matunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    kilimo cha minazi [ dwarf] nchini Kenya. Mnazi 1 matunda 200+.

    ..Kenya wameanza kuachana na Minazi ya kienyeji East African Tall. ..wamekuja na minazi ya kisasa, mifupi, toka India ambayo ina uzalishaji mkubwa. ..Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu mbadala ya minazi yetu ya asili ili kuongeza tija ktk kilimo cha minazi. ..fuatilia hapa chini...
  2. Fbn

    Utawala wa JPM umeleta matunda haya kwa kufungia maduka ya kubadilisha pesa

    Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki. Sasa kwa utawala uliyopita magufuri ndio chanzo ya yote haya kuanzia utekaji,kubaka uchaguzi,kuua vyama vya...
  3. Mzee Mwanakijiji

    Zizini TV: Kwenye zizi la ng'ombe, Chui ndiye Mhubiri mkubwa wa "Amani na Utulivu"?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
  4. Massenge1

    Jipatie miche ya matunda na mbogamboga - gharama nafuu, ubora wa juu

    Wakulima na wapenda bustani, kama ulikuwa unasubiri nafasi ya kuanza kilimo kwa gharama ndogo na faida ya haraka, hii ndiyo fursa yako. Ninauza miche bora, inayokua haraka, yenye afya, na inayofaa kwa maeneo mengi ya Tanzania. 🍊 Miche ya Matunda (Kuanzia TSh 2,500 tu!) Aina zinazopatikana...
  5. Keynez

    Je, Novena ya Mtakatifu Nyerere kuliombea taifa la Tanzania inaweza kuzaa matunda?

    Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea wakati wa uhai wake na baada ya kifo. Wengi...
  6. Just Pray

    SI KWELI Ulaji wa matunda ni chanzo cha kuua Ini

    Siku hizi huku mtandaoni naona kila mmoja amekuwa mtaalamu wa masuala ya afya, huyu anasema kula matunda yenye sukari eti ni chanzo cha kuua Ini, sijui anataka tule matunda yenye chumvi, JamiiCheck tafadhali mtupe uhalisia wa hili.
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    GE2025 Asante CHADEMA kwa kutupa uchaguzi bora tokea nchi ipate uhuru, asante kwa kumchagua Lissu na Heche. Tunakula matunda leo

    Asante kwa wote walioshiriki kwenye hili. Historia haitowasahau, mlicheza upande uliosahihi. Ule uchaguzi ili mark mwanzo wa siasa mpya na mageuzi makubwa kwa nchi. Huu ni moja ya UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA Nitaendelea
  8. M

    Furaha ya maisha ni kitu muhimu sana, tajiri kaamua kufungua duka la matunda na kushinda huko

    Huyu ni tajiri mwenye nyumba nyingi za kupanga. Siku moja nikiwa barabarani, niliona duka la matunda lenye mazingira safi likiwa na viti na meza kwa ajili ya wateja. Nilipofika pale, nilimkuta tajiri huyu akiwa na mazungumzo yaliyoonekana kuwa yamenoga sana. Nilidhani ni mteja, nikaenda...
  9. Sales man

    Ikiwa wazazi wenu walisema siasa Mbaya na haifai leo hii mnawalaumu walioingia huko na sasa wanakula matunda

    Tuache kulalamika, MTU ameingia katika siasa, kakukbali kutukanwa , kubezwa n.k Na nyie mlisema siasa ni Mbaya Ila Leo hii mnalalamika nini sasa.
  10. VictoriaGreenHerbal

    Matunda Yatakayokurudishia Nguvu Zako za Kiume

    Je, unajua kwamba mara nyingi suluhisho la changamoto zako za nguvu za kiume linaweza kuwa mezani kwako kila siku? Ndiyo! Haya siyo majani ya kienyeji wala dawa zenye madhara ni matunda ya kawaida, salama kwa kila mtu, lakini yakiwa na mpangilio sahihi yana uwezo wa kugeuka nguvu zako mpya za...
  11. Mshana Jr

    Matunda

  12. Z

    Matunda ya jukwaa hili

    Ndugu zangu wapendwa, Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwenu kwa sapoti na msaada wenu mkubwa mlionipa hadi kufanikisha kupata tenda ya Tigo YAS ya kubandika mabango. Ingawa tenda hiyo imeisha, imenifungulia njia na kuniongezea imani kubwa katika kazi zetu. Naomba kuendelea kuwaombea...
  13. Z

    Matunda ya jukwaa hili

    Kama wiki mbili niliomba kazi humu na nikafanikiwa kupata tenda ya tigo yas ya kubandika mabango narudi kwenu tena kuomba Kazi au kibarua chochote kitakachokuwepo 🙏🙏
  14. Yoda

    Matunda matatu yasiyopatikana kiholela mjini

    Haya matunda ukiwa mjini unaweza usiyale miaka kadhaa.
  15. funaku

    Matunda ya "demokrasia" kenya inashuhudia vifo zaidi ya 16 kutokana na maandamano

    Hii ni aibu kubwa kwa wote wanaopigania ule uhuru usio na mipaka au heshima. Hii ni demokrasia gani inayoleta maafa na chaos?
  16. CHASHA FARMING

    Moja ya sababu za Foreigners kulisha Hoteli za kitalii Matunda na Mboga mboga ni kwa sababu ya ujinga wa sisi Watanzania hakuna sababu nyingine.

    Wanao faidika na wingi wa Hoteli za kitalii au Camps hapa Tanzania au wingi wa watalii ni foregners, na sio sisi Watanzania. Sababu iko wazi. Kule Iringa kuna yule Mafisio, yule Mzungu anailisha Zanzibar yote, analisha Dar hotels na Super Market zote, anailisha Arusha hoteli zote na Super...
  17. Stephano Mgendanyi

    Matunda Mazuri ya Uvuvi wa Vizimba Yaanza Kuonekana Musoma Vijijini

    MATUNDA MAZURI YA UVUVI WA VIZIMBA YAANZA KUONEKANA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21, lina Kata 18 zilizoko pembezoni mwa Ziwa Victoria. Kwa hiyo, uvuvi ni kazi inayoajiri watu wengi wa Jimboni mwetu. Wataalamu wa uvuvi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, wakiwemo wa...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Yafahaumu matunda hatari zaidi Duniani yanayoweza kusababisha kifo

    Wakuu piteni hapa kujua mawili matatu hivi. Karibuni sana.Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu. Ni sehemu muhimu ya mzunguko wa uzazi wa mmea, kusaidia kutawanya mbegu na kuwezesha ukuaji wake. Lakini mara nyengine...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Nimeyapata Yale matunda yanatenegenezwa pombe ya Amarula!

    Hii ni baada ya mh CHASHA FARMING kunitoa usingizi na ndipo nilipo kumbuka kwenye miaka ya 2004 tuliikata sana Ile miti lakini Bado nikakumbuka Kuna poli kama heka2-3 tulibakiza Kwa ajiri ya miti ya matumizi pamoja na dawa. Jtatu asubhi sana nikaenda huko Kwa lengo Hilo Hilo kuangalia hiyo...
  20. S

    Tuongelee kuhusu Matunda tuyapendayo

    Binafsi Matunda ninayoyapenda ni Parachichi, Papai, Ndizi Mbivu, Nanasi, Matunda Damu na Machungwa. Karibuni kila Mtu ataje Matunda yake pendwa.
Back
Top Bottom