Wapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia.
Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka...
Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka
Britanicca
Kobisi ni muigizaji ambaye amejipatia umaarufu hivi karibuni mbali na kuwepo kwenye game kitambo. Tamthiliya ya kombolela imemfanya Kobisi aonekane na ajulikane. Kobisi ni kijana mkubwa mwenye mtoto mkubwa lakini hana msaada nyumbani kwa wazazi wake zaidi ya kuongeza mzigo kwa mzee wake.
Wakati...
Kuna watu wanatoka familia ambazo wazazi wao wanawapa kila kitu wanachokitaka na ndugu zao wanawapa support wanazohitaji katika harakati zao.
Lakini kuna sisi tunaotoka familia ambazo wazazi wametupa kile kidogo kilichopatikana. Tumebeba jukumu la ukombozi wa familia katika umri mdogo tukiwa...
"Usaliti, umbeya, hujuma, na dhuluma ni moto wa ndani unaowasha kiu ya malipizo katika nafsi za walioumizwa, si kwa sababu wanapenda kulipiza, bali kwa sababu maumivu yao yamepuuzwa kwa muda mrefu." — Alloyce, P.R.
Dalili hizi, zinazojulikana kitaalamu kama kikohozi sugu , maumivu ya kifua, dyspnea (shida ya kupumua), na uchovu wa kudumu, zinaweza kuashiria magonjwa mbalimbali yanayoathiri mfumo wa upumuaji au moyo. Katika muktadha wa afya ya jamii, kutambua dalili hizi mapema na kufanya uchunguzi sahihi...
Kosa langu la kwanza kuamini moyo, kwenye Dunia ya mapenzi isiyompa makazi ya kudumu mwanaume asiye na pesa.
Kosa la pili kuishi kimazoea, dhidi ya kiumbe niliyetakiwa kuishi nae kwa akili.
Kosa la tatu niliamini naweza kumtuliza kwa kumjali sana.
Na kufuata maagizo ya jando ninapokuwa nae...
Huko brazili kuna kituko sio cha Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa Fikiria hili kama sinema ya vichekesho isiyoandikwa kuna Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 54 huko Brazil alienda hospitali baada ya kukumbwa na maumivu ya tumbo yasiyoelezeka. Lakini si kawaida – kumbe alikuwa amejichomeka...
Hii inaweza kuwa ishara ya moja kati ya changamoto kubwa mbili za afya ya uzazi: Ovarian Cyst (uvimbe kwenye mfuko wa mayai) au Fibroids (uvimbe kwenye mji wa mimba).
🔍 Ovarian Cyst ni Nini?
Ni uvimbe uliojaa maji unaotokea kwenye moja au ovari zote (mayai ya uzazi). Mara nyingi ni wa kawaida...
Hali ya sasa nchini Iran imekuwa ya kukaushwa sana, kufuatia mashambulizi makubwa ya Israeli yaliyofanyika tarehe 13 Juni 2025. Hapa ni muhtasari wa hali:
Mapigano na Uharibifu
Mashambulizi ya Israeli: Operesheni iliyopewa jina la “Rising Lion” iliwashirikisha ndege za kivita zaidi ya 200...
Kuchagua viongozi wao wakuu wa chama wasio maono wala mikakati madhubuti ya kisiasa ni kosa la kwanza kabisa Chadema walifanya, hata sasa wamejikuta hapo walipo.
Kuitenga na kususia michakato ya kidemokrasia kwa mihemko ya kiongozi wao moja tu, ilikua ni kosa la pili kubwa zaidi lililoiingiza...
Hello wanajukwaa, nimekuja ndugu yenu ninahitaji msaada wenu.
Mume wangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa miaka sasa na ameshatumia dawa za kila aina. Changamoto ya sasa anasema anapata maumivu shingoni, kuna muda mdomo unakuwa mchachu kama ana homa.
Kaenda hospitali, kapigwa X-ray na...
"Ukiwa mwanasiasa, jifunze kwa team Hatuchezi Ng’oo, ukilala chali, unaamka chali, hakuna kuegemea ubavuni! Maumivu yana GPS, yanakupata popote ulipo. Siasa si sinema, ni gym ya roho." — Alloyce, P.R.
Habari wa JF. Ndugu yenu hapa ni wiki sasa nasumbuliwa na maumivu ya nyonga . Mwanzo nilianzia kuumwa na kiuno na nyonga ila kwa sasa kiuno kipo vizuri kilichobaki ni nyonga kuuma. Maumivu yapo ndani na nje kwenye misuli ya kuja kuunga na kiuno ina kuwa kama inakaza, kuna dawa ya asili ambayo...
Iwe kwenye MAHUSIANO
Iwe kwenye Biashara
Uwe kwenye elimu
Iwe kwenye ajira KAZI nk.
Maumivu yapo kukufanya ukomae,
Usiogope kuumia unaandaliwa kiwa Bora kesho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.