhudia wabunifu wengi katika nchi yetu. Mfano: Kuna mtu alitengeneza umeme wa kinyesi, mwingine gari, mwingine ndege inayoruka kwa injini ya piki piki, mwingine stesheni ya redio na wengine kibao. Imekuwa ni historia katika nchi yetu...
  2. JamiiForums Tanzania Rayvanny angalia usidumbukie aliponasa Harmonize. Jifunze kukaa mbali na fungu la kukosa

    Rayvanny wewe ni brand kubwa umebeba image ya makampuni makubwa yaliyokuamini yakaweka hela ya kutosha. Dunia nzima inajua Paula na mama yake ni fungu la kukosa hawana nyota ya pesa na ukikaa nao karibu lazima uzame. Ulifanya vizuri kuwakataa wale matapeli wa mjini. Tanzania nzima inajua...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta afutilia Mbali wito wa Kustaafu Siasa baada ya Kutishwa na “Wasiojulikana”

    Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta, jumatatu hii ametupilia mbali ushauri na maoni ya Viongozi mbalimbali waliotaka astaafu Rasmi siasa za Kitaifa Nchini humo. Picha: Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta Akizungumza kwenye halfa moja ya Kitaifa ya Chama Cha Jubilee iliyofanyika jumatatu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Vilinge vilivyothibitishwa maeneo mbalimbali nchini

    Naomba uzi huu uwe natija kwa wote watakao itaji huduma kutoka kilingeni. Na wale ambao wataleta habari sijui za yesu, Mungu na wengine mara sijui nini, huu uzi sio wao maana hayajawakuta. Naomba nimpe pasi honorable Dr Mshana Jr awezeku-share nasi vilinge mbali mbali anavyovifahamu kutoka...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Simba km mnataka kufika mbali msimu ujao faya hivi.

    1) Fumua timu yote. Wakubaki hawazidi 8 nao wapigwe mkwara. Mfano inonga anazidisha mbwembwe kwenye wakati usio muafaka. 2) Fumua benchi lote la ufundi. Hakuna kocha hapo. Kocha anashindwa kusoma mchezo na wechezaji. 3) Simba waache nyimbo za kujipanga kila msimu. Wao Kila msimu ukikaribia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kusema Ukweli Rais Samia amemzidi mbali sana Hayati Dr. Magufuli

    Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao. Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao...
  7. JamiiForums Tanzania Jipatie pdf (softcopy) za mazao mbali mbali

    Salaamu Karibu ujipatie PDF za mazao mbali mbali, Zipo PDF za mazao 11 (1. Viazi Mviringo 2. Hoho 3. Tikiti Maji 4. Vitunguu Maji 5. Parachichi 6. Kabichi 7. Pilipili Kali 8. Karoti 9. Bamia 10. Nyanya, 11. Tango). PDF zimeeleza kila kitu unachohitaji kujua kuhusu zao husika, kuanzia...
  8. JamiiForums Tanzania Tafadhali niko mbali naombeni 'Updates' za Msiba wa Mzee Nimrod Elirehema Mkono

    Hasa hasa nataka kujua ni lini Mwili wake unaingia kutokea huko Jijini Boston nchini Marekani alikokuwa na alikofia. Na pia kama ukifika nataka kujua je, utapelekwa moja kwa moja Mortuary Lugalo au Kwake Masaki kwa taratibu zingine Kuendelea? Tafadhali kama utapelekwa Kulala Mortuary ya Lugalo...
  9. JamiiForums Tanzania Nini maana ya kesi kutupiliwa mbali kisheria?,na je ikiwa imetupiliwa mbali haiwezi kufunguliwa Tena?

    Ninaomba ufafanuzi wa kisheria maana ya kesi kutupiliwa mbali na je ikitupiliwa mbali haiwezi funguliwa Tena?,na kama ikifunguliwa tena mnaanzia pale mlipoishia au inaanza upya Tena.?.Asante I.
  10. JamiiForums Tanzania ATCL Kaa Mbali na Ushirikiano na KQ

    Kwenye habari za Channel 10 ya Saa 1:00 jioni leo tarehe 19/ 04/ 23, kuna habari inayosema ATCL ina mpango wa kushirikiana na Shirika la Ndege la Kenya maarufu kama KQ. Kama habari hii ni ya kweli, nashauri Watanzania tukemee mipango hii kwa vile uzoefu unaonyesha ushirikiano hauna tija Kama...
  11. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni masikini usicheze mbali na hizi course

    Mtoto wa masikini course zake zinajulikana. Ni udaktari Kilimo na uvuvi Ukizidi Sana ualimu wa kingereza au science Mtu unasoma HR hata sehemu ya kujitolea kupata tu ni mziki mnene kuzidi hadi ule wa disco sound Watu wanaumwa kila siku magonjwa kibao madaktari wanatafutwa huku kwenye Elimu...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kufutilia mbali vyama vya upinzani vilivyopo ili kuleta mapinduzi ya siasa Tanzania

    Habari wakuu, hamjambo? Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi. Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana kitu cha ziada atafika mbali Sana

    Mwanzo mimi ni moja ya watu ambao sikuamini kwamba Rais wetu mpendwa atatuvusha katika utawala wake. Lakini baada ya kuzitazama tawala zote 6 toka tupate uhuru pengine Rais Samia kwa mtazamo wangu ni Rais mwadilifu baada ya Hayati julius Nyerere. Ndiye rais ambaye hana makelele na hotuba za...
  14. JamiiForums Tanzania Eid haiko mbali na sisi tutalipa kisasi

    Yote sababu ya pilau😁
  15. JamiiForums Tanzania Vidonda vya tumbo vinaanza kurejea, nifanye nini kukabiliana na changamoto hii?

    Msaada, Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa na vyakula ambavyo natakiwa nisitumie na mpangilio wa kula, kweli nikafanya hivyo baada ya miezi...
  16. JamiiForums Tanzania Jezi ya nyumbani ya Yanga inakitu, Yanga itafika mbali

    Kama mashindano ya CAF yanaruhusu kuvaa jezi ya nyumbani hata ukiwa ugenini, basi ni vyema Yanga wakawa wanaitumia jezi za nyumbani hata wakiwa away kama tu jezi hazifanani na aliyeko kwake. Yanga wakivaa zile jezi, wanakuwa na morali na hali ya juu, wanakuwa na kiwango kikubwa cha kufanya...
  17. JamiiForums Tanzania Ili mfike mbali kimahusiano na yawe yana tija, inatakiwa robo tatu (3/4) ya matarajio yenu yawe yanafanana

    Mahusiano sio kitu rahisi Wengi wanaamini kufanya tendo la ndoa ndio mahusiano, hilo si kweli; mahusiano ni zaidi ya tendo. Mahusiano ni sawa na kuunganisha kampuni A na B, zenye mitazamo tofauti, na hatimaye kujiwekea makubaliano kwa vile vitu mnavyofanana na kutengeneza kampuni mpya C...
  18. JamiiForums Tanzania Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

    Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi. Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha. Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume...
  19. JamiiForums Tanzania Tukiachilia mbali umasikini /ufukara wa wazazi wetu ilishawahi kujiuliza unakwama wapi?

    Umasikini si ukilema ila ni hali ya kukosa mambo muhimu ambayo mtu unayahitaji katika maisha yako ya kila siku ,japo wapo watu wanajaribu kusema masikini ni kilema ila anaekosa hayo mambo muhimu anaitwa fukara,siwezi kubisha ila mtazamo wangu umependa kuamini nivyoamini. Nimeona kwa asilimia...
  20. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itumie zaidi wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kufanya tafiti na kuchapisha maandiko kama tunataka kufika mbali katika tafiti

    Kama kweli serikali ina mpango wa kuhamasisha wanazuoni wa vyuo vikuu vya Tanzania kufanya tafiti na kuchapisha maandiko katika majarida makubwa ya kimataifa, napendekeza yafuatayo: 1. Serikali itenge fedha kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kila mwaka kama mataifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…