matumizi mabaya ya madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mamlaka zichunguze utendaji wa uongozi wa JKCI, kuna matumizi mabaya ya madaraka

    Mimi ni mtumishi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [JKCI], taasisi hii inatupa wakati mgumu watumishi wake kupitia bosi wetu, Lakini kabla ya kufika kwa bosi kubwa, kuna watu hapo chini yake awanatumia nafasi vibaya kwa kuingiza wao wao kwenye mifumo ya ajira kinyume cha utaratibu, huku...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchaguzi wa Red Cross - Mtwara umegubikwa na utata na matumizi mabaya ya madaraka

    Habari mimi ni Mwanachama wa Red Cross Tanzania Mkoa wa Tawi la Chuno, Mtwara, Wanachama wa Red Cross tunashangazwa na uhuni unaofanyika katika taasisi hii katika uchaguzi ulioanza tarehe 22/06/2026. Mwenyekiti wa Mkoa ambaye hata wanachama hawajui ni mkazi wa Mkoa gani anashirikiana na baadhi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Karatu, Arusha: HR katika hospitali ya Foundation for Africa Medicine and Education anatakiwa kuchunguzwa kwa tuhuma hizi

    Tunaiomba Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora pamoja na mamlaka nyingine husika kufanya uchunguzi wa haraka na wa kina kuhusu malalamiko na tuhuma mbalimbali zinazodaiwa kumkabili Bw. Emmanuel Tarimo, anayehudumu kama Meneja wa Rasilimali Watu katika Hospitali ya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Kuna matumizi mabaya ya madaraka katika Ofisi za Umma, Watumishi wanalalamika

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, Utumishi wa Umma bado unakabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo kutokuzingatiwa kikamilifu kwa sheria, kanuni, taratibu, miiko na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kijeshi China yahukumu mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi adhabu ya kifo

    Mahakama ya kijeshi nchini China imewapa adhabu ya kifo yenye kusimamishwa kwa miaka miwili mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi, Wei Fenghe na Li Shangfu, kutokana na makosa ya rushwa, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Taarifa za Xinhua News Agency zinasema kuwa hukumu hiyo...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Vyombo vya ulinzi na usalama tunzeni kila taarifa ya matumizi mabaya ya madaraka ya mtu yoyote. Hatutaka kusikia zimepotea

    Vyombo vya ulinzi na usalama kwa maana ya usalama wa taifa, jeshi la wanannchi, jeshi la polisi, takukuru, jeshi la uhamiaji tuzeni kila kipisi, bunje ya taarifa ya matumizi mabaya ya madaraka ya mtu yoyote iko siku inakuja tutataka hesabu kwa kila mtu aliyekuwepo kwenye vyombo na mwenye dhamana...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kutakatisha fedha inakuja, ila ipo siku ufisadi wao na matumizi mabaya ya madaraka vitawekwa wazi

    Sina maneno mengi, ila niseme waacheni waendelee na maagizo yao ila wajue ipo siku kila kitu kitawekwa wazi. Pia, baadhi yao wanaweza kuja kufungwa baada ya uchunguzi kufanyika kama sio kulazimika kuomba radhi umma wa watanzania. Tuombe uzima tu kuja kuyashuhufia haya ambayo huko mbeleni...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amemfuta kazi Waziri wa Elimu ya Juu kwa tuhuma za Matumizi mabaya ya Madaraka

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemvua wadhifa Waziri wa Elimu ya Juu, Nobuhle Nkabane, kufuatia tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka zilizotolewa na mshirika mkuu wa muungano wa serikali, chama cha Democratic Alliance (DA). Taarifa hiyo imetolewa Jumatatu na ofisi ya rais, ikiwa ni...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Matumizi Mabaya ya Madaraka: Jinsi Watoto wa Saddam Hussein Walivyotawala kwa Hofu na Kuongoza Magenge ya Kikatili

    Watoto wa Saddam Hussein, hasa Uday Hussein na Qusay Hussein, walijulikana kwa kutumia madaraka ya baba yao kwa namna ya kikatili na ya kupindukia, na walihusishwa na vitendo vingi vya ukandamizaji, unyanyasaji, na uongozi wa magenge ya kijeshi na kijasusi ndani ya Iraq wakati wa utawala wa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utoaji tenda Arusha DC kuna harufu ya Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka, mfumo wa NeST unachezewa

    Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu. Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa ikifanya michezo michafu kwenye utoaji wa tenda wa kukusanya ushuru wa Halmashauri pamoja na kuchezea mfumo...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hakimu akielezea namna viongozi wa CCM walivyokuwa wanamshinikiza kutumia mahakama kupambana vita vyao vya kisiasa

    Hakimu akielezea namna viongozi wa CCM walivyokuwa wakimpigia sim kumshinikiza kutumia mahakama kupambana vita vyao vya kisiasa. --- Akifafanua jambo hilo Hakimu anasema: Mimi nikiwa Ardhi pale Manyara mwaka 2013, kilitokea na Uchaguzi wa Mbunge, kuna Mbunge alifariki kule kukawa na Uchaguzi...
  12. jmushi1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hotuba ya William Ruto inasikitisha! Yaonyesha ulevi na tamaa ya madaraka

    Wanajamvi, bado natafakari hotuba ya Ruto ambaye ameitoa hivi punde. Ninatizama live hivyo nitaweka hapa text ya hotuba. Hatahivyo ni hotuba ya hovyo sana na anaonekana ku panic. Ameongea kama vile maandamano hayo ni ya wahuni tu na hivyo ameazimia kutumia nguvu zote za kimamlaka alizonazo...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali ondoeni mamlaka ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya juu ya Polisi, hayafai kabisa wakati huu

    Mamlaka waliyo nayo wakuu wa mikoa, wilaya na Mawaziri kuamuru polisi kukamata watu au kuanzisha kesi hayapaswi kuwepo kabisa katika nchi inayoitwa ya kidemokrasia. Huenda utaratibu huu ulifahaa wakati wa Nyerere kutokana na hali ya kisiasa na idadi ndogo ya watu wakati huo ila utaratibu huu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tunapitia nyakati Ngumu RC kutuhumiwa kubaka, Paroko kutuhumiwa kuuwa albino, Mbunge kumtuhumu Waziri kuhujumu uchumi!

    Haya mambo Unaweza kuyaona ni mepesi lakini katika Ulimwengu wa Roho Siyo Ishara nzuri Walawi na Maustaadh tuzidishe maombi kwa Mungu wa Mbinguni Ahsanteni Sana 🐼 SOMA - MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT - Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwe na mageuzi ya TAKUKURU na CAG ili kukomesha rushwa, ufisadi, ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za umma yanayoibuliwa kila mwaka na CAG

    Mabadiriko yanatakiwa kufanyika katika utendaji wa Takukuru na CAG ili kuzuia ubadhirifu na ufisadi katika miradi na fedha za uma zinazotolewa na serikali. Kama sheria ya 2007 inayoipa takukuru mamlaka ya kuzuia rushwa, ufisadi, ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha ya serikali. Awali ni...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Chalamila: Nimeacha ubabe

    Ndugu zangu Watanzania, Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa. Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kikao chake na maafisa habari...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bado kuna Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanatumia vibaya madaraka yao

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna viongozi wa mikoa na wilaya wanaendeleza matumizi mabaya ya madaraka hasa eneo la ukamataji. Rais Samia amesema hayo wakati akitoa hotuba baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa Kamati ya Haki Jinai iliyotolewa na makamu mwenyekiti wa kamati hiyo...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi kudhulumu darubini

    Habari za wakati huu, Mimi ni mwananchi wa kawaida, raia wa Tanzania. Nipo Dar es Salaam katika eneo fulani ambalo lilikuwa shamba la marehemu mzee wangu, sasa limekuwa eneo la makazi. Ilibidi mzee apime viwanja na kuanza kuuza baadhi ya viwanja. Kuna mteja mmoja, mwanajeshi, alijenga na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi na DAS waamriwa kumlipa raia milioni 10 kwa kumuweka ndani bila kosa

    ASKARI POLISI NA DAS WAAMRIWA KUMLIPA RAIA MILIONI 10 KWA KUMUWEKA NDANI BILA KOSA. Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Mahakama kuu Kanda ya Manyara imeamuru askari polisi(OC-CID) na DAS wa wilaya ya Babati kumlipa bwana Lawrence Sulumbu Tara kiasi cha Shilingi Milioni 10 kwa kosa na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Diwani kata Bakoba Manispaa ya Bukoba analazimisha kubadilisha matumizi ya fedha ujenzi wa Soko la Dagaa

    DIWANI KATA BAKOBA ANALAZIMISHA KUBADILISHA MATUMIZI YA FEDHA UJENZI WA SOKO LA DAGAA. Diwani wa kata ya Bakoba Manispaa ya Bukoba Ndg, Shaban analazimisha kuhamishwa kwa fedha Tsh Mil 28 zilizotolewa na Waziri Mkuu kwa ajii ya kuanza ujenzi wa soko la dagaa kwenda kwenye ujenzi wa Zahanati...
Back
Top Bottom