matokeo

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Adhabu kwa Maafisa Uchaguzi watakaofanya kwa makusudi vitendo vitakavyosababisha matokeo ya uchaguzi kutenguliwa

    MAKOSA YA UCHAGUZI Kwa mujibu wa kifungu cha 89A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, sura ya 343 na kifungu cha 88A cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, sura ya 292, Maafisa Uchaguzi watakaofanya kwa makusudi vitendo vitakavyosababisha matokeo ya uchaguzi kutenguliwa watashtakiwa. Iwapo...
  3. JamiiForums Tanzania USHAURI: Kwa matokeo haya huyu kijana aombe kozi gani?

    Ndugu wapendwa nimekutana na huyu kijana ambaye alisoma programme ya kikwete ualimu wa sayansi pale UDOM na kutimuliwa sasa alifanikiwa kumaliza kozi yake. Ila anataka kusoma kozi nyingine ya degree tofauti na Education, ameomba mara ya kwanza wamemkatalia. Anaomba ushauri aombe kozi gani kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Aliebahatika kupata chuo kwa kutumia matokeo ya foundation ya Open aje hapa

    Wahitim weng wa Foundation progra wanalalamika kuwa hawajapata chuo kwenye first round! Wew uliebahatika kupata kwa kutumia hayo matoke ya Foundation course njoo uwape moyo wenzio,ikiwezekana uwaambie na ufaulu wako ulikuwaje! Karibun wadau
  5. JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili wa Mahakama mbona huchukua muda mrefu?

    Nilibahatika kufanya usaili wa Mahakama kama Record Management Assistant, lakini sasa ni mwezi na wiki nzima matokeo bado. Kumbuka unachoma nauli toka mkoani, unasubiri matokeo lakini unasubiri matokeo hujui lini yatatoka. Inaumiza sana,ajira ni tatizo sugu.
  6. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nisome course gani ya afya kwa matokeo haya

    Habari wana jf,husika na kichwa cha Uzi nimesoma PCB na matokeo ni kama ifuatavyo. Phy-C Chem-C Bios-C Bam-D Sasa baada ya kuomba round ya kwanza sijabahatika kupata chuo,Naombeni ushauri ni course zip nzuri za afya ambazo naweza kupata kwa round 2. Nawasilisha.
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aache kampeni, ajikite kuelimisha kuzuia wizi wa kura na kuyapata matokeo ya vituo vyote nchini

    Leo nilienda safari ya kumtembelea rafiki yangu ambaye yeye na mke wake wote hawana smart phone. Nilipofika nikamkuta mke wake na wageni akanieleza aliyoona jana wakati anaenda Kibaha. Anasema alipofika Gogoni akaona kuna magari ya polisi. Kwenye daladala wakaanza kujadili hilo. Kwa sababu mimi...
  8. JamiiForums Tanzania Tujifunze kukubari matokeo kwa vyama vyote ili kuilinda Amani yetu.

    The days of ccm as ruling party are numbers
  9. JamiiForums Tanzania VIDEO: Matokeo chanya ya ubunifu wa Humphrey Polepole

    Hongera sana ndugu Humphrey Polepole meneja kampeni wa mgombea urais wa JMT kupitia CCM. Bila hivyo uwanja ungekuwa hivi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Headline: Kanuni ya mawakala kutopewa fomu ya matokeo ni batili na ipuuzwe hivi

    Raha ya uchaguzi huu ni pamoja na tunavyoelimika. Mimi leo naelimisha jambo moja tu nalo ni kanuni mpya za uchaguzi wa mwaka huu. Kabla ya kuongelea kanuni hizo tujikumbushe siku ya kupiga kura huwa inaendaje. Katika chaguzi zilizopita watu wakishamaliza kupiga kura kura zinaanza kuhesabiwa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea waonywa kutoheshimu matokeo

    Umoja wa Wapigakura Tanzania (UWAKUTA), umewatahadharisha wagombea wa urais, ubunge na udiwani kutoka vyama vyote vya siasa kuwa ni lazima watii na kuheshimu uamuzi wa wapigakura katika matokeo ya uchaguzi. Akizungumza na gazeti hili ofisini kwake jana, Mratibu wa UWAKUTA, Peter Mpeleka...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Umuhimu wa Mawakala wa Wagombea Urais, Ubunge na Udiwani kupatiwa nakala za matokeo ya uchaguzi katika vituo vya kupiga kura

    KILA WAKALA WA MGOMBEA URAIS, UBUNGE NA UDIWANI KATIKA KITUO CHA KUPIGA KURA ANA HAKI YA KUPATIWA NAKALA YA FOMU YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS, MBUNGE NA DIWANI. SEHEMU 1: UTANGULIZI. Makala hii inaangazia haki ya kisheria ya wagombea Urais, Ubunge na Diwani kupatiwa Nakala za Fomu za Matokeo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu katika matokeo haya

    Poleni na majukumu. Mpwa wangu amepata matokeo haya. Naomba ushauri wenu Civics- D, Hist-F, Geo-F, Kisw-D, Engl-F, Phy-F, Chem-F, Bio-D, B/Math-F. Ushauri wenu unahitajika sana
  14. JamiiForums Tanzania Coronavirus: Matokeo ya vipimo 18,000 vya walioambukizwa COVID19 zachapichwa kimakosa

    Makosa hayo yamefanywa na Taasisi ya Public Health Wales ya nchini Wales na taarifa hiyo ilidumu mtandaoni kwa takriban saa 20 Kwa sehemu kubwa taarifa hizo zilionesha tarehe za kuzaliwa, maeneo waliyopo pamoja na jinsia za waathirika. Ingawa watu wameondolewa wasiwasi kuwa si rahisi wahusika...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Matokeo ya Rufaa za Udiwani zilizochambuliwa na kutolewa uamuzi na NEC

    Katika kikao chake cha tarehe 13, 2020, NEC ilipitia na kufanyia uamuzi rufaa za Wagombea Udiwani kupitia Wasimamizi mbalimbali wa #Uchaguzi nchi nzima Tume imezipitia, kuzichambua na kuzifanyia uamuzi jumla ya rufaa 49 za Wagombea Udiwani kama ifuatavyo; Imekubali Rufaa 24 na kuwarejesha...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna Mtu 'ameshaaminishwa' kabisa tayari ni Mbunge wa Kawe, ila kuna uwezekano Siku ya Matokeo 'akafa' pia

    Kama kuna Wapiga Kura ambao aina yao ya 'Maamuzi' wakati wa Kupiga Kura huwa naipenda mno ni wa Jimbo la Kawe. Yaani ukiwaona ni kama vile 'Malofa' fulani na unaweza ukadhani kuwa wapo na Wewe kabisa ila kumbe ndani ya Mioyo yao wanasubiri tu Siku ya 'Hukumu' ifike nao 'wamanyooshe' Mtu kama...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imekubali rufaa nyingine 13 na kurejesha wagombea, rufaa nyingine 14 za walioteuliwa zimekataliwa

    Pia, soma Uchaguzi 2020 - Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020
  18. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali ianze kuongeza mishahara watumishi kwa matokeo ya utendaji

    Salaam Wakuu. Hivi serikali ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania haiwezi kuanza kuongeza mishahara ya watumishi kwa kigezo cha kuangalia matokeo ya utendaji ya mwajiriwa? Maana hii kuwaongezea tu wote kwa pamoja bila hata kutazama matokeo ya utendaji inawaua nguvu hata wale watumishi ambavyo...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020. Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo: 1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi. 2. Imekataa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa DIT?

    Khabari za wakati huu wakuu, wakuu nilikuwa naomba ushauri wenu maana nataka kutuma maombi DIT nikasome diploma in biomedical equipment engineering. Je kwa ufaulu wangu huu naweza kuchaguliwa kweli!? O-level. Biology-B. Physics-B Chemistry-B Mathematics-C Geography-C History-C English-B...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…