mbadala

  1. RMK Freelancers Agency

    Njia nyingine mbadala ya kupata wazo la Biashara(Business Idea)

    Kama unatafuta business idea, angalia kwanza ni biashara gani wageni (foreign investors) wanaanzisha nchini, Kwanini nasema hivi? Kwa sababu ÷ • Mara nyingi hawa wageni kutoka nje hutumia 6–12 months kufanya market research kabla ya kufungua biashara. Kwa kuangalia tu wanachofanya, unapata...
  2. Dalton elijah

    Je, unaujua utaratibu wa kupata cheti mbadala kwa waliopoteza vyeti?

    Sikiliza Maelezo kutoka kwa kamishina Kutoka necta mda akiulizwa swali na Naibu waziri wa Elimu Wanu Hafidh Mara baada ya kutembelea Necta Soma: PostGE2025 - Waziri Mkenda na Wanu, wasisitiza kuendeleza mageuzi sekta ya elimu
  3. R

    Upinzani haumalizwi Kwa mkono wa chuma, bali Kwa njia mbadala kisayansi na kisaikolojia Kwa wahitaji wa upinzani wenyewe!

    Kutumia mbinu za kijima yaani mkono wa chuma Kwa kizazi kipya ni ku expose uzembe wa idara ya taifa husika katika kusoma alama za nyakati plus mahitaji ya kizazi husika! Tambiko hubadilika kutokana na mahitaji ya nyakati na kizazi ili kuepuka madhara makubwa Kwa taifa! Kama ccm ndio Tambiko...
  4. S

    Kama serikali imeshindwa kuendesha mfumo wa ESS , bora waufute au kuwe na mbadala in case mfumo unafeli

    Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo. Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na mbadala pale mfumo huu unapofeli kwani unakwamisha sana mambo ya watu na kwa sasa unageuka kero badala ya...
  5. Mookiesbad98

    Mkandarasi Kings Ltd tengeneza njia mbadala unapojenga barabara

    Hili ni kumbusho kwamba Kings umeshinda tenda zote za ujenzi hapa dsm onesha uwezo wako kwa ujenzi wa barabara kuwa wa viwango na uishe kwa wakati kwani umezua taharuki kubwa hasa maeneo ya kilongawima mpaka mbezi jangwani beach. Ni takwa la. Kisheria na kitendaji unapochepusha barabara basi...
  6. funaku

    Waziri Makonda anzisha sera ya mitandao mbadala wa instagram na tiktok Tanzania

    Najua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
  7. The Palm Beach

    Maria Sarungi Tsehai: Treni ya SGR inahujumiwa. Yaharibika usiku huu Ruvu Station, abiria wanatembea zaidi ya 6KM kupata usafiri mbadala..!!

    SGR inahujumiwa waje wapewe wakezaji - na safari hii watapewa Warusi si wachina wallahi! LEO JIONI Treni hii limeharibika RUVU PORINI huko. Abiria wameambiwa Washuke Waanze kutembea na kwamba kuna Treni inakuja kuwachukua. Wataanza na abiria wa VIP—abiria wametembea zaidi ya KILOMITA 6 hakuna...
  8. M

    Ni muda sasa wa Kuunda Serikali Mbadala - #D9 Ndio msingi wake

    Watanzania kwa wingi wenu tunaomba mjitokeze tarehe 9 December hasa Dar es salaam. Mkifanya hizi tutakuwa na uwezo wa Kuunda/Kutangaza serikali Mbadala kutokea Dar es salaam, Jambo hili ni muhimu sana kama Samia atakataa kutoka madarakani. Lazima tuwe na serikali nyingine ya uma, ambayo ita...
  9. DodomaTZ

    PostGE2025 "Kufreeze" kwa Vyombo vya Sauti za Umma: Hatari Iliyofichika Kwenye Njia Mbadala za Wananchi

    Hali hii imeonekana kwa uwazi nchini Tanzania katika miaka ya karibuni, ambapo baadhi ya vyombo ambavyo kiasili na kisheria vinavyopaswa kuwa mabega ya wananchi kama vile Bunge na vyombo vya habari vimeshindwa kuendeleza wajibu wao ipasavyo. Matokeo ya hali hiyo ni pamoja na kuziba kwa mianya...
  10. Keynez

    Hivi Wananchi hawawezi kuunda serikali mbadala ya kitaifa?

    Embu tufundishane sheria zinasemaje. Ikitokea wananchi wakasema wanaunda "serikali mbadala" ya kitaifa yenye ngazi kuanzia Mwenyekiti au Rais hadi ngazi ya mtaa. Wakatafutwa viongozi wa kuunda serikali hiyo kwa njia watakayoona inafaa kwa ajili ya kuwaletea maendeleo yao. Hata vyama vya siasa...
  11. Akotia

    “CCM haiwezi, CCM imeshindwa, CCM lazima iondoke”. Sawa, lakini mbadala wenu ni nini?

    CCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba, Kinshasa au Mogadishu. Hii amani na utulivu sio mzaha. CCM ndiyo imetengeneza stability ya taifa hili...
  12. Kichuguu

    Sasa hivi maisha hayachangamishi tena; mbadala ni nini?

    Tanzania ya leo bila NBC premier league, maisha hayachangamsihi tena. SIasa za uchaguzi ndiyo zimekuwa za hovyo kabisa; tuna CCM inayoenedsha mambo yao kwa mabavu kifalme na CHADEMA inayoendesha mambo yao kipatapotea bila malengo thabiti yenye mvuto - lengo lao CHADEMA ni kuiondoa CCM...
  13. USSR

    Tuache utani hili konokono la jamiiforums linatisha sana hakuna mbadala

    Hili dude sio kahuna namna ya kutuhabarisha kama kuna tatizo zaidi ya kutishana USSR
  14. MK254

    Aliyeteuliwa kama mbadala wa mkuu wa majeshi ya Iran naye aliuwa, itangazeni hiyo nafasi upya

    Kila anayechukua huo wadhifa analiwa, tangazeni hiyo nafasi tena, wanawahishwa kwa mabikira.... Ayatollah tunamsaza tu ili atie saini mkataba wa kuisahau nyuklia, la sivyo tungekua tushamla na lile gauni lake ==================== The IDF on Tuesday assassinated the replacement Iranian Khatam...
  15. radicals

    Njia ya kuondoa majitaka kwa njia mbadala

    Habari wanajamvi, eti kuna njia ya kupunguza mzigo wa majitaka kwa njia mbadala. Kuna mtu kanishauri ninunue chumvi kg 5 , chlorine lita 1 na chokaa kg 5 nichanganye pamoja halafu nimwage ndani ya shimo? Je ni kweli? Nahofia nisije nikatengeneza bomu mambo yakaharibika zaidi
  16. kiss ov love

    Mbadala wa blender huu hapa

    Hii mashine nimeiona huko mitandaoni imenivutia, kwanza unapata juice halisi kabisa, maana haisagi inakamua, na kukusanya makapi sehemu yake. Kama kuna mtu anatumia kifaa kama hiki anaweza kuja kutuelezea vizuri zaidi.
  17. R

    kitu gani kimeshusha brand ya vyuo na kozi za kilimo, watu wengi huenda kama mbadala baada ya kukosa nafasi kwengine.

    Hapo zamani nakumbuka watu wengi waliepnda kwenda vyuo vya kilimo au kusomea kozi za kilimo Hali ya sasa imebadilika, ile ari tuliyozoea kuiona imeshuka Sikuhizi ni herimtu aende chuo cha wanyama pori kuliko kilimo, mifano ya kozi Science in Wood Technologies Agricultural Engineering...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Aitaka Serikali Kuweka Ruzuku Kwenye Mkaa Mbadala Ili Wananchi Waupate Kirahisi

    MBUNGE MARTHA MARIKI: AITAKA SERIKALI KUWEKA RUZUKU KWENYE MKAA MBADALA ILI WANANCHI WAUPATE KIRAHISI "Nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya nchini Tanzania. Nampongeza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, Kamishna wa Madini na Watendaji wote wa Wizara ya Madini kwa...
  19. Mr Why

    Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

    Je, unatumia kifaa cha Android? Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu? Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
  20. C

    CHAUMMA mbadala wa CHADEMA

    Ikiwa CHADEMA wamesusia uchaguzi Wana CHADEMA twendeni na CHAUMMA
Back
Top Bottom