Kagera: Amuua mwanaye kwa kumchoma moto makalioni na usoni

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Juma Daniel, mkazi wa Kijiji cha Kazingati kata ya Keza wilayani Ngara, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kumzaa, mwenye umri wa miaka miwili.

Daniel anadaiwa kumuua mwanaye huyo kwa kumchoma moto usoni na makalioni na kumjeruhi kwa kitu chenye ncha kali sehemu za haja kubwa, baada ya mtoto huyo kujisaidia haja kubwa kitandani wakati wamelala.

Kamanda wa Polisi mkoani Kagera, Revocatus Malimi, amesema kuwa Baba huyo alikwishatengana na mama mzazi wa mtoto huyo na kuoa mke mwingine.

Aidha Kamanda Malimi alilitaja jina la mtoto huyo kuwa ni Bahati Juma, na kwamba alifanyiwa kitendo hicho cha kikatili Disemba 27, 2019 na hakupelekwa hospitali badala yake alianza kumtibu kienyeji nyumbani, na baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya baba huyo alitoroka.
 
Huyu Mzee katiri anayewafanyia ukatiri akina Kabendera alipaswa awafanyie huo ukatiro watu design hii!
 
Hahaha kama tatizo lilikuwa ni kunya sana au wingi wa mavi, angeomba technologia ya DAWSCO wanayotumia kutufungia maji amzibe, lakini yeye akawa anamzibua. This father was a genius!
 
Huyo mzee ni wa kuingiza chuma chekundu cha moti mkunduni alafu una washa gunia mbili unaweka kwenye pumbu zake huku unamwambia akate viuno , nyimbo inacheza MAPEPE BY KINGWENDU , ukimaliza aruke kichura chura paka kwenye shimo linawaka moto ajirushe mwenyewe ndani
 
Usikute ilikuwa amri kutoka kwa mama wa kambo! Amri Ya kumpiga mtoto! Au baba hana akili vizuri huyo!

Malaika wa Mungu. Dah! Mtoto hajui chochote huyo 2 yrs!

Sent using Jamii Forums mobile app
...Kweli, kuna Uwezekano mkubwa wa Hili la Nguvu ya Mama wa Kambo kuchochea jambo hili kutokea!!
Inawezekana kabisa Mama alishinikiza hili kutokea na katika mzee kuonekana hayupo nyuma katika kuadhibu, ndio likatokea hili....R.I.P Malaika...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Juma Daniel, mkazi wa Kijiji cha Kazingati kata ya Keza wilayani Ngara, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kumzaa, mwenye umri wa miaka miwili.

Daniel anadaiwa kumuua mwanaye huyo kwa kumchoma moto usoni na makalioni na kumjeruhi kwa kitu chenye ncha kali sehemu za haja kubwa, baada ya mtoto huyo kujisaidia haja kubwa kitandani wakati wamelala.

Kamanda wa Polisi mkoani Kagera, Revocatus Malimi, amesema kuwa Baba huyo alikwishatengana na mama mzazi wa mtoto huyo na kuoa mke mwingine.

Aidha Kamanda Malimi alilitaja jina la mtoto huyo kuwa ni Bahati Juma, na kwamba alifanyiwa kitendo hicho cha kikatili Disemba 27, 2019 na hakupelekwa hospitali badala yake alianza kumtibu kienyeji nyumbani, na baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya baba huyo alitoroka.
Huko Kagera kuna shetani gani?

Maana utasikia matukio ya ajabu ajabu ndo huanzia huko na kusambaa nchi nzima; mwalimu kapiga mtoto hadi kuua kisa pochi, baba kaua mke na watoto kwa kukata mapanga, tetemeko la ardhi, katerero, radi na mvua kubwa, ukimwi, mkuu wa wilaya kucharaza bakora walimu walevi nk.

Haya mambo huanzia Kagera ikijulikana zaidi kwa jina la Bukoba na kisha kusambaa nchi nzima. Yanaanza kama Demo yakifanikiwa yanasambaa nchi nzima.

Mungu apishe mbali unyama huu
 
Back
Top Bottom