Maziko ya Malikia UK uwenda yakatikisa soko la hisa la dunia siku ya kesho (Black Monday)

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Igweeee taarifa zisizo Rasmi kesho ni siku itakuwa ngumu kuanzia kwenye masoko ya hisa ya dunia sector ya mawasiliano.

Taarifa zinasema uwenda system zika down kwa masaa kadhaa wakati wa mazishi ya Malikia wa UK.

Kwa mataifa masikini soko la fx litakuwa sio zuri na uwenda kwa mtu anafanya transaction siku ya kesho akajikuta kwa mtihani mgumu.

Kuepusha tukio laki gaidi wakati wa hii shuguli nzito. Vyombo vya mawasiliano dunian vita experience slowdown ya system while masoko ya fedha yakishuka sana.

Wataalamu wanasema itakuwa black monday. Vyombo vyote vya majeshi vitakuwa on high alert na ulinzi utakuwa wa hali ya juu.

All nuclear button will be on high alert to avoid any threat.
 
Back
Top Bottom