mbali

Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto, Raila waungana kutupilia mbali uamuzi wa Mahakama ya Juu kutetea Haki za Wapenzi wa Jinsia Moja

    Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio Raila Odinga wote wamejitokeza leo kukosoa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu usajili wa vikundi vya ushawishi vya LGBTQ. Pamoja na Naibu Rais Rigathi Gachagua, wamepaza sauti ya kisiasa kutupilia mbali uamuzi uliotolewa na mahakama kuu Februari 24 wa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ewe Dereva hasa mgeni wa safari ndefu, ukikuta kuna mtoto ama mtu katikati ya barabara eneo ambalo ni porini usithubutu kupita pembeni

    Weka pembeni mambo ya movies, haya mambo ya mauza uza yapo kitambo, yapo hata katika biblia na kuran na tumeonywa tusiyachukulie poa. Sio stori ni vitu real hivi, upo zako kwenye safari mara paap! kuna kitoto ama mzee yupo katikati ya barabara, tena yupo katikati sehemu ambayo akilini kmwako...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Simba ili iendelee kaeni mbali na viongozi wa CCM

    Hii mada nilikuwa nataka niielezee kwa upana ila nadhani kwa ufupi itajitosheleza. Timu za Simba na Yanga zimebeba mioyo ya asilimia kubwa ya Watanzania. Wote tunajua inayosemekana ni historia ya Yanga katika siasa za nchi hii. Sitaingia sana huko ila uthibitisho upo na ni mkubwa kuwa mpaka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mipira ya mbali

    Wasalaam, Ukifanya kauchunguzi kadogo kwa familia nyingi zenye uchumi imara (achana na accidental millionaires), utagundua kuwa ni mipira ya mbali iliyopigwa au kuchezwa na watangulizi wa familia hizo. Mipira ya mbali huchezwa na wajasiriamali wachache sana hapa duniani. Kwetu hapa ni...
  5. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni timu masikini kifedha

    Nimeangalia game ya Mamelody Vs Cotonsport. Mamelody wametimia kila idara aisee. Wachezaji wapo sawa kuanzia akili na miili.nimefatilia nikagundua wachezaji wa Mamelody sio wachezaji wa bei rahisi na wa kuokoteza. Timu masikini azifiki nusu wala fainali CAF, kufika huko ni lazima kwanza kikosi...
  6. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Ukimwangalia kwa Mbali hivi unaweza sema ni Mnafiki...

    Mtanzania ni mtu ambaye kwa kweli ni ngumu sana kujua anataka nini. Watanzania wengi kama si wote. Ashamum si matusi. Wamejawa na Unafiq wa SGR. Kama ni barabara basi kiwango cha Lami. Tena Lami ya miaka yetu ile inatengenezwa na Kajima au Konoike. Mtanzania unaweza ukamwona kwa mbali...
  7. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Wenye kuhudumia harusi tupeane mbinu kwenye masoko mapya

    Habari zenu wakuu, Leo naomba kuzungumza na wahudumu wa harusi nchini kote, ikiwahusu wanaojitafuta na wale ambao tayari wamejipata kwenye niche hii ya harusi, hii ikijumuhisha watu wa mapambo, washereheshaji, muziki, tarumbeta, nguo, picha, chakula na vinywaji, saloon n. k Naomba kuuliza...
  8. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Musonda weka mbali na watoto

    Jana nimeangalia mechi Yanga vs Namungo nimekubali Musonda anajua. Namungo hawakuweza kumkaba Bali kumshika jezi tu jamaa anapepea hakamatiki! Tumfundishe Musonda kuwa akishikwa na beki awe anaanguka asiende!! Tupate Faulo au penati mechi ya Simba maana hawataweza kumkaba! Morisson awe mentor...
  9. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kujenga nyumba ya kupangisha? Usikose hii

    Habari . Vitu vya kuzingatia, -privacy -comfotability -Flexibility -Security -saving of space n.k Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia Tunachora raman za nyumba tunapatikana kwa namba 0743257669 tucheki WhatsApp
  10. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tengeneza CHAWA wako ufike mbali zaidi kisiasa. Usidanganywe, uchawa ndiyo siasa za kileo nchini

    Kwa Tanzania ya leo kisiasa ni Uchawa tuu. Hakuna jipya! Usitegemee chawa wa mwenzako, tengeneza wako. Ukilielewa hilo, 2025 haitakupa shida!
  11. S

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Enyi wastaafu kaeni mbali kabisa na ‘motivation speaker’, mtanikumbuka

    Usifanye biashara kwa hela ya kustaafu kama hujawahi fanya biashara, ili usipate magonjwa ya moyo, pressure, kupooza nk. Ni mara kumi upambane na wapangaji akishindwa lipa utasamehe ataingia mwingine, utaishi. Mzee wangu tangu astaafu ana miaka 27 kwa afya tele, shida tu pressure ya macho...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Taifa na CCM yako hongera kwa Kuachana na ‘afadhali’ Shaka na Kutua kwa ‘Potelea mbali kabisa’ Sofia

    Endeleeni tu Kudhani kila mahala Mwanamke anafaa na kwamba Watanzania wa mwaka 2025 ili wapige / wampigie Mtu Kura wanataka kuona Lundo la Wanawake katika kila Sekta. Bora kule Kwingine kwa Wapokea Mishahara kila tarehe 21 au 22 ya Mwezi na ile ya Chakula kila tarehe 30 au 31 ya Mwezi ulishtuka...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo katika maboresho ya utalii: Wazo la Royal tour iende mbali zaidi kiasi cha kumfikia kila mtu

    Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa. Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu. Hatua hii ya...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali ilitizame upya suala la watumishi kukaa mbali na familia zao

    Mimi ninaomba kuwepo na utaratibu wa kuangalia uwezekano wa wanandoa ambao ni watumishi wa umma kukaa karibu na familia zao. Ndoa nyingi sasa hivi zipo mashakani kwa sababu ya kazi mfano unakuta mama Ni mwalimu Bukoba, halafu baba naye yupo Mtwara. Na mifano mingine tunaona hata utendaji tuu wa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo katika maboresho ya utalii: wazo la Royal tour iende mbali zaidi kiasi Cha kumfikia kila mtu

    Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa. Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu. Hatua hii ya...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliopanda kitorori kwenda bungeni watafute mashamba 2025 si mbali

  17. Zulu Man Tz

    JamiiForums Tanzania Overview of Cryptos Asset Regulation in Sub-Saharan African Countries

    Ukuaji Wa Soko la Cryptocurrency Africa unahitaji Utaratibu Mzuri. Heri ya Mwaka Mpya 2023 wana JF 🙏💜 Utafiti uliofanywa na Chainalysis unonyesha kuwa, Bara la Africa ni ya 1 kwa ukuaji Wa haraka kwny soko la Cryptos Ulimwenguni lakn imekuwa ikifanya mihamala michache kwa makadilio jumla ya...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba ule Wimbo wa Zablon Singers wa Umetutoa mbali uwaendee waliochukizwa na Ushindi wangu

    Naomba mkiwa mnausikiliza huku mkiwa mmenuna mjipige Makofi Makali.ya Usoni mjiongezee Maumivu sawa?
  19. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo za Rhumba huwa zinanikumbusha mbali sana

    Hizi nyimbo za rhumba huwaga zinakumbusha mbali sana Mayaula mayoni- Mbongou Diblo Dibala- Machete Papa Wemba yolele Extra music- Shalai Extra music- Losambo General defao- Famile kikute Kanda bongoman- Elisabeth
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran: Kikosi cha kidini chavunjiliwa mbali, na pia sheria kandamizi za kidini kuondolewa

    Sheria za kiislamu za wanaume kuhangaika na nywele za wanawake, zitaondolewa na pia kikosi kilichokua kinafukuzia nywele za wanawake kimevunjiliwa mbali....labda hii itapunguza maandamano maana wananchi bado wamekomaa.. ================ Iran’s Attorney General Mohammad Jafar Montazeri said...
Back
Top Bottom