The Mawé, also known as the Sateré or Sateré-Mawé, are an indigenous people of Brazil living in the state of Amazonas. They have an estimated population of about 13,350. The Sateré-Mawé were the first to domesticate and cultivate guarana, a popular stimulant.
1: Alianza Ole Nasha kuzuia ngorongoro isiuzwe na wamasai kuuawa akapotezwa wakaibuka wengine
2: Akaja Job Ndugai akasema nchi itapigwa mnada akapotezwa
3: Akaja Ally Kibao akagoma kununuliwa na Abdul Mtoto wa Samia akapotezwa
4: Akaja Soka akakemea utekaji na mauaji akapotezwa
5: Akaja...
Watu 34 waliohusika kumrushia mawe Rais Hichilema wa Zambia wakati akihutubia huko Chingola wamefikishwa mahakamani kwa kosa la ugaidi. Imeripotiwa na Rise Fm ya Zambia. GenZ muwe mnatuliza mizuka na kuacha kutaka kushindana na dola.
34 PEOPLE ACCUSED OF RIOTING IN CHIWEMPALA CHARGED WITH...
Nipo mkoani Arusha aliko Mh MWIGURU mchemba waziri mkuu kutoka chama Cha ccm.
Leo akiwa mkoani Arusha ameendeleza kauli zake ambazo ZINAZIDI kulitia taifa letu MATATIZO na ENDAPO hatojisafisha kwa kauli zake atalitia taifa katika mkanganyiko mkubwa.
Leo amekuja na kauli tata sana yakuwa wanao...
Habarini Wakuu,
Arusha yameanza matukio ya vita ya mawe kwa risasi kati ya Raia na Polisi.
Asubuhi ya leo katika hospitali ya Kaloleni amekuja askari anayevuja damu akiwa ameumia vibaya sana kichwani.
Sambamba na hilo, maeneo ya Tengeru kuja mjini askari wamekuwa wakipiga risasi ovyo ila...
Huyu hata wiki tatu hana ofisini.
Anajifanya kuwamiss majirani zake, michezo hii.
Kuna muda anajaribu kujifanya kama Banza Stone lakini hafit kwenye maigizo yake.
Mwambieni abadili script bhana, anachuja mapema
Pale Morogoro msamvu kuna eneo la starehe panaitwa jumba la mawe ni magofu ya zamani sana inasemekana toka 1986 na mpaka Leo hapajaendelezwa ila kuna bar na wanapika kitimoto. Je nani alijenga eneo lile wakazi wa Morogoro mtusaidie kujua.
By Jacob Maganga
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na Makampuni Matano ya wazawa yaliyoshinda...
PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu.
Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani...
Salaam!
Nimepenyezewa taarifa tokea Dodoma kuwa,
Wapo baadhi ya wanakijiji yanapopita marori yaliyobeba makaa ya mawe, wananchi Hawa hukaa Pembeni mwa barabara na kusubiri baadhi ya makaa ya mawe yadondokke kutoka Katika haya malori ya kubebea makaa ya mawe na kwenda kuyatumia makaa haya...
Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General.
Swali...
Wakuu
Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma.
Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
Mwentekiti wa CHADEMA Taifa alipohutubia Wananchi wa Bamba Bay akataja kuhusu Makaa ya Mawe, hii ilikuwa Aprili 9, 2025, kilichofuata baada ya hapo....
Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu
Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama...
Kweli dunia hadaa
Jamaa walikomaa miaka Ile wakiwa vitani wakawa wanauza kwa laki mbili tani 30 makaa ya mawe.
Kule mahala wao walikua tani 30 wanauza kwa elfu thelathini au ambaye anapajua kule walishabadilisha au bado
Mwanakulitafuta, Mwanakulipata
Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.