matokeo

  1. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania James Mbowe ana cheo gani huko CHADEMA?

    1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. 2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? 3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
  2. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunamsihi Lissu akubali matokeo yoyote

    Kuelekea uchaguzi Mkuu CHADEMA tunamsihi Mgombea Lissu akubali matokeo yoyote yajayo ili Tujenge chama kwa pamoja. **Pia apunguze kelele, Wajumbe Wana bills za kulipa
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya form four yanatoka lini?

    Humu kuna watu wanafanya kazi baraza la mitihani. Matokeo yanatoka lini?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu mbili kwanini matokeo ya Al hilal vs Yanga yalikuwa 0-1

    1.Ushindi 1-0 kwa Yanga , maana yake Al hilal kivyovyote ataongoza Kundi hata akifungwa na Mazembe 2.Yalitosha kumpa Yanga points zitakazoweza kumvusha endapo atashinda mechi yake ya Leo . Mahesabu makali ya Ibenge yamewapa Yanga unafuu wa kusonga mbele
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Chuo Kikuu cha SAUT ajibu madai ya mfumo wao wa Matokeo kuchezewa na baadhi ya watu, asema upo imara

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto kadhaa ndani ya mfumo wa Chuo Kikuu cha SAUT (Augustine University of Tanzania - SAUT), ufafanuzi umetolewa. Mwanachama huyo alidai kuna baadhi ya Watu ambao sio waaminifu wakiwemo baadhi ya Watumishi wa taasisi hiyo wamekuwa na...
  6. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Tanesco tumeona matokeo ya mechi yenu

    Baada ya mechi ya Simba kuisha Tanesco mkachomoa fyuzi, hivi sasa saa 00:00 hamjarudisha umeme Mbagala Dar es Salaam, Sasa saa 00:04 mmerudisha umeme! Mungu awalaani.
  7. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Nini yatakuwa matokeo kwa mtu ambae atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu?

    Habari za wakati huu ndugu zangu wana jamii, naomba kuuliza ni nini kitatokea endapo mtu atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu, ukizingatia maziwa huwa tunayatumia kumpa mtu aliye kula sumu kabla ya kumpeleka hospitali kwa matibabu zaidi
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Yanga wakiclick button ya answer kujua matokeo yao na Al hilal calculator unasema Math error. Nini maana yake?

    Wakuu mambo ni magumu sana utopoloni moja haikai. Najua wakifungwa calculator inazima.
  9. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Fahamu matokeo ya meditation

    Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate. Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation, lakini sijaona hata mmoja akitaja hasara na kutoa suruhu kwa wanaofanya hivyo bila kuona mabadiliko...
  10. vnn

    JamiiForums Tanzania Matokeo yoyote ya Uwenyekiti CHADEMA, Hayatamnufaisha Mbowe, ni wakati sahihi wa yeye kujitoa kulinda heshima yake!

    Kwa Ninachokiona hapa Mbowe hawezi kushinda kihalali kamwe, Na akishindwa kwa njia ya Kura atakua amedhalilika na ametoka kwa aibu ya kukataliwa na wanachama, na endapo atalazimisha ushindi wa bao la mkono au vyovyote vile basi Chama kitapoteza ushawishi sana kwa wananchi na wanachama wa...
  11. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Tujadili Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la Nne Yaliyo Tangazwa Jana

    Matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne yaliyotangazwa jana yameonyesha hali ya ufaulu wa wanafunzi nchini, yakitoa taswira ya maendeleo na changamoto zinazokumba sekta ya elimu. Ingawa baadhi ya shule zimeonyesha mafanikio makubwa, nyingine zimebaki nyuma, zikikabiliwa na changamoto...
  12. Even MOre

    JamiiForums Tanzania MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

    Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa. 1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika...
  13. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Haya ndo yatakuwa Matokeo ya leo na kesho ya mechi za CAF: Constantine vs Bravos(Bravos atashinda), Yanga vs TP Mazembe(Mazembe atashinda)

    Habarini, Kama nilivyoanza hapo juu haya ndo yatakuwa matokeo ya mechi za Leo za Cafcl na Cafcc za Tarehe 4 January 2025 na kesho 5 January 2025. (Kesho): Constantine vs Bravos (Bravos atashinda) (Leo): Yanga vs Tp mazembe (Tp mazembe atashinda) (Leo): Orlando pirates vs stade abidjan...
  14. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili leo

    Habari wakuu, Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu Farida Washokera wa SAUT-MWANZA Atoe incomplete kwenye matokeo ya (BASIC ENGLISH) kwa Wanafunzi wa Course ya mass Communication

    Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza. Aidha Wanafunzi Hawa wamefatilia kwa viongozi mbalimbali wa chuo akiwemo HOD ya Journalism and Mass Communication lakini...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Awamu nyingine ya urais wa Trump itakuwa na matokeo gani kwa ushirikiano kati ya China na Afrika?

    Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni matokeo yapi ya Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA yatakuwa na tija kwa chama na Taifa?

    Mimi ningependa Lissu ashinde ingawa simuungi mkono. Sababu zangu ni hizi: 1. Ushindi wake utaondoa dhana ya CDM kuwa ya mtu mmoja ambayo sio kweli 2. Najua Mbowe atakubali matokeo na kumpongeza mshindani wake. Hii itamuongezea yeye na chama chake sifa ya kuwa kweli ni cha kidemokrasia. Aidha...
  18. Kitchener

    JamiiForums Tanzania NECTA wanataka tulipie matokeo ya darasa la nne 2024 au why hawaweki mtandaoni?

    Kumbe matokeo yametoka, ila necta hawataki kuweka kwenye mtandao wao? shida nini? au kwa sababu shule za private zinawazidi? mtaburuza sana mkia.
  19. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Deus Sangu aonyeshe mfano-aanze kupima afya ya akili yake kwanza na atuletee matokeo yake/mrejesho

    Mada Inajieleza. Mh. Deus Sangu bado ni kijana? Soma pia:Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uchumi Duniani yaonyesha matokeo makubwa Uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia

    Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR). Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo thabiti wa mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Sera...
Back
Top Bottom