mawe

The Mawé, also known as the Sateré or Sateré-Mawé, are an indigenous people of Brazil living in the state of Amazonas. They have an estimated population of about 13,350. The Sateré-Mawé were the first to domesticate and cultivate guarana, a popular stimulant.

View More On Wikipedia.org
  1. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

    Mwanakulitafuta, Mwanakulipata Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji
  2. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hivi gharama zilizotumika kuchora mawe nchi nzima. Je, hizo pesa alipata wapi?

    Yule jamaa aliyechora mawe nchi nzima , zile pesa alizipata wapi ?.
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Njoni muone mawe yanayomsifu Mungu. Ni ajabu na kweli!

    Yesu alipokuwa akiingia Yerusalemu siku ile ya mitende, watu walitandika mavazi yao chini na kuushangilia ujio wake kwa sauti kubwa, wakisema: “Hosana! Amebarikiwa mfalme ajaye kwa jina la Bwana!” (Luka 19:38). Lakini Mafarisayo walikasirika, wakamwambia Yesu awanyamazishe hao watu. Ndipo Yesu...
  4. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kujenga ghorofa la mawe kunaweza kuwa cheap kuliko ghorofa la kawaida?

    Wataalamu wa ujenzi. Kwa maeneo ambayo mawe yanapatikana kwa kirahisi na cheap, kujenga ghorofa la mawe inaweza kuwa cheap kuliko kujenga ghorofa la kawaida?
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania TRA na Tume ya Madini tunaomba uthibitisho/ushahidi wa kodi ya Bilion 42 iliyolipwa na Mgodi wa Makaa ya Mawe wa CCM uliopo Mkoani Ruvuma.

    Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni...
  6. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Haya ni mawe gani?

    Haya mawe yamepatikana kwenye uchimbaji wa ujenzi..ni mawe gani? Yana thamani gani? Na soko lake ni wapi?
  7. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Unapojenga gholofa unatakiwa upange mawe ili upige jamvi je Upi umuhimu wa mawe kwenye ujenzi wa ghorofa

    Unapojenga gholofa unatakiwa upange mawe ili upige jamvi je Upi umuhimu wa mawe kwenye ujenzi wa ghorofa Mawe yana umuhimu mkubwa katika ujenzi wa ghorofa, hasa wakati wa kupiga jamvi (slab). Hapa kuna faida zake: ✅ Kuimarisha Msingi – Mawe husaidia kuimarisha msingi wa jengo kwa kuzuia...
  8. Shakala

    JamiiForums Tanzania TFF tokeni zama za mawe za kati

    Wasalaam, Soka la Tanzania limekua kwa kasi sana hivi karibuni kiasi cha kuvutia watu kadhaa kuanza kuwekeza kwenye mpira wetu,Azam tv, Vodacom,nbc,sportpesa,GSM,MO na wengineo.watanzania wengi wamekua wakijipatia kipato kupitia soka;wachezaji,wauza jezi,watu wa usafirishaji,wenye nyumba za...
  9. Isenye

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuogea chumvi ya mawe kuondoa mikosi mwilini mwangu

    Wakuu mko salama humu?. Baada ya kupitia changamoto nyingi za kimaisha,nikaamua kwenda kwa mganga kusafisha nyota.mganga hakua na mengi ya kunifanyia ,zaidi alinipa tu chumvi ya mawe akaniambia kila nikioga basi niiweke kwenye maji na kunuwia mahitaji yangu,mganga akaniambia nisisahau pia...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Anayetafta haya Madini (Mawe) aje inbox tufanye biashara. Yapo ya Kila Rangi (Dodoma Mowapwa - Mtera)

    Habari Wana jukwaa. Nina haya Mawe mengi sana kwenye Shamba langu. Yapo Rangi nyeupe kabisa, Meusi mfano Kama chuma, yapo ya Blue, na Rangi zingine. Pia eneo Lina Mawe ya chokaa kwa ambaye anahitaji kutengeneza mgodi wa chokaa. Ukichimba kidogo Kuna traces za Copper ambayo Iko Kama dhahabu...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Uranium sio makaa ya mawe kwako mtawala

    Hakuna kitu hatari kama uranium kuanzia kibailojia,kifizikia,kikemia na kivita. Swala la kusema tuanze kuwa na vinu vya nyuklia ila turudi nyuma kama uwendeshaji utakuwa ni wa serikali basi ni kuleta maafa kama mlivyo fanya Mwendo kasi,bandari na n.k Uranium itaki uccm wala wakina lucas...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kampuni za uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe ruvuma zajivunia kusaidia jamii

    Kampuni za uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma zimeendelea kusaidia jamii ambapo wananchi wanaoishi jirani na migodi wameendelea kunufaika na ajira huku migodi ikiendelea kuboresha huduma za jamii ikiwa ni pamoja na kuchangia ujenzi wa zahanati hali...
  13. I

    JamiiForums Tanzania NISAIDIE KUPATA KAZI SONGEA KWENYE MAKAA YA MAWE.

    Ndugu zangu kwema poleni na majukum. mimi operator wa excavator mzoefu naomba msaada wenu kwa yeyote anaeweza kuniunganisha songea kwenye makaa ya mawe japo nipate hata nafasi ya kutest kuonyesha nilicho nacho naimani humu kuna watu wengi wa aina tofauti naomba msaada wenu. shukrani.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kenya yajifunza uchimbaji na biashara ya Makaa ya Mawe Tanzania

    Tanzania imeendelea kuwa kinara katika usimamizi na uendelezaji wa Sekta ya Madini katika eneo la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, hali iliyoivutia nchi jirani ya Kenya kuja kujifunza mbinu bora za uchimbaji wa makaa ya mawe. Ujumbe kutoka Wizara ya Nishati na Petroli ya Kenya, Mamlaka ya...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa ina mawe mazuri ambayo yanaweza kujenga barabara na mitaro mpaka vijijini lakini tumeshindwa

    Ukianza kuingia singida na ukanda wa ziwa kuna mawe yanayo tumika kujenga misingi ya nyumba za huko. Ingekuwa kwa wenzetu ndio wamepata haya mawe basi mpaka uchochoroni kungekuwa na rami.
  16. Setfree

    JamiiForums Tanzania Waliotaka kumpiga kwa mawe ili kumwangamiza, wazuiliwa!

    Ni ajabu na kweli. Mji umetaharuki! Tukio hili limewashtua wengi: Mwanamke mmoja amefumaniwa “live” akifanya uzinzi. Wenyeji wamemkamata, wanadai sheria yao inawaruhusu kumpiga kwa mawe hadi afe. Mambo yamebadilika ghafla! Mwalimu mmoja anayeheshimika sana mjini hapa, kutokana na hekima yake...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Chumvi ya Baharini ‘Sea Salt’ na Chumvi ya Mawe ‘Rocky Salt’ Zinatofautina katika namna hizi

    1. Sea salt inakuwa imetokana na kuvukisha maji ya bahari wakati ile ya mawe inachimbwa kutoka miamba inayodhaniwa kuwa ilitokea baada ya habari au maziwa ya zamani kukauka 2. Chumvi ya bahari huwa inakuwa na rangi nyeupe au off-white wakati zile za miamba kama Himalayan salt zinakuwa na rangi...
  18. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya chumvi ya mawe

    Chumvi ya mawe (au rock salt) imekuwa ikitumika kwa maelfu ya miaka si tu kwa kupikia, bali pia katika matumizi ya kiroho na kitabia katika jamii nyingi duniani. Hapa chini nitakuelezea: 🌿 Matumizi na Faida za Chumvi ya Mawe Kiroho 🔮 1. Kusafisha mazingira ya kiroho Chumvi ya mawe inaaminika...
  19. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana hoja. Haya makaa ya mawe yanayosafirishwa maelfu ya Tani Kila siku kwenda nje ni utajiri ambao ungetunufaisha hapa Nchini

    Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na ulaya ni utajiri ambao ungetumika hapa hapa nchi hii ingeendelea sana kwa upande wa viwanda na kukuza...
  20. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania WAJUVI NA WATAALAMU WOTE NAOMBENI MSAADA HAYA NI MAWE YA AINA GANI?

    Nimeokota mawe haya yapo kama chupa, swali ni mawe au ni chupa?
Back
Top Bottom