ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Praiveti Pascal Lipita (28), anayefanya kazi katika wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kikosi cha 843 Nachingwea, mkoani Lindi, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji.
Lipita (28) anatuhumiwa kumuua askari mwenzake, Praiveti Baserisa Ulaya kwa...