Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,406
- 5,031
Wadau hamjamboni nyote?
Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa.
Nimeweka na nukuu kutoka maandiko yake mbalimbali kwa ajili ya rejea yenu.
Kama yupo mtu miongoni mwenu au aliye muumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato anayeona kuwa nukuu zilizowasilishwa haziko sahihi basi awe huru kutoa ufafanuzi.
1.
Alitoa unabii kuwa mji Mtakatifu wa Yerusalemu hautajengwa tena, Early Writings, p. 75 -
Unabii huo haukuwa kweli kwani mji wa Yerusalemu ulijengwa miaka mingi baadaye
2. Alitoa unabii kuwa nchi ya Uingereza itashambulia Marekani wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe lakini unabii huo haukutimia kamwe - Testimonies, Vol. 1, uk. 259. -
3. Alitabiri kuwa Yesu Kristo angeejea duniani kabla ya biashara ya Utumwa haujakomeshwa - Early Writings, pp 35.
Unabii huo haukutimia kwani Biashara ya Utumwa ilikomeshwa duniani mwaka 1864 na Yesu Kristo hakurudi
4. Alitabiri kuwa Waadventista Wasabato ambao wangekuwa hai mwaka 1856 wangeshuhudia Yesu Kristo akirudi - Testimonies for the Church, vol. 1, ukurasa wa 131-132
Unabii huo haukutimia na hao Wasabato hao wote walishafariki dunia bila kushuhudia tukio hilo waliloahidiwa
5. Alidai kumuona Enoko aliishia kwenye sayari ya Jupiter na Saturn - Early Writings, pp. 39-40.
Hii siyo kweli hakuna binadamu anayeishi kwenye hizo sayari
Kwa mujibu wa kitabu cha Kumbukumbu la torati 20:18-22
Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, aatakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.
Kumbukumbu la Torati 18:20-22
Karibuni tujadili