Kutokana na changamoto ambazo Taifa linapitia Kuna level ya kila mmoja huwa na aina ya matumaini yake kwa kiongozi mkuu wa Taifa.
Tukubaliane tu iwe kwa sifa njema au mbaya huyo ndiye Rais wetu na hakuna mwingine , ninaimani kila mmoja kwa wakati wake huwa na aina fulani ya aina ya matumaini...