mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bado masaa tu, ripoti ya tume ya kuchunguza mauaji na matukio ya October 29,2025 itoke

    Tukumbuke Samia aliunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29, tume hii iliundwa tarehe 18 November na kupewa muda wa miezi 3 ambapo Bado takribani saa 24 siku iwadie, kuchunguza na kutoa ripoti hiyo Ila Nina maswali najiuliza 1. Tume hiyo itatoa idadi halisi ya watu waliouliwa? Au hata...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Ugaidi Tanzania: Mateso, Mauaji, na Utekaji nyara wa Kisiasa unaongezeka. The Washington Post.

    February 6, 2026 Warning: This story contains graphic content. https://t.co/bwpN0QJUj7 Tafsiri isiyo rasmi. Ikimezwa na vita na idadi kubwa ya waliokufa, Afrika inaingia katika aina ya giza ambalo ulimwengu haujawahi kuona. Mto wa damu isiyo na hatia, unaoanzia Nigeria hadi Sudan, unameza...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya aliyekuwa dereva wa wanamgambo wa Kihutu Mauaji ya kimbari Rwanda kuendeshwa Paris

    Kesi ya rufaa ya raia wa ufaransa mwenye asili ya Rwanda anayekabiliwa na tuhuma za mauaji ya kimbari imefunguliwa Jumanne katika Mahakama ya Assize ya Paris. Claude Muhayimana alipatikana na hatia mwaka 2021 kwa kosa la kushiriki katika mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi ya binadamu, na...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Walizoea kuleta documentary za Rwanda na Congo, sasa rasmi zipo za Tanzania

    Tuwashukuru CNN, Al Jazeera na BBC kwa kuweka sawa documentary za mauaji ya katika nchi ya Tanzania Kila ukifika Uchaguzi, walizoea kutishia wa-TZ kwa documentary za mauaji ya Rwanda, na Congo. Mungu Ibariki ICC huyu awe rais wa kwanza ktk EAC kujibu Mashtaka...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Vatican yasisitiza kufanyika kwa uchunguzi huru kufuatia mauaji ya Oktoba 2025

    Kutokana na upotoshaji wa baadhi ya watu kuhusiana na ziara ya Waziri Kombo, huko Vatican; Vatican na Kanisa Katoliki Tanzania kwa kupitia taasisi yake za Kanisa, ya Wasomi wataalam, imetoa ufafanuzi kuepusha upotoshaji: 1. Waziri Kombo alimweleza Papa kuwa Samia ameunda tume kuchunguza matukio...
  6. JamiiForums Tanzania POTOSHI Polisi auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29

    Auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 29/01/2026 ni siku ya kumbukumbu ya mauaji ya MO29

    Tunawakumbuka waliouawa, waliojeruhiwa, walioumizwa, waliopewa ulemavu wa kudumu na serikali haramu ya Samia siku ya tarehe 29/10/2025. Vijana GenZ na Watanzania wote ili kuwaenzi wahanga itapendeza ukivaa nguo nyeusi ikiwezekana yenye picha za wahanga.
  8. JamiiForums Tanzania Leo ni Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari ya Wayahudi

    Waziri wa Mambo ya Nje Gideon Sa'ar Atoa Hotuba katika Sherehe ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari huko Astana, Kazakhstan Waziri wa Mambo ya Nje wa Kazakhstan Yermek Kosherbayev pia ametoa hotuba. Hotuba Kamili ya Waziri Sa'ar: "Ninasimama hapa kama mwakilishi wa Wayahudi...
  9. JamiiForums Tanzania Waliohusika na mauaji sasa hivi watakuwa wanapongezana na kutaniana

    Ndio sasa hivi watakuwa wanataniana kuwa mwenzangu ulikuwa unalenga vizuri, mwingine atasema kuna mtu nilimpiga ya kichwa alikufa namuona roho inaumia, lakini wengine wanaombea itokee Tena Wengine watakuwa wanajuta na kulia na kumsihi Mungu awasamehe
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tume Bandia Ya Kuchunguza Mauaji ya Octoba Ni Sawa na Wauaji Walivyozima Internet

    SIku zote mwovu huwa ni muoga wa uovu wake, hasa ukijulikana kwa wengi. Toka mwanzo, Tume ile iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa Mauaji ya 29 Oktoba, wengi waliistukia na kusema ni tume bandia inayotaka kuwapumbaza wananchi na jamii ya kimataifa, lakini lengo lake kubwa likiwa kutafuta namna ya...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

    Hello guys Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika. Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza. Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation. Siongezi maneno but within...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI ICC itatoa hukumu mwezi huu January 2026, kuhusu mauaji yaliyotokea Oktoba, 2025

    Wakuu nimekutana na Taarifa huko mtandaoni inayoeleza kuwa; "=AZYgKkVELthfF2or8cz9hZgtDA2u2RiBdMfdI8maVSNICA04cSYXXbdXRplfrWQvl_7jXQwbtQeqJ-AHtoRziO5eE5VYJ6t4oaVOH482QFJ6S9hWcWKyFVkANFBRfLwvaufqlpK135He2ochFj0XJkUCngvoo0g2yoYg_jBY6fBEDX62nxo0jsmwKYNFNTfLS8Y1EhB4LKO4uYtMX6BoU9IN&tn=*NK-R']#Kesi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Ubelgiji kuendesha kesi Mauaji ya Patrice Lumumba, familia yadai haki

    Familia ya kiongozi wa uhuru wa Congo, Patrice Lumumba, imesema kuwa bado ina matumaini ya kupata haki, wakati mahakama ya Ubelgiji ikizingatia uwezekano wa kumfikisha mahakamani mshukiwa pekee aliyesalia hai kuhusiana na mauaji ya mwaka 1961. Kwa takribani miaka 15, familia ya Lumumba imekuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka mkoani Tanga, Kazungu Bakari Kazungu, amewatolea uvivu vijana wanaojiita wanaharakati, Joseph Yona na Ahmed Kombo, kufuatia tuhuma zao nzito dhidi ya viongozi wa CHADEMA, akisema kuwa kauli zao hazikidhalilishi tu chama tawala bali pia zinaumiza familia...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli Wafichuka Kesi ya Shakahola, Mshitakiwa Akiri Mauaji ya Watu 191, Wengi Wakiwa Watoto

    Katika kesi ya mauaji ya Shakahola nchini Kenya, Enos Amanya maarufu kama “Hallelujah” ameachana na kukataa na akiri hatia ya mauaji 191 mbele ya Mahakama Kuu ya Mombasa. Amanya, mmoja wa washitakiwa 29, alisema alishiriki katika mauaji na mazishi ya waathiriwa kati ya Januari 2021 na Septemba...
  16. JamiiForums Tanzania Samia, kwenye haya mauaji ya halaiki hauchomoki. Hata uvae mbawa za malaika hutoki

    Majibu ya kebehi unayowapa wananchi wanaolilia wapendwa wao uliowaua kabla na baada ya Oktoba 29 2025 yapo recorded na yanatafsirika. WHO ARE YOU anakuja after YOU Unajibebisha kwa mabalozi ukidhani ni matopolo kama Johari. Umeramba garasa bibie. Wewe na wenzako akiwemo huyo boss wako...
  17. JamiiForums Tanzania GOOD NEWS dhidi ya kesi ya SSH mahakama ya ICC kujibu tuhuma za mauaji ya maelfu ya raia wake 29/10 . Taasisi 4 muhimu duniani zaandaa ushahidi

    https://youtu.be/L2GVEcJT2vs?si=ZwNrFhMEKZN3Z1e9 Taasisi nne zinazoheshimika duniani zimekusanya uthibitisho wa ushahidi usio na shaka juu ya uhusika wa vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania kwa amri ya Rais Samia Suluhu Hassan kupanga na kutekeleza mauji ya halaiki (genocide/massacre) ya...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29

    Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29.Habari njema ni kwamba Mungu amesikia sauti ya vilio vya watanzania waliouawa pamoja na vilio vya ndugu zao.Hukumu ipo tayari kwa wauaji wote kuanzia juu.
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 DW yathibitisha aina ya Risasi zilizotumika kwenye mauaji ya Oktoba 29, 2025 zilikuwa ni za Polisi na Jeshi la Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu zilizofuata uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania. Maandamano yalizuka katika miji mikubwa ikiwemo Mwanza...
  20. JamiiForums Tanzania Trump adai Mauaji Iran Yamesitishwa, lakini kama hali bado ni tete nchi humo

    Rais wa Marekani Donald Trump ameongelea hali ya usalama nchini Iran. Katika kauli yake ya hivi punde, Trump amewahakikishia watu kuwa mivutano na mauaji yanayoripotiwa nchini humo yamefika kikomo. Trump ameongelea mambo muhimu mawili: Kukoma kwa Mauaji: Trump amesema amearifiwa kuwa mauaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…