Nimemsikia mtoto wa Magufuli Jesca.
Nadhani kuna taratibu hazikufuatwa kuiwalilisha Chadema.
Ilibidi atajwe.
Any explanation kwa anayejua sababu?
Au hajafika huko kwenye mazishi
Hivi wenzetu tunaokutana misibani mkiwa mmevaa sunglasses siku za maziko mnaweza kutuambia sababu ya kuvaa ni nini?
Wengi ukiwauliza hawana sababu yoyote yenye mashiko ni kuiga iga tu mna ushamba mwingi sana.
Hata mkienda kugoogle bado sababu mtakazoleta hazina maana yoyote wapuuzi tu...
Pamoja na kwamba papa Francis hakuacha mamilioni ya pesa katika utajiri wake,vile vile hata maziko yake hayakuwa ya kifakhari sana.Yamefanana sana na vile waislamu wanavyozikana.
Mazishi ya kiislamu hata afe mfalme basi huzikwa kikawaida sana.Wengi wao huzikwa siku hiyo hiyo wanayokufa na bila...
1. Poleni Wakatoliki kwa kumpoteza Baba Mtakatifu.
2. Maziko haya simple wanatoa funzo kwa Watawala Miungu Watu wanaodhani wataishi milele na kupigiwa saluti. Kumbe siku unazima ulinzi na wapambe vinapotea hapo hapo
3. Tukanyage hii ardhi kwa adabu Ndugu zangu. Hapa tunapita Tu...
KUMBUKUMBU YANGU NIKIANGALIA MAZIKO YA AHMED RAJAB
Allah ana shani yake.
Naangalia hii clip ya maziko ya Ahmed Rajab na imenirejesha nyuma na kunikumbusha mengi.
Namuona hapo Talal mwanae marehemu sasa kijana.
Nakumbuka siku moja asubuhi nimetoka kwangu Finsbury Park hadi Oakwood nyumbani kwa...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_
Waombolezaji wametoa...
Japo wameshaua wapalestina zaidi 20 ukiunganisha na wale walio chini ya kifusi hata hivyo kifo cha askari mmoja wa cheo cha juu kumewahuzunisha sana viongozi wa Israel akiwemo kamanda mkuu wa vita baina yake na wanamgambo wa Hamas.
Baba yake meja Gal huku akilia na kukumbatia jeneza la mwanawe...
Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao...
Kifo ni sehemu ya kila mwanadamu, ni sherehe ya mwisho. Kutokana na ongezeko la watu kuga dunia, wanafamilia hujichanga na kupendelea sherehe ya mwisho ya mpendwa wao itafana kiasi gani.
Watu wa vijijini nyakati hizi wanapenda kufanya maziko ya kifahari hasa mikoa yenye watu wanaojua kutafuta...
Mwaka fulani nikiwa wilaya moja mkoani Iringa nikifanya kazi katika hospitali ya wilaya ya Kilolo katika idara ya TEHAMA.
Nikakutana na chotara wa kihehe na kizungu kwenye korido, wapo wengi sana Iringa sijui walitokea wapi, zile dizaini ya Hanspope.
Binti mdogo wa miaka 21, nikamtongoza...
Dar es Salaam. Safari ya mwisho ya maisha ya daktari Mtanzania, Mohammed Ali Hafidh (37) aliyefariki dunia nchini Uganda kwa ugonjwa Ebola ilihitimishwa juzi, baada ya kufanyika maziko ambayo yalihudhuriwa na familia yake kwa njia ya mtandao.
Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dk Aziz Milima...
Alipofariki Nelson Mandera dunia nzima ilenda live kwa kipindi chote cha msiba na maombolezo, ilipofikia mwili kuwekwa katika nyumba ya milele kamera zilizimwa na tukaambia ni ndugu wa karibu tu ndio watakaoshiriki zoezi zima la kuzika.
Jana tena wakati Malkia anazikwa pamoja dunia kushiriki...
Igweeee taarifa zisizo Rasmi kesho ni siku itakuwa ngumu kuanzia kwenye masoko ya hisa ya dunia sector ya mawasiliano.
Taarifa zinasema uwenda system zika down kwa masaa kadhaa wakati wa mazishi ya Malikia wa UK.
Kwa mataifa masikini soko la fx litakuwa sio zuri na uwenda kwa mtu anafanya...
Poleni sana na majukumu.
Nikiona watu wanachimba kaburi then kumfukia binadamu mwenzangu navurugwa sana kichwani. Nafikiria mambo mengi mno... Mbaya zaidi azikwe mtu ambaye namfahamu.
Nikienda makaburuni na kutizama namna udongo unavyotumeza, inasikitisha na kufikirisha mno.
Maisha baada ya...
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limezuia maziko ya James Januari (4) aliyejeruhiwa usiku wa kuamkia Jumapili na kufariki dunia Julai 5, 2022 katika Hospitali ya Rufaa Morogoro.
Aidha, kuna uwezekano wa kufukua miili sita iliyozikwa Jumapili Julai 3, 2022 baada ya tukio la mauaji ya watu sita wa...
Wadau kuna ndugu yetu mmoja anapitia wakati mgumu sana mimi Jana kanipigia nimeongea nae nimeshindwa kwakweli kumpa ushauri hali iko hivi ana msiba wa mdogo wake anayemfuata uku akapata tena msiba wa mkwewe baba wa mkewe.
Kwa bahati mbaya maziko ni siku moja maeneo tofauti baba mkwe anaenda...
Picha mbalimbali kuhusu msiba wa Maunda Zorro ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Mwimbaji huyu kwenye siku yake hii ya kuzikwa Aprili 16, 2022.
Baba Mzazi wa Mwimbaji Maunda Zorro ameomba kumwimbia mwanae Maunda msibani kama ishara ya kumuaga, Maunda amefariki akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.