mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kumbe kufanya mazoezi ni raha hivi

    Helloo JF!! Hili sikulijua kabla au nililichukulia poa. Ni week ya tatu tangu nianze ratiba ya ufanyaji mazoezi kila siku tatu za juma saa 11 alfajiri. Hii ni baada ya siku moja kulazimika kukimbia kidogo umbali wa kama mita 180 hivi kuuwahi usafiri. Nikajikuta natweta mno kama moyo uchomoke...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

    2 proud a.k.a sugu a.k.a mr 2 a.ka Jongwe... Taita la mataita. Samahani kama nitamkwaza mheshimiwa lakini nimeona nimpe ushauri kidogo. Kwenye hii video aliyopost haihitaji mtu awe bondia, hata mvulana anaejua mambo machache kuhusu ngumi ataona kwamba kuna tatizo kwenye urushaji wa ngumi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu watoto wajitokeza kufanya mazoezi

    Kwenye uwanja wa barafu katika bustani ya vijana ya Shenyang, kikundi cha vijana walikuwa wakifanya mazoezi ya mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu chini ya uongozi wa kocha. Kutokana na michezo ya majira ya baridi kukaribishwa nchini China, watoto wengi zaidi wanashiriki kwenye mchezo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Inadaiwa baadhi ya majeshi ya Urusi yaliyokuwa Belarusi kwa ajili ya mazoezi ya Kijeshi yaanza kurudi, baada ya mazoezi kuisha

    Urusi na mahodari Sana wa mchezo unaotumia akila Sana wa CHESS. Wamefanikiwa kuzima propaganda za west kuwa Urusi ingeweza kuivamia Ukraine ndani ya mda mfupi Sana. Urusi tayari imefanikiwa kupeleka ujumbe kwa west kwamba kwa ajili ya kulinda usalama wake iko tayari kwa lolote like,kuharibu...
  5. JamiiForums Tanzania Urusi yaanza mazoezi ya kijeshi ya siku kumi na Belarus

    Urusi na Belarus zinaanza siku 10 za mazoezi ya pamoja ya kijeshi huku kukiwa na hofu inayoendelea ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Belarus ni mshirika wa karibu wa Urusi na ina mpaka mrefu wa kusini na Ukraine. Marekani imetaja mazoezi hayo - ambayo yanaaminika kuwa ndiyo makubwa zaidi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Tusiofanya mazoezi kabisa na kubobea tu kwa 'Kitu cha Mkongo' na 'Mundende' nadhani Taarifa hii itakuwa na Maumivu Kwetu

    Asilimia 65 wanawake wanapenda wanaume wenye kufanya Mazoezi ya mwili, Hizi ni takwimu za mwaka 2021 kutoka chuo cha Mazoezi ya mwili kinachoitwa Brown fitness center kilichopo nchi Marekani. Chanzo: marathonioverstz Kwa hili Kudadadeki tutaanza Kupigana Vikumbo sana huko Gym na katika Fukwe...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye mazoezi ya kuimba

    Habarini wanajamvi. Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume, naishi Dar es Salaam. Mimi ni mdau wa muziki na mtunzi wa nyimbo ingawa napata changamoto ya kupata waimbaji. Ninatamani nijifunze kuimba pia, hivyo basi, kama kuna mdau...
  8. JamiiForums Tanzania Fanya Mambo Haya Mawili Kuongeza Miaka 20 Kwenye Maisha Yako

    Rafiki yangu mpendwa, Vipi kama leo nitakuambia kuna mambo mawili unayoweza kufanya kila siku na ukaongezea miaka 20 kwenye maisha yako? Yaani kama ilikuwa uishi miaka 60, basi kwa kufanya kitu hicho utaweza kuishi miaka 80. Na kama ilikuwa uishi miaka 80 basi utaishi miaka zaidi ya 100. Na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna surgery ya kupunguza upana? Maana hata mazoezi ya kegel yamedunda

    Mazoezi ya kegel yamefanywa lakini bado kitu ni kipana tu. Jogging imedunda pia. Hivi hakunaga surgery ya kupunguza upana wa hii kitu? N.B. Wale maisha choka mnaomiliki simu za Tecno na vigari mitumba vya mikopo hamjawahi hata kuweka dental braces kaeni pembeni ktk hili. Hapa naongea na mboga...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Endeleeni na mazoezi ya wazi Bunju/Boko, endeleeni na uzungu wenu

    Jamani kila siku tunawaomba hayo mazoezi nendeni hata gymkhana au zungusheni fensi ya mabati kule Bunju hamtaki eti nyie viongozi ni wazungu Utopolo mwaka huu wamesema liwalo na liwe lazima wachukue ubingwa na mimi naanza amini maneno yao kama huu uzungu feki hautakomeshwa itakuwa too late...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa anayefanya Mazoezi ya kutembea tu kwa Miguu Tegeta hadi Mwenge anaimarika Kiafya kuliko anayekimbia?

    Kwamba anayekimbia atakachokiingiza zaidi tu Mwilini mwake ni Pumzi ila Mtembea kwa Miguu Yeye anaingiza Pumzi ya Wastani ila anaimarisha Mwili mzima pamoja na Viungo vyake vyote na Kujengeka Kiafya mpaka na Kimwonekano. Tafadhali wale Wakimbiaji na Watembea kwa Miguu bila kuwasahau na wale...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lawashikiria wanachama BAWACHA walokuwa wanafanya mazoezi ya viungo (jogging)

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, ACP Jumanne Murilo limekiri kuwashikilia wanachama wa BAWACHA waliokuwa wanafanya mazoezi ya viungo(jogging) na mwanahabari Harlod Shemsanga wa MGAWE TV. "Walikuwa na viashiria venye kupelekea uvunjifu wa amani" "Nimepokea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Udikteta Tanzania: Polisi ya Simon Sirro yazuia wanawake kufanya mazoezi ya Jogging

    My Take: Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira. Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit. Mwana kulitafuta mwana kulipata
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Afya: Unataka uanze kufanya mazoezi? Fuata hatua hizi...

    Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Leo napenda kuzungumzia juu ya afya, na katika afya nitajikita kwenye eneo la kufanya mazoezi ya mwili. Nimechagua eneo hili, kwani kuna vitu vingi binadamu anatakiwa kuvifanya karibia kila siku au mara moja moja ili kuimarisha afya yake. Kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ufanyaji wa mazoezi unausaidia mwili kutonyong'onyezwa na homa kali COVID-19 kwa urahisi

    Ufanyaji wa mazoezi kila siku unapunguza hatari ya kupata virusi vya COVID-19 au kupata homa kali ya mapafu. Mazoezi yanaimarisha kinga mwili na kuondoa sumu ambazo zinausaidia mwili kupambana vyema na maradhi nyemelezi. Mtu anayefanya mazoezi akipata virusi vya COVID-19 mwili wake unachelewa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: Sijaugua maleria wala magonjwa nyemelezi kwa miaka 30 sasa kwa sababu nafanya mazoezi, tahadhari ni muhimu!

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Amos Makalla amesema yeye binafsi hajawahi kuumwa ugonjwa wa maleria au maradhi nyemelezi kwa sababu anafanya mazoezi kila siku. Makalla amesema ili kupambana na Corona ni vema tukachukua tahadhari zote ikiwemo kula vizuri na kuchanja. Source: ITV habari
  17. JamiiForums Tanzania Msile mpaka daktari awaambie punguzeni, kula kwa kiasi na ukumbuke kuyaunguza mafuta kwa mazoezi

    Sasa huyu shost akiambiwa alipie nyama zote alizozi contaminate, bado tozo la miamala. Maisha ni magumu sana.
  18. JamiiForums Tanzania Mukoko agomea mazoezi Yanga,baada ya ofa yake kukataliwa

    Hizi ni habari za uhakika,kama hutaki acha sikulazimishi
  19. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa mazoezi na faida zake kwa watoto wenye changamoto ya ulemavu wa akili

    Ulemavu wa akili: Ni ile hali ya mtu kushindwa kutumia viungo vyake sawasawa na kushindwa kutumia akili yake sawasawa kutokana na athari ya ubongo wake.Sababu za ulemavu zinaweza kutokea katika nyakati kuu tatu ambazo ni. (a)Kabla ya Kuzaliwa. (b) Wakati wa kuzaliwa. (c) Baada ya kuzaliwa. (A)...
  20. 4

    JamiiForums Tanzania Covid-19 ipo, tuhamasishane kila mtaa kuanza mazoezi ya kutembea angalau kilomita 1 kila Jumamosi

    Mazoezi pia ni fursa nzuri ya kujikinga na Corona, Kwa umoja wetu kuanzia MTAA Tanzania nzima tuhamashishane Sasa kufanya mazoezi ya kutembea angalau km1- 3 kila jmosi ya wiki, itapendeza Sana tukianza jmosi ya week ijayo. Mazoezi ya kutembea ni mepesi mno hata mzee anaweza kufanya. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…