Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,564
- 20,429
Wanajiografia na wasomi wengine. Hii milima ya mawe sehemu kama Mwanza, Dodoma na Iringa hutokana na nini?
Ilikuwa siku ya Ijumaa mafundi waliokuwa wakiiumba dunia walichoka kufinyanga udongo wakichanganya na mawe, ili Jumatatu waendelee na kazi wakaamua kuyavurumisha mawe ubaki udongo.Wanajiografia na wasomi wengine. Hii milima ya mawe sehemu kama Mwanza, Dodoma na Iringa hutokana na nini?View attachment 3632858View attachment 3632857View attachment 3632855View attachment 3632856
yale madogo madogo yana undergo combination.Yanatokana na mawe
hahaha mkubwa nakubali sana majibu yakoHuo sio mlima labda kama uko shule unaendaga kutembea na kurud
Tawire 🤝yale madogo madogo yana undergo combination.