Kabla ya Ndoa, haya ni mambo muhimu sana mnayopaswa kuyazungumza ili kuepuka maumivu na kuvunjika moyo baadaye:
1. Fedha - Tutazisimamiaje? Pamoja au kila mmoja kivyake?
Nani ataweka akiba, nani atatumia, na tufanye nini mambo yakibana?
2. Watoto - Je, tunataka watoto?
Wangapi? Na ni maadili...
Wakuu, wataalamu. Nimeanza kuhisi maumivu makali sana maeneo ya chini ya kifua. Ni siku ya tano toka nimeanza kuiExperience. Nimekuwa nikitumia dawa za maumivu kutuliza maumivu.
Kama kuna anayejua dawa inayowesa kunisaidia anisaidie, maana hii hali nasikia wanasema huwa inatibiwa kienyeji...
Wakuu hamjambo!!?
Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
awamu
baada
heshima
huyu
idd
idd amin
ifutwe
makali
mauaji
maumivumaumivu makali
nchi
ndugu
rais
samia
sehemu
tabu
taifa
taifa letu
uganda
ukombozi
vizazi
Habari Wana JF
Haponyuma nilileta tatizo la kuumwa na kiuno Hadi miguu kuwaka moto.
Mrejesho :Nilienda hospital nikafanyiwa x Ray nakuonesha niposawa ikabidi wanipeleke kwenye MRI ambapo majibu yalionesha kulikua namsuguano kwenye UTI wa mgongo maeneo ya kiuno ambapo tatizo Hilo lilisababishwa...
Aisee mwenzenu mwana jf kwanza poleni kwa kadhia za maandamano ata mm vijana wa genz walinkimbiza mno kitaa tarehe 30 baada kutokea mtaan na shati langu la kijani, mazeee ilkuwa shidaa...
Baadae kupooza maumivu yangu nlimpata binti mmoja kifaa kizuri kweli kweli cha matumizi ya sanaa...
Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia katika siasa za kimataifa. Na ninaamini wengi mnapenda kuja baadae kufanya siasa za kimataifa ili...
Miongoni mwa mawaziri wote wa Baraza la Mawaziri la 2020-2025, Jerry William Silaa peke yake ndiye waziri aliyeanguka ubunge hivyo kupoteza sifa ya kuteueliwa kuwa waziri tena kwenye baraza lijalo.
Jerry Silaa aligombea ubunge 2025-2030 kwenye Jimbo la Ukonga, Ilala jijini Dar es Salaam kupitia...
Miaka kadhaa iliyopita, niliuguza kidonda cha kung'atwa, leo aliyening'ata nimekutana naye kanisani tukataniana kuhusu lile tukio. Acha niwape kisomo kidogo na niwakumbushe namna ya kufurahishana bila kuumizana.
Kama na wewe ulishawahi kuumia au kuumizwa kwenye harakati za kujilia chakula cha...
Nasikia niseme jambo moja muhimu kuhusu mtoto anayezaliwa, jambo hili ninalisema kwa unyenyekevu mkubwa na upendo mkubwa kwenu dada zangu.
Najua si wote walipenda kuwa na hali walizonazo sasa za kupewa mimba au ujauzito kisha wakaachiwa watoto hapo na wanaume waliowapa ujauzito.
Ukiangalia...
Kwema wakuu, heshima mbele!
UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi.
to be continued....
Habari za wakati huu wana Jf,
Jamani kama miez miwili iliyopita nilikuwa nasumbuliwa na maumivu ya kichwa na macho kuvuta, misuli ya shingo kuuma nikaenda hospital nikaambiwa nina shida ya macho (Myopia) nikashauriwa tiba yake ni miwani.
Baada ya vipimo nikaambiwa natakiwa kuvaa miwani yenye...
N:B: Ngao ya jamii haihusiki 😁 Simba wametandikwa kihalali.
Tupo Tanzania, hapa sio Malawi au Kenya, ukiwa na kampuni, biashara, taasisi, n.k. kuna vitu inakubidi uvifanye katika uwanja wa serikali na siasa ili mambo yaende
hata vilabu vya mpira inabidi wavifanye hata kama haviwafurahishi...
Tunaweza kujifunza sasa tukiamua kabla hazijaja nyakati ngumu.. Nguvu ya uma ni nguvu ya ajabu mno
Imewachukua vijana wa Nepal masaa 36, kupata uhuru wao kuondoa serikali isiyowajibika madarakani.
Mwanzo polisi walitumia amri, mabomu, risasi na kuzima mitandao.
Sasahivi waziri mkuu yuko...
“Tumegundua na tunajua kuwa watu wana bendera nyingi wakati watanzania wengine hawana nguo, watu hao wanathamini chama badala ya maslahi ya taifa la Tanzania. Mkituchagua tunahitaji kuwa na jukwa moja la shughuli ili watu wawachague viongozi bila kutishiwa au kushawishiwa. ”
Ni ahadi ya mgombea...
Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.
Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....
Binti yangu huyu alianza kuumwa...
Wakuu
Kwa wiki moja sasa nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ambayo sio makali sana mkono wa kushoto na ukiinua mkono na kuubana kwenye eneo la kushoto ambapo kuna moyo, unahisi kama kukosa pumzi vizuri. Nimepima vipimo vingi ikiwemo ECG na ECO lakini hakuna kilichoonekana na maumivu bado...
Habari za majukum wanajamvi,
Nielekee moja kwa moja kwenye mada, nimekua napatwa na maumivu makali sana ya kiuno na kwenye mishipa inayoenda kwenye korodani.
Hali hii inatokea zaidi haswa baada ya tendo la ndoa. Kwa wenye ujuzi naombeni msaada wenu au kama kuna daktari mahsusi kwa kina baba...
Wadau nimekuwa muhanga wa tatizo Hilo tangu nikiwa balehe mpaka Leo hii nikiwa na umri wa miaka 27.
Huwa janga hili linajitokeza mara Kwa mara nasikia uchungu sana haswa kwenye korodani Moja tu inaniletea mpaka ugumu wa kutembea kwa amani.
Ni nini chanzo na tiba yake ikoje? Je, kuna madhara...
JE, UNAUMWA NA JINO AU FIZI? 😖
Maumivu ya jino yanaweza kuharibu siku yako yote—ukose kula vizuri, kushindwa kulala na hata kuathiri mdomo kutoa harufu mbaya. Wengi hufikiri suluhisho ni kung’oa tu, lakini si lazima ufikie huko.
🌿 ALERA ni dawa asilia iliyotengenezwa kwa viambato vya mimea ya...
Wakuu nisaidieni hili jambo. Nilienda kunyooshwa mkono (ulijikunja baada ya ajari), nikapigwa nusu kaputi sababu ulikua stiff ili.ukinyooka nifanyiwe surgery.
Sasa umenyooshwa na nimewekewa pop, leo siku ya 2, lakini maumivu hayapoi ndani ya pop, japo nilipewa maelekezo ikitokea ngozi ya vidole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.