Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,195
- 10,929
Japo wameshaua wapalestina zaidi 20 ukiunganisha na wale walio chini ya kifusi hata hivyo kifo cha askari mmoja wa cheo cha juu kumewahuzunisha sana viongozi wa Israel akiwemo kamanda mkuu wa vita baina yake na wanamgambo wa Hamas.
Baba yake meja Gal huku akilia na kukumbatia jeneza la mwanawe huko Jerusalem alisema huku akimwita mwanawe maiti "Gal,Mimi nina uhakika tutaendelea kuilinda nchi uliyoipenda na tutakuwa washindi.."
Naye Benjamin Netanyahu akasema vifo vya mashujaa wao havitokei bure na kwamba watapigana mpaka ushindi upatikane.
Miongoni mwa waliohudhuria mazishi hayo ni waziri wa zamani wa ulinzi Benny Gantez ambaye ni mpinzani wa Netanyahu aliyekubali kujiunga katika baraza la vita kupambana na Hamas.