mazuri

Maji Mazuri is a small town in Kenya's Baringo County along the Makutano-Ravine-Kampi Ya Moto highway. This is the most southerly tip of the greater Baringo area. It neighbors Kericho's Londiani and Nakuru's Kamara areas. The settlement was formed by migrants who used to work in the Koibatek Forest, but were either retrenched or retired at one time. As such, Maji Mazuri is home to people from different ethnic groups of Kenya. The Agikuyu and Tugen people are the majority population in the larger Maji Mazuri location of Eldama Ravine division.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waafrika tuliwafukuza wakoloni sasahivi watu wetu wanakimbilia nchi za Ulaya kutafuta maisha mazuri. Isn't that failure?

    Waafrika tuliwafukuza wakoloni, which was completely a right thing to do cause watu weusi na watu weupe hatuwezi kuchangamana. It failed in South Africa, na huko USA it's been hundreds of years na bado hadi leo wanahangaika to blend people together Shida inakuja, baada ya kuwafukuza tukafanya...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Wazalendo Wanao Angalia TBC, Usikose Kuangalia Mambo Mazuri ya UDSM, UDOM, IGOABROAD na Mbolea ya FEMI Leo Saa 4:00 usiku na kesho saa 3:00 Asbh

    Wanabodi, Niko hapa jijini Dodoma kwenye maonesho ya 88 kitaifa, uwanja wa Dr. J.S. Malecela, Nzunguni Dodoma, ambapo kuna mambo mazuri sana. Asubuhi niliwaletea https://www.jamiiforums.com/threads/live-from-uwanja-wa-dr-j-s-malecela-nzuguni-dodoma-kilele-cha-nane-nane-dodoma-kuchele.2460870/...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Tunaendelea na Mazungumzo mazuri na Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema utawala wake umefanya mazungumzo "mazuri sana" na Iran katika mazungumzo ya siku nzima yaliyofanyika Jana Agosti 2,2026, jambo lililoongeza matumaini kwamba mzozo uliodumu kwa miezi mitano unaweza kufikia mwisho hivi karibuni. Trump amekuwa akitoa vitisho...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu epuka mambo haya (7) kiroho sio mazuri

    NDUGU YANGU EPUKA MAMBO HAYA (7) KIROHO SIO MAZURI 1)USIPENDE KUFAGIA USIKU 🌘kufagia usiku kiroho nikutupa baraka za mafanikio gizani 2)KUSHIKWA KICHWA 💆ukiona nafasi yako ya mafanikio ipo sawa epuka kabisa mtu kushika kichwa chako mtu anaweza kukugeuzia mambo kupitia kichwa chako 3)SEHEMU...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiingia kwenye mtego wa kukopesha ili tu kujenga mahusiano mazuri na wateja, ujue unachimbia shimo ambalo linaweza kuizika biashara yako.

    Wafanyabiashara wengi hawafi kwa kukosa wateja, wanafia kwenye madeni ya wateja wao 👇🏾 Kuna dhana imeenea sana kwenye biashara kwamba ukitaka kupata wateja wa kudumu lazima uwe mwepesi wa kuwakopesha. Wapo hata wataalamu wa biashara wanaoshauri kuwa kwa mazingira fulani kutoa bidhaa kwa mkopo...
  6. JamiiForums Tanzania Makaburi gani mazuri kwa kuzikia ndugu Dar bila kukutana na usumbufu?

    Habarini za jioni, asubuhi na mchana kwa walio huko mawindoni. Nimewiwa kuuliza hili swali maana hivi majuzi nilifululiza kuzika ndugu na marafiki. Katika kuchimba kaburi nimekutana na changamoto nyingi sana. Wakati wa kuchimba, wengine wanakutana na mifupa, wengine wanakutana na mafuvu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Profesa Musa Assad: Mshahara Wangu Ulikuwa Million 7 Na baada ya Makato Ulibakia Million 5 , Gari Zuri V8 na Marupurupu Mazuri.

    Ndugu zangu Watanzania, Aliyekuwa CAG wakati wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Profesa Mussa Assad Amesema ya kuwa Mshahara wake kabla ya Makato ulikuwa ni Milioni 7 . Ambapo Baada ya Makato alibakiwa na Million 5. Amesifia Nafasi hiyo kwa kusema ni nafasi yenye marupurupu manono,Gari...
  8. JamiiForums Tanzania Kitengo gani cha benki kina maslahi mazuri

    Je ni watu wa IT, Credit, content creators, human resource, corporate, risk, au ni kitengo gani wanazengo chenye maokoto mengi?? Benki gani bongo zina maslahi mazuri kwa wafanyakaz wake?
  9. JamiiForums Tanzania Kuna mambo gani mazuri ya kuvutia katika ndoa ambayo mke anamzidi umri mume?

    Priyanka Chopra Jonas (miaka 43) na mume Wake Nicholas Jonas (miaka 32)
  10. JamiiForums Tanzania Mazuri na mabaya ya damu group O

    Kwanza kabisa Takriban 37% hadi 42% ya watu wote duniani wana kundi hili la damu. Nafasi ya pili inashikiliwa na kundi la A Chanya (A+) ambalo linapatikana kwa karibu 31% ya idadi ya watu duniani. Kundi la damu la O Chanya (O+) hubeba siri kubwa ya kiungu, likiwa kama chemchemi ya uhai...
  11. JamiiForums Tanzania Mnaowaita ombaomba wana maisha mazuri kuliko nyie

    Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine...
  12. JamiiForums Tanzania Yapo mambo yanaendelea kwa sasa si mazuri kwa afya ya chama chetu (CCM)

    Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hawa wangesikilizwa huenda mambo yangekuwa mazuri. Kinyume chale vijana wamepelekewa shinikizo!

    https://www.facebook.com/share/v/18je7DevNH/
  14. JamiiForums Tanzania Maisha mazuri hayaji Kwa bahati ni mipango na nidhamu

    Khaaah!! Yaani umekaa zako unadhani mafanikio ya watu ni bahati,siyo kweli. Ni kwamba bahati humkuta aliye tayari kwenye circle na angle sahihi. MAISHA siyo nadharia eti ujifunze mbinu za kutafuta pesa Kwa kusoma kitabu ulichonunua mtaani Kwa buku kumi.yaani mtu apoteze mamilioni ya Ada...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mama 2021 Maua mazuri sasa 2026 yamekauka

    Kwa wanaopenda Tanzania tuko katika wakati mgumu sana kama nchi . Washauri wabaya na uvivu na kujiachia kizanzibari sasa Mama ambaye alikuwa maua yenye harufu nzuri 2021-2022 sasa maua yamekufa kabisa ni lazima yaote upya au tuoteshe mengine. Haya maua ni too late sasa
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kupima HIV, japo matokeo ni mazuri lakini siamini

    Ni feeling Gani unaipata baada ya kupima HIV na kukuta upo salama yaani Negative? Hasa baada ya kushiriki tendo bila Kinga, kupata wasiwasi hasa baada ya kuwa na mgogoro wa kiafaya kama kupata homa za mara Kwa mara, tumbo kusumbua na uchovu? Wadau, au nikapime mara ya pili maana baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ishara zinazoonyesha Umekua na kukomaa kiakili na ndani ya miaka 10 maisha yako yatabadilika na kuwa mazuri

    ISHARA ZINAZOONYESHA UMEKUA NA KUKOMAA KIAKILI NA NDANI YA MIAKA 10 MAISHA YAKO YATABADILIKA KUWA MAZURI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Maisha ni kuishi. Kusudi la kuishi ni Kufurahi. Furaha inatokana na Kukua, kuendelea na kustawi. 2. Kwenye Biology kuna Growth and Development. Hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Maisha ya ubachela ni mazuri sana na yenye furaha.

    😀
  19. JamiiForums Tanzania Kwamba Zanzibar kuwa majike mazuri zaidi yenye macho kama anasinzia ?

    kurekodiwa, huenda ukiwa umechochewa na mabadiliko ya tabia nchi, wanasayansi wanasema. Alionekana katika bahari ya pasifiki karibu na Colombia mwaka 2017, kisha kuzuka tena miaka kadhaa baadaye kisiwani Zanzibar katika bahari hindi - umbali wa kilomita 13,000. Wataalam wanaamini kuwa safari...
  20. JamiiForums Tanzania Kwani South Africa kuna maisha mazuri?

    Kwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana? Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira? Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…