Unapokua mtu wa mazoezi sana, faida kubwa ni kujiepusha na magonjwa yasioambukizwa kama vile matatizo ya insulin kupanda na kushuka ghafla(DIABETES)[KISUKARI], baadhi ya kansa na magonjwa mengine mengi
basi faida ingine kuu ni misuli kukakamaa: faida yake niviungo ya ndan vinapata ulinzi wa...
Watoto ama vijana walio chini ya miaka 30, wana advantage moja kubwa sana katika afya! KUPONA MAPEMA
mtoto akiumia kama ni wa mazoezi basi haihitaji hospitali hua anapona mwenyewe hata kama ni tatizo kubwa kama kuvunjika hua matibabu yao ni haraka na wanapona mapema, hivo basi wewe kama mzazi...
Kutangulia mauaji ya halaiki nchini Rwanda mwaka 1994, katika mitaa yote ya Rwanda kila mara kulikuwa kukifanyika mazoezi ya pamoja na utayari yaliyojumuisha vikosi vya majeshi ya serikali ya Rwanda na wanamgambo wa Kihutu, walioitwa Intarahamwe (kama green guards wa CCM).
Baada ya kupita...
Mwaka huu huwenda ukawa ni mwaka mgumu sana kutekeleza haki zetu za kikatiba za mwananchi kwenda kupiga kura
Nchi nzima imetaharuki, sijawahi kuona wanajeshi na majeshi mengine kufanya mazoezi kama ilivyo sasa tena tu ni kwa ajili ya uchaguzi
Ukweli ni kuwa, magwanda ya wenzetu hawa...
Vijana Mimi Nina mwezi Sasa nafanya mazoezi ya hatari maana toka nimetoka jkt sijawai kufanya mazoezi Kama mwezi huu.
Najiweka fit mno na nipo fit Sana kiasi kwamba atakayejichanga tarehe 29 kitampata kitu.
Nimefanikiwa kununua Lita 5 za petrol, Bunda la viberiti, Elementi, na vifaa vingine...
Askari wa Majeshi mbalimbali mkoani Morogoro wamefanya mazoezi ya pamoja ikiwemo Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeshi la Uhamiaji pamoja na Jeshi la Uhifadhi.
Mazoezi hayo yamelenga kuimarisha umoja katika majeshi...
Miili yetu hufika ukomo wa ukuaji unapofikisha miaka 35, kwa lugha rahisi mwili kua active kutengeneza cell mpya zenye ubora pia utimamu wa misuli na akili peak yake ni miaka 35, hivo basi kabla hujafika miaka 35 hakikisha unafanya mazoezi ya kutosha mbelen uko mazoezi hayana impact kubwa sana...
Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo.
Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache.
Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya...
Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF,
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya kuongezeka kwa gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama shinikizo la damu...
Habari zenu mabibi na mabwana!!
Ninaomba maelekezo kwa wadau wa mazoezi na pia wale watu wote wanaotumia vifaa mbali mbali vya mazoezi, naomba mnijuze kuhusu ab roller. Je ni sahihi kwa wanawake kukitumia?
Nimekuwa nikikitumia wiki mbili sasa yani tumbo linaisha kwa kasi ya ajabu sana.. ila...
Badala ya kukimbia barabarani ,washiri kwa kujiunga kwa kutumia linki ya mtandao huku wakifanya mazoezi haya ya kukimbia marathoni katika maeneo maalumu na mahususi kwa ajili ya michezo na mazoezi kama vile viwanja vya michezo, na wengine wanaweza kushiriki wakiwa hata nyumbani kama wana...
Aliyeandaa hii barua na kusisitiza hakuna mchezo mwingine tofauti na JUNE 15 na kwamba wamekubaliwa kufanya mazoezi katika dimba la mkapa na kesho watapeleka timu, Mara ghafla baada ya kupata per diem za mbumbumbu, Kaingia mitini! Hii tunaiitaje kitaalam?
Ndugu wanaSimba, Kesho hakutakuwa na mabaunsa, tujitokeze kutazama mazoezi ya timu yetu kujiandaa na mchezo tarehe 15 June 2025. Dj sinyorita atakuwepo.
Nimeshangazwa na aina na kiwango cha adhabu ambacho kimetolewa hivi karibuni na Bodi ya Ligi dhidi ya mchezaji wa Singida BS Jonathan Sowah na kocha wa viungo wa Simba.
Kocha wa viungo wa Simba, Ruedoh Berdien amepewa adhabu ya kufungiwa kwa mechi tatu pamoja na faini ya shilingi milioni 1 kwa...
Karia
Kwanza nikupe pole BAADA ya makando kando ya UWANJA WA TAIFA sasa naona CAF wameona ULE UWANJA sio salama Tena kama mlivyosema sasa twende znz mkapate usalama zaidi
MH Karia uliwahi kusema hii LIGI ya crdb mtajitahidi kuwapelekea wananchi hasa AMBAYO hawana timu ktk LIGI kuu waweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.