TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,784
- 4,257
Taarifa zinazosambaa kukamatwa kwa kijana mmoja huko Mwananyamala kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili ambao ni ndugu zake wa damu akiwemo baba yake mzazi ni za kweli.
Nimefuatilia kwa ukaribu kijana alikuwa akiishi Afrika ya kusini akijishuhurisha na biashara,akiwa huko kila alichokuwa akipata kwa kiasi kikubwa alikuwa akimtumia baba yake mzazi,kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa nyumba yake.
Alianza kutuma pesa za kununua kiwanja na mzee kwa kushirikiana na ndugu yake huyo walithibitisha walinunua kiwanja kumbe si kweli,baada ya muda akatuma fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi wa nyumba,na inasemekana kiasi kilichotumwa kilipaswa kuwa kimekamilisha ujenzi wa nyumba kwa zaidi ya 90%.
Katika kipindi chote akiwa huko walikuwa wakimtumia picha na video feki akawa anaamini,sasa kijana karudi baada ya hili vurugu linaloendelea huko la ubaguzi na hajakuta alichotarajia kama walivyomuaminisha.
Baada ya kuhoji mzee wake akawa jeuri kwakutafuta huruma kwakuwa ni mzazi akajibu atakavyo kwa maneno makali kama mimi nimekuzaaa ,nimekulea umenilipa nini?,kijana akajawa na jazba,kumuuliza ndugu yake aliyekuwa wanashirikiana na mzee naye niwakaliba hiyo ndipo kijana akachukua maamuzi magumu.
MY TAKE.
Kuna ujinga fulani wazazi wanaufanya na kutake advantage kwa watoto wao kwakuwa wamewaza.
Hakuna mtoto aliomba mzazi amzae,ni mzazi mwenyewe alizaa kwa matakwa yake,na kulea ni suala la kisheria na niwajibu wake mzazi kulea,na hastaili malipo.
Kuzaa mtoto kwa lengo la kutata aje akusaidie baadae huo ni uzindukaya na fikra za kidwanzi,huyo mtoto atakuwa na familia yake,atahudumia wangapi?.
Wazazi wanatumika kukwamisha watoto wao kwa kujiamulia mambo kisa wazazi ni udwanzi.
kwa sisi vijana tubadili mentality,tuzae pasipokuwa na mategemeo ya watoto kutusaidia kama sheria,mtoto aje atusaidie sababu ya upendo na fahari kwake na sio kwamba sina uwezo wa kujihudumia.
Soma pia Tetesi: - Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna