mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CCTV zilivyowaumbua Polisi Kenya Mauaji ya Mwanablog Ojwang

    Wiki iliyopita inaweza kuwa siku mbaya kwa Jeshi la Polisi Kenya, baada ya ushahidi wa video za usalama (CCTV) katika kesi ya mauaji ya mwalimu na mwanablogu, Albert Ojwang, kuwaumbua polisi waliodaiwa kujaribu kuficha mauaji hayo. Video hizo zilinasa matukio yote kuanzia Ojwang anafikishwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mauaji ya mzazi huko mwananyamala

    Taarifa zinazosambaa kukamatwa kwa kijana mmoja huko Mwananyamala kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili ambao ni ndugu zake wa damu akiwemo baba yake mzazi ni za kweli. Nimefuatilia kwa ukaribu kijana alikuwa akiishi Afrika ya kusini akijishuhurisha na biashara,akiwa huko kila alichokuwa akipata...
  3. JamiiForums Tanzania Walikuwa wanafurahia mauaji ya Mo29 wameanza kupata majibu Yao! Mungu hadhihakiwi

    Kuna watu kwanza walisemaga hawataki kuongozwa na MWANAMKE Baadae wakalambishwa asali wakaanza kutisha wengine kuwa ole wao wamsemao kiongozi huyo mwanamke tunawakata mapanga Baadae wakashabikia waliopotezwa 29 kuwa sio wa kwao! Sasa Mungu hapendi dhihaka
  4. JamiiForums Tanzania Daily Maverick (Op-ed): Hata Wewe, Samia? Dola ya Kimabavu ya Tanzania na Ukanushaji wa Mauaji

    Dk Paula Cristina Roque Dk Paula Cristina Roque ni mkurugenzi mtendaji wa Intelwatch, shirika linalofuatilia matumizi ya kisiasa na yasiyo ya kidemokrasia ya huduma za ujasusi na ulinzi katika nchi za Kusini mwa Dunia (Global South). **** Mwangwi wa hivi karibuni wa kufunika ukatili wa baada...
  5. JamiiForums Tanzania Mauaji holela ya waendesha boda boda:

    Usafiri wa boda boda umekuwa kipimbilio la vijana wengi kupata kipato. Wengi wanaofeli shuleni na wale wanaohitimu na kukosa ajira hukimbilia kwenye shughuli hii ya kusafirisha watu na/au mizigo. Usafiri wa boda boda una changamoto nyingi ambazo humpata mwendesha boda boda na abiria wake pia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Deputy Prosecutor ICC: Tuna ushahidi wa mauaji ya Kimbari Sudan yaliyofanywa na RSF

    Ushahidi umekamilika sasa kilichobaki ni namna ya kumpeleka ICC ahukumiwe. Alipoulizwa.kuwa Bashir mpaka leo hajapelekwa huko akajibu: Ni mamlaka za ndani kumkabidhi kwetu tumshughulikie. Ameitaka UN kuwa na utaratibu wa kumkabidhi mualifu kwa nguvu ICC. Sasa napata MASHAKA! Hata akipatikana...
  7. JamiiForums Tanzania JWTZ inapaswa pia kutolea Ufafanuzi matukio ya Utekaji na Mauaji ya Watanzania

    JWTZ ni dhahiri limekubali kujinasibisha na SIASA- ambayo ni kinyume na KATIBA ya JMT ni hatari zaidi kwa ustawi wa TZ. Kwa mfano kauli ya Msemaji wa JWTZ kusema KAZI na UTU ni kauli ya kisiasa: kupitia ripoti ya Chande dhidi ya mauaji ya halaiki… Oct 29 moja ya sababu alizotoa zilizochochea...
  8. JamiiForums Tanzania Update mpya ya WhatsApp kiboko aiseeh, umejaribu lakini?

    Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni. 📢 Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia Username badala ya namba ya simu. Hii ni hatua kubwa katika kuongeza Usalama na faragha kwa watumiaji...
  9. R

    JamiiForums Tanzania ICC: Ninaanza kuwa na wasiwasi, hivi kuna lolote ICC kinachoendelea kuhusu mauaji ya halaiki. WHO IS PUSHING THE AGENDA?

    Naona kumekuwa kimya mno! Kuna lolote kweli linaloendelea? Who is pushing the agenda? Mbina ka eneo hako tumekasahau? WHO IS PUSHING THE AGENDA?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Rais wa Namibia alikuja kubariki mauaji, hakupashwa kuja

    Ujio kama huo ni kuhalalisha yaliyotokea 29.10.2025. Mwenye nia njema hakupashwa kuja hapa.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kutisha ya Oct29 ni matokeo ya hitilafu ya mfumo

    Mfumo unapopata hitilafu madhara kama mauaji ni jambo linalosubiriwa. Kama hitilafu isiporekebishwa tutegemee hatari zaidi
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kagoda,Deep green, Escrow,Richmond,ubinafsishaji wa bandari,mikataba mibovu kwenye madini,utekaji na mauaji,CCM haiwezi kukubali katiba mpya kamwe

    CCM kukubali katiba mpya ambayo italeta tume huru ya uchaguzi ni kujisogeza kaburini hii ni kutokana na hali halisi ilivyo na mwamko wa wananchi hasa vijana Katiba mpya itaifanya CCM isikae madarakani zaidi ya miaka kumi na tano toka mwaka itakapoanza kutumika. CCM ikipoteza hatamu hapo kila...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani

    🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨 TAUSI LIKOLOLA: We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice. The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now advances forward. This moment...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Kama sheikh, Mchungaji na Padri wako hajawahi kukemea mauaji, basi njoo Maria space usali ukemee mauaji kuitikia amri ya MUNGU "USIUE"

    Ndio ujumbe wake leo huko Maria spaces. Kama hao viongozi wa dini yako wanashindwa kukemea mauji ya 29th October 2025, ja maovu mengine, basi achana na huko njoo Maria spaces ukemee mauaji!
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA mjiulize swali la msingi. Kama Mch Msigwa angesginda uchaguzi kupitia CCM angejiuzulu ubunge sababu ya mauaji ya Oktoba 29?

    Anadai sababu kubwa ya yeye kurudi CHADEMA ni kwa sababu mauaji yalifanyika tar 29 mwezi wa kumi mwaka 2025. Je, kama CCM ingempitisha kuwa mgombea wao wa ubunge na kisha akawa mbunge angejiuzulu au angekataa kuapishwa kuwa Mbunge? Wajinga ndio...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Damu haikauki; Raul Castro (94), ashtakiwa kwa mauaji ya miaka 30 iliyopita akiwa Waziri wa Ulinzi

    Wakati kakaake Fidel akiwa Rais ye ndo kidume cha utekaji, utesaji, ufiraji, ubakaji na mauaji Lakini hizi jinai za damu huwa haziozi. Methali za mavi ya kale hayanuki ni uongo tulikaririshwa shule. Shule zetu zile zilikuwa mbovu, ndo maana tunaagiza viberiti Kenya. Charge sheet, hati ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kombo: Rais Samia amesemwa na kuchorwa sana baada ya uchaguzi, wakati amefanya kazi kubwa kutulinda kuwa na uhai

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa siku za hivi karibuni Rais Samia amekuwa akisemwa na kuchorwa sana na lawama zote kupewa yeye kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi, wakati rais alifanya kazi kubwa ya kikatiba...
  18. JamiiForums Tanzania Samia kutoswa na Kundi ambalo halikuhusika na Mauaji Wala Utekaji, ila Lina Mali na Fedha zake US na Ulaya .. Tayari Hawaruhusiwi Kuhamisha Fedha zao.

    Hilo Kundi linadai kua 'Mali zao na Fedha walizipata tangu za Nyerére, Mwingi, Mkapa, Kikwete, Magufuli. Kundi hili linasema kwa namna yoyote, Mali na Fedha zao hazina uhusiano na SAMIA. Kundi hili Mwisho linasema "Sisi hatuhusiki na Utekaji, Wala Mauaji ya RAIA Wala Mauaji ya Vijana ,akinà...
  19. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ni suala la kiasili. Kutumia jeshi na kufanya utekaji na mauaji hakuwezi kuisaidia CCM.

    Kuna mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba taifa linahitaji mabadiliko. Kuwa na katiba ambayo ilitungwa na makada wa CCM ambao hawakushirikisha wananchi ni aibu kwa taifa kama hili na haifai Watanganyika wanataka katiba ambayo kwanza itatambua taifa lao. Alafu katiba ambayo itawapa mamlaka...
  20. JamiiForums Tanzania Mauaji ya raia wa China yanaendelea kuharibu taswira ya nchi yetu

    Jeshi la polisi lifanye uchunguzi mapema ,tuwahakikishe usalama wawekezaji. Suala la mchina aliyeuawa mabibo Dar ni suala ambalo linaweza kuwapa hofu wawekezaji juu ya usalama wao nchini kwetu na kufanya tukose wawekezaji hasa wa nchi kubwa kama china. Lakini kampuni hizi zisimamiwe kampuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…