mazingira

The Mazingira Green Party of Kenya is a Kenyan green party. It was formerly known as Liberal Party of Kenya (LPK). At the 1997 Kenyan General Elections LPK fielded a presidential candidate, Wangari Maathai, who later became a Nobel Peace Prize laureate. Maathai was only a minor candidate. She did not win a parliamentary seat. In 2002, the next general elections were held and the Maathai-led party was part of the victorious NARC coalition. Maathai herself won the Tetu Constituency parliamentary seat.At the Kenyan general election, 2007, Mazingira was part of the newly created Party of National Unity led by President Mwai Kibaki. However, Mazingira also fielded own candidates. Mazingira won one parliamentary seat at the elections, after Silas Muriuki beat PNU candidate David Mwiraria to clinch the North Imenti Constituency parliamentary seat. Maathai was first outvoted at the PNU primary elections and therefore vied on Mazingira ticket, but at the parliamentary elections lost again to the PNU candidate.
The word Mazingira is Swahili for environment.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais haramu ni yule anaye fanya wajibu usio muhusu na hata akifanya vizuri kwa mazingira kama haya hawezi kusifika kabisa ni haramu

    Rais haramu ni yule anaye fanya wajibu usio muhusu na hata akifanya vizuri kwa mazingira kama haya hawezi kusifika kabisa ni haramu. Raisi samia asifiki ni haramu kwenye hiyo nafasi ameuwa watanzania wengi sana na kuteka watu wengi sana kwenye utawala wake haijawai kutokea mtu kama huyu huwezi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ugali wa dona ni mzuri kuzidi wa sembe lakini katika mazingira ya sasa ni uchafu uliojaa hatari, hatuna budi kubaki kwenye sembe kulinda afya zetu

    Ugali wa dona ni mzuri kuzidi wa sembe lakini katika mazingira ya sasa, umejaa hatari nyingi kiafya, hatuna budi kubaki kwenye sembe kulinda afya zetu Unga wa dona ni mahindi yaliosagwa na Maganda yake (pumba), unga wa dona huondoa Maganda. Ugali wa dona ni chakula chenye afya ikiwemo kuwa na...
  3. E

    JamiiForums Tanzania THRDC NA MAIPAC yawanoa waandishi wa habari za mazingira

    Arusha. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Bbinaadamu Tanzania (THRDC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wanahabari ya Kusaidia Jamii za Asili (MAIPAC), imeanza kuwanoa wanahabari Kanda ya Kaskazini na Kati, kuandika vyema Habari za uchunguzi za mazingira. Uzinduzi wa mafunzo hayo, umefanyika leo...
  4. JamiiForums Tanzania UJENZI wa OFISI ya MAKAMU wa Rais jengo kama hekalu la mfalme ni matumizi mabaya ya fedha, mtu WA mazingira OFISI ya Nini? Nchimbi hakupanda mti juzi?

    Ile OFISI inayokarabatiwa ya MAKAMU wa Rais ni kuchezea fedha za UMMA, MAKAMU wa Rais Tanzania ni OFISI ya kutulizia mijitu nguri michokonoko dhidi ya WENZAo ndio maana kupewa KAZI zinazo usu mazingira TU Sasa mtu WA mazingira OFISI kama Ile ya Nini? Nchimbi kwa Nini hakupanda miti juzi?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  7. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Mahakama haiwezi kuwa huru kama Watendaji wake hawana uhakika wa mishahara na mazingira bora ya kazi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira haya Magufuli na Samia wanastahili nishani za kitaifa za kuilinda Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda . Nimeyetaja matukio...
  9. JamiiForums Tanzania Usimsamehe mtu yeyote ambaye mwanzo akitaka kukuua, au kukutengenezea Mazingira ya wewe kutofanikiwa

    Usije ukathubutu Kusamehe MTU aliyetaka kukuua, au alijaribu kutengeneza mazigira ya wewe usifanikiwe . Jambo la kujua ni kuwa watu huwa hawabidiliki Kama ni mbaya ni mbaya na Kama ni mzuri mzuri . Kwahiyo haiwezekani mtu yule yule aliyekukataa kipindi Fulani Leo aje akukubali kisa tu Una...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM mmetengeneza mazingira ya utendaji ambayo kesho yakiwakuta hakuna lawama.

    Nime msikiliza waziri mkuu mwiguru japo uchaguzi mliofanya ni haramu na wadamu. kuwa unasimamia maadili ambayo kampuni ya Ester ya mabasi sio yangu ila jina la kampuni ni la mke wangu ambaye ni neema. Kwa serikali ya CCM ambayo sasa inawatafuna wenyewe sasa haya ni mambo ambayo muwezi kufanya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tutaweka mazingira kuhakikisha tunakuza vijana kwenye uongozi

    Rais wa Jamuhuri ya muunano wa Tanzania Dkyt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutunia bunge la 13 kwa mara ya kwanza amesema serikali itaanza kukweka mazingira mazuri kwa ajiliya kukuza vijana katika uongozi na iatezesha vyuo nchini kusimamia masuala ya malezi na program za mentorship
  12. JamiiForums Tanzania Hii hapa tovuti ya watu waliotekwa au kutoweka katika mazingira tatanishi

    Tovuti hii imeanzishwa na kijana wa mzee kibao ili kusudi kuweka rekodi ya watu wanaozidi kupotea na kutekwa. Kama kuna mtu unamfahamu na ametekwa wasilisha taarifa zake kwa administrator wa tovuti hii. Jina la tovuti : Tanzania Memorial | Tunakumbuka Majina Yao
  13. JamiiForums Tanzania Mazingira yetu: Kati ya mnyama na binadamu, nani hatunzi mazingira?

    Tusipochukua hatua sasa. Tutaimaliza hii dunia wenyewe.. Kwako unaona ni mrija mmoja, amazing chupa moja ama kipande kimoja! Lakini umeshawahi kuwaza mkiwa 100,200 1000 na zaidi?
  14. JamiiForums Tanzania Hivi hamsomi mazingira? No way tutamuona akiwa live tena!

    Polis wakishamaliza kukumaliza au kukuweka kwenye target alafu wakasema wanakutafuta ndo imeisha hiyo! Tarehe 12 ikipita tu bila kusema ndo wanaye hatutakuwa na haja ya kuhangaika naye Bali tutatakiwa kuhangaika na mifumo ambayo inasababisha haya! Kuanza na Mafwele! Hilo Liwe wazi Same...
  15. R

    JamiiForums Tanzania UDOM LLB naomba kujua mazingira yake

    Nasikia Mabweni na madarasa mpaka upande bajaji/pikipiki. Is that true? ie it is a long distance... Accomodation ikoje? au kuna kupanga nje? Kijana amechaguliwa hapo, sasa wanasema UDOM pagumu kwa usafiri.
  16. JamiiForums Tanzania Pesa ya msaada wa El nino ilienda wapi?

    Kwa miaka mitatu sasa maeneo ya Vigunguti ukiwa unatoka Tabata Barakuda unavuka kwenda Upande wa pili wa mto msimbazi kumekua na magari yanachukua mchanga wa mtoni wanasafirisha. Magari ni Makubwa na kutokana na hili mto msimbazi umekua ukitanuka na wakati wa mvua kumesababisha mafuriko Makubwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Siku ya uzinduzi wa kiwanda huko Morogoro kulikuwa na mazingira "strange". Je, hayo ni mazingira yapi?

    Polepole amendelea kutufumbua macho. Kumbe hata mamvi ilikuwa ni plan B ya watu wale wale! Kwamba Polepole kanusurika kutekwa akiwa chini ya uangalizi wa Jiwe? "Wanasomeka Polepole na Gwajima kuwa kuna serikali ndani ya serikali." Yote tisa haya mambo strange, anayodokeza Polepole yanaweza...
  18. JamiiForums Tanzania Polepole ana akili kubwa sana anachofanya NI kujitengenezea mazingira mazuri Sana ya kuja kuwa mgombea urais 2045.

    Kwa sababu kausoma mchezo kaona asilimia kubwa ya Hilo kundi la wanamtandao anaowataja wengi wao NI watu wazima wenye zaidi ya Miaka 60 na kama mnavyojua umri tuliopewa na Mungu average NI Miaka 70 so ashajua Miaka 20 ijayo wengi wao watakuwa washarudisha namba kwa mola. Hiyo NI move nzuri Sana...
  19. JamiiForums Tanzania Dr Garvin Kweka: Mtengeneze mtoto kukabili Mazingira

    Muache mtoto aumie sio kwamba muwatese ila mazingira yawatengeneze kuwa bora zaidi .
  20. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wizara ya Nishati yasisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda afya na mazingira

    Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya. Wito huo umetolewa leo na Mwakilishi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…