Naombeni mawazo na jinsi ya kufanya

Naombeni mawazo na jinsi ya kufanya

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
325
Reaction score
1,130
Nahitaji kuanzisha biashara ya kukopesha fedha kisheria na wakopaji niwakopeshe online,na malipo pia wafanye through my bank account Sasa naanzia wapi ndo nashindwa kuelewa,50000 Liba 15,000,100,000 Liba 25,000 lakini kwenye form ya ukopaji nahitaji waweke na namba za nida je nitafanikisha kama unaweza nisaidia naomba Kuni pm unipe ushauri Zaidi wa kuandaa izo form za online na kama nitaijika kwenda kwani Kusajiri hii biashara naomba maelekezo Asante🙏🙏🙏
 
Nahitaji kuanzisha biashara ya kukopesha fedha kisheria na wakopaji niwakopeshe online,na malipo pia wafanye through my bank account Sasa naanzia wapi ndo nashindwa kuelewa,50000 Liba 15,000,100,000 Liba 25,000 lakini kwenye form ya ukopaji nahitaji waweke na namba za nida je nitafanikisha kama unaweza nisaidia naomba Kuni pm unipe ushauri Zaid wa kuandaa izo form za online na kama nitaijika kwenda kwani Kusajiri hii biashara naomba maelekezo Asante🙏🙏🙏

Fungua kampuni na utafute kibali cha kukopesha toka bank kuu.

Fuata taratibu za nchi Kabla sheria hazijakufuata wewe
 
Nahitaji kuanzisha biashara ya kukopesha fedha kisheria na wakopaji niwakopeshe online,na malipo pia wafanye through my bank account Sasa naanzia wapi ndo nashindwa kuelewa,50000 Liba 15,000,100,000 Liba 25,000 lakini kwenye form ya ukopaji nahitaji waweke na namba za nida je nitafanikisha kama unaweza nisaidia naomba Kuni pm unipe ushauri Zaidi wa kuandaa izo form za online na kama nitaijika kwenda kwani Kusajiri hii biashara naomba maelekezo Asante🙏🙏🙏
Fika BOT kwa Msaada zaidi maana mwishoni hua mnakuja kufungiwa na kukamatwa na polisi
 
ukianza kuajiri watendaji nijulishe

kukopesha wafanyakazi ni vizuri zaidi makato ni moja kwa moja ktk mshahara
 
Kama Una mtaji usikopeshe online

Fanya hivi nenda Pwani sehemu Ambayo Ina viwanda vingi uanzishe Biashara ya kukopesha .

Na uwakopeshe wanawake hasa wanaofanya Kazi kiwandani kwa Liba ambazo zipo kirafiki.

Tofauti na kuwaposhe watu wa online ambao hawatakulipa .

Watanzania kulipa madeni ni wagumu Sana Mkuu unahitaji umkopeshe MTU unayemjua physically
 
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom