matusi

Leneuoti Matusi is a Tuvaluan politician and former civil servant who was elected as an Independent MP for the Nui constituency in a 2013 by-election, having previously served as the Secretary of the Nui Falekaupule.Matusi gained 297 votes out of 778 to gain the seat from the former sitting member Taom Tanukale who polled just 160 votes after resigning from Parliament on 30 July 2013 following the constitutional crisis. He will represent Nui alongside Pelenike Tekinene Isaia, who is the island's only female MP.A week after the by-election, Prime Minister Enele Sopoaga announced that Matusi had joined the government's side, helping to boost their members to nine.Matusi was not re-elected to parliament in the 2015 Tuvaluan general election.

View More On Wikipedia.org
  1. Namshauri Lema arudi Canada kuungana na familia yake. Haya matusi kwa watanzania yametosha sisi wanaArusha tusije laumiwa baadae

    Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka! Kuna watu...
  2. Nagafirika kwa kejeli, dhihaka na matusi ya member mpwayungu dhidi ya walimu wetu

    Peace be upon you all, Jamii yetu imekua na vijana wa ajabu sana case study ni kijana humu jf kwa id ya mpwayungu village na kama huyu member ni mzee basi ni mzee mpumbavu. Kumekua na desturi ya kudharauliana hadharani na kwa baadhi ya watu huona fahari kudharau na kudhihaki wengine mfano ni...
  3. Ashakum si matusi, Haji Manara atakimbiwa na mwanamke yeyote yule. Huu ndiyo ukweli

    Asalaam, Kijamii inafahamika nisiongee mengi mind clustering haiwezi kumsaidia hata asemeje kwa akili ya kawaida yule mwanamke sio yeye hata mwingine akimkubali Manara ni Kwa ajili ya kumvaragiza tu. Manara aache kelele nyingi yeye anajulikana yuko kundi gani sasa aache kulia lia ajikubali...
  4. Wapambanieni watoto wenu wasije kuwa na wivu kwa wenzao waliopambaniwa na wazazi wao

    Ashakum si matusi! Wivu hauwasaidii nyie watu ukweli lazima usemwe kabisa na na ni ukweli ni safi ila unauma ila ndiyo hivyo lazima niuseme tu no way kabisa wakuu. Juzi kila mwanafamilia kwetu ameingiziwa milioni miambili kwenye akauti yake miongoni mwao ni mimi nimelamba hiyo pesa kutokana na...
  5. Nape: Wanahabari, kama Mwanasiasa akitoa lugha ya matusi jukwaani achana naye usiripoti taarifa yake

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amezungumzia uamuzi wa Rais Samia Suluhu kuruhusu mikutano ya siasa ya vyama, ambapo amewatahadharisha Wanahabari juu ya mikutano hiyo. Nape amesema “Rais amefungulia mikutano ya hadhara, ni matumaini yangu Wanahabari wa...
  6. Baadhi ya maneno ya matusi ambayo jamii hutumia kwa kujua au bila kujua

    Kumekuwa na mtindo kwenye Jamii kugeuza maneno yenye mlengo wa ki matusi kuwa kama sentensi au misemo rasmi na halali kuitumia kwenye maongezi ya kawaida. Na kwa isivyo bahati kwa utitiri huu wa vyombo vya habari imekuwa ni rahisi sana kueneza misemo au mneno yenye ukakasi au matusi hata kama...
  7. Nikuite bar, nikununulie bia na matusi kunitukana?

    Nimechoshwa na tabia wanadada wenye midomo isiyo na marinda. Kama umelewa usitukane, Kwa sababu hata gemu haliwezi kunoga
  8. Bei za vifurushi kupanda huku waziri mwenye dhamana akikenua meno kwa furaha ni matusi mazito kwa waTanzania

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk. Kanuni mama inayovunjwa hapa ni ile inayokataza watoaji wa...
  9. P

    Kujiegemeza kwa PM wa UK Rishi Sunat ni hadithi ile ile ya matusi tuliyomtukana Obama

    Waafrika tuna ufundi mwingi wa kujihusianisha na watu maarufu wenye madaraka makubwa huko Ulaya na US. Mtu hata anayeonekana kama ni mchovu tu akianza kuongea atataka awatishe wanaomsikiliza kwa kuchomekea mbwembwe za hapa na pale ili mradi tu aonekane ni wa maana kwa wanaomsikiliza. Ni suala...
  10. N

    Barbara katukanwa matusi ya kila aina kumbe jezi zilkuwa tayari wakiwa Misri

    Mara uzembe, hakujua kama sponsor anabadilishwa? jezi kweli zimechelewa lakini ni nani alijua kwamba tangu wakiwa Misri video/photoshoot za wachezaji zilifanyika kule? Laiti kama Sope Takadini angekuwepo zingeshavuja muda mrefu, kwa hili la kubana mianya ya kuvuja aisee hongereni sana...
  11. TCRA tusaidieni na haya matusi tunayotukanwa na matapeli

    Leo nimepigiwa simu na namba 0653608556 akijifanya Mfanyakazi wa Tigo pesa na akasema akaunti yangu ya tigo pesa imefungiwa. Jamaa akaanza nisomesha na akauliza simu yako ni smartphone au kiswaswadu. Nikasema kiswaswadu, akaniambia nibonyeze namba *37# sikubonyeza na yeye akajua kwamba...
  12. Karia Hujaacha Matusi tu?

    Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na...
  13. Askari amshushisa dereva matusi na kipigo, Ni vipi tunaweza kujitetea na uonevu bila hofu ya kuuliwa, kubambikiwa kesi za madawa, ugaidi, n.k

    Cheo kinapopewa kwa mtu ambae sio muadilifu huwa ni janga kwa wananchi. Baadhi (sio wote) ya ma askari hutumia cheo hiki kunyanyasa raia, mfano anaweza kukupora mali yako, anaweza kukataa kukurudishia ulichomkopa, anaweza kukupiga, n.k. Ukijaribu kujitetea kwa askar ambae sio muadilifu kitendo...
  14. M

    Martha Chiromba: Nilitukanwa matusi yote ya duniani na vijana wa Mbatia mpaka mshono wa operation ukatatuka nusu

    Msikilizeni jamani huyu kada wa Nccr Mageuzi anavyolalama. VIDEO: Katibu Mkuu NCCR Mageuzi Bi. Martha Chiomba akieleza namna alivyotukanwa na kudhalilishwa na wanaoitwa 'Makada wa NCCR Mageuzi', amtupia lawama James Mbatia kwa kuona udhalilishaji huo na kisha kukaa kimya licha ya taarifa kupewa.
  15. Baada ya Mbowe kuzuia Siasa za matusi, Lema, Lissu, Mdude, Maranja Masese, na vijana wengi wanaweza kufa kisiasa!

    Jana katika hotuba ya Mbowe, alizuia Siasa za matusi zonazofanywa na wanasiasa waandamizi wa chadema. Kimsingi, wanachadema hutumia matusi, kejeli na dharau kubwa dhidi ya wanaowapinga, ili wapate uhalali kisiasa. Hii tabia ni sawa na udikteta, ila unajificha tu katika kutukana na kushambulia...
  16. Tamthilia za Kibongo-Kugomba, Matusi, Uchawi & Kunyonyana

    Nikiwa home jioni unakuta familia inaangalia tamthilia za kibongo sijui "JUA KALI", LA FAMILIA" n.k yaan dakika 2 nyingi lazima usikie TUSI Kama sio KUNYONYANA NDIMI au mtu kageuka mbuzi (uchawi) hizo tamthilia hamnaga wahariri?
  17. Wamachinga kuwekwa kundi moja na wanawake watoto na walemavu ni matusi kwao

    Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu). Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa. Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache...
  18. Hassan Bumbuli na Haji Manara 'mnagombania' nini hadi 'mnatukanana' Matusi ya Nguoni katika 'WhatsApps' zenu?

    GSM binafsi tena hapa hapa JamiiForums nakumbuka nilianzisha Uzi Kuwaonya kuhusu Kumleta Yanga SC Haji Manara nikawaambia kuwa mmeandaa Bomu ambalo litakuja Kulipuka na Kuwagharimu Yanga SC na sasa yametimia. Kamarada (Comrade) wangu (Kitasnia) Msomi Mwerevu Hassan Bumbuli nawe nilikuonya hapa...
  19. T

    Rais Samia kuwasifia waliomporomoshea matusi Ndugai, anashuka Kitonga kwa gia namba 5

    Tumewasikiliza wahuni wale hawakujibu hoja ya Ndugai, Wala mama hajajibu hoja. Alichofanya ni kuongezea matusi mengine. Washauri wa Ndugai wangemwambia akae kimya Wala asimtafute mama azungumze naye faragha. Wahuni wengine watakuwa wanaendelea kumtenga mama na Ndugai. Hii tabia ya kusikiliza...
  20. Baada ya Rais Samia kusifia matusi ya Wenyeviti wa Mikoa, sasa tutarajie yafuatayo

    To declare my interest mi siyo mwanasiasa ila nafuatilia siasa hasa vituko vya JOB pale mjengoni. Tangu awamu ya tano ilivyopita ambayo ilijaa KUSIFU NA KUABUDU kwingi ili upate kacheo,Sasa wanaCCM wote walikuwa kimya kupima mama anataka nini ili akuteue. Hotuba yake leo imeonesha wazi kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…