matokeo

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Sasa Utumishi waweke hadharani matokeo ya Oral Kama ya written kwa namba za wasailiwa ili kuepusha mianya ya Rushwa na Janja janja

    Ni pongeze Utumishi wa umma Kwa hatua zote za uboreshaji wa Mifumo yao ya usaili na taratibu za kuajiri kwa ujumla Lakini naona ni muda muafuka Sasa kuweka matokea ya Oral hadharani ili kuondoa mianya ya Rushwa na Janja janja Kama wanavyofanya kwa written
  2. Dsm Installers Tech

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa eneo lako ni jukumu lako, weka vifaa bora kwa matokeo bora

    Tunakuuzia,kufunga na kufanya matengenezo ya mifumo ya ulinzi kuhakikisha inafanya kazi kwa ufanisi zaidi. Kumbuka usalama wa eneo lako ni jukumu lako zaidi,funga vifaa bora saidizi vya ulinzi kwa matokeo bora. Tunahusika na ●Cctv camera aina zote [kasoro camera fiche hidden camera] ●Electric...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi huru: Matokeo yanayotarajiwa kwa CHADEMA kufuatia maandamano ya Jumatatu 23 Septemba 2024.

    Matokeo yanayotarajiwa ya maandamano ya CHADEMA yanategemea muktadha wa kisiasa nchini Tanzania na jinsi serikali itakavyoshughulikia hali hiyo. Hapa kuna baadhi ya matokeo yanayoweza kutokea kwa kuzingatia uchambuzi huu usiofungamana na upande wowote: 1. Kushinikiza Serikali: CHADEMA...
  4. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Mechi ya jana Azam vs KMC goli la Iddy Nado kapiga chenga mabeki watano mpaka kipa kisha kufunga, kuna viashiria vya upangaji matokeo?

    Wakuu, Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha, Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi. Kuna viashiria vya upangaji matokeo Najaribu kuiweka clip inagoma...
  5. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Venezuela: Mgombea Urais wa Upinzani asema alilazimishwa kusaini matokeo ya Kushindwa dhidi ya Maduro

    VENEZUELA: Aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Julai 20124, Edmundo González ameendelea kusisitiza kuwa alimshinda Raia Nicolàs Maduro lakini Mamlaka ziliamua kubadili matokeo yaliyoamriwa na Wananchi Pia, Gonzàlez amedai alifuatwa na Watu wa Maduro na kulazimishwa kusaini matokeo...
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti wangu mdogo wa Matumizi ya Kondom Makazini: Matokeo yake yanatisha...

    Mojawapo ya health education na health promotion stretegies dhidi ya kujikinga na ugonjwa sugu na mkali wa HIV/AIDS ni upatikanaji na utoaji wa elimu ya Kondom Makazini; kwani hawa wafanyakazi wanakaa pamoja mda mrefu almost kila weekdays (5 days) na mara nyingine wanasafiri pamoja na kulala...
  7. Bams

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa Mbowe: Huwezi Kufanya Yaleyale Siku Zote Ukategemea Matokeo Tofauti.

    Mbowe amejitahidi sana kufanya siasa za kistaarabu siku zote, bila kutambua kuwa ustaarabu unakuwa na maana, na unaweza kuleta matokeo chanya kwa mtu ambaye ni mstaarabu. Kumfanyia ustaarabu mhuni, jambazi, muuaji, ni kupoteza muda, na wala hutapata matokeo unayoyatarajia. CCM ni chama...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya huyu binti aombe kozi gani?

    Kwa heshima Nawaamkia; Huyu ni binti amehitimu form 4... Ni mdogo wangu ananifata mara tatu..matokeo yake ni kama ifuatavyo; Kiswahili C Kiingereza C Uraia C History D Biology C Chemistry F Maths F Fasihi D Geography D Karibuni kwa ushauri
  9. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Poleni sana watanzania kwa matokeo mliyoyapa jana zidi ya ETHIOPIA

    Sio kitu rahisi kuamini ili ilikuwa ni dua zangu kwenye mkeka wangu. Ambaye mpaka sasa hivi kabakia Algeria naombeni ushauri wa mikeka je ni cashout?
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Manchester City inazidi kuwanyoosha huko EPL, haya hapa matokeo ya mechi za Agosti 31, 2024

  11. L

    JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Ushindi wa Dkt Ndugulile ni Matokeo ya Mafanikio Ya Miaka mitatu ya Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  12. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru wanataaluma wa Afya kwa majina kuwepo kwenye usaili , mlioitwa mjiandae kwa matokeo ya usaili

    Ni ukweli kwamba watu wengi wa afya walioitwa kwenye usaili wako wameajiriwa sehemu au kujishikiza sehemu . Kuna watakao pita kwenye usaili , tatizo wale watakao shindwa uhakika wa ajira huko walikokuwepo utakuwaje ? Je waajiri wetu ni waelewa ? Tujiandae kisaikolojia
  13. Itug

    JamiiForums Tanzania Past papers, Mifumo ya matokeo

    JIUNGE NA CHANNEL HII UPATE PAST PAPERS NA MARKING SCHEMES ZA MIKOA YOTE TZ PAMOJA NA MIFUMO YAKUCHAKATA MATOKEO BURE. Channel iko hapa MOCK PAST PAPERS ALL TANZANIA REGIONS
  14. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Mzize ni matokeo ya Mayele.

    Hakuna ubishi juu ya kiwango kizuri kinachooneshwa na aliyekuwa mchezaji wa Yanga Fistok K,Mayele pale Pyramid mpaka sasa Mayele ni top scorer wa timu kitu ambacho kimewashitua baadhi ya timu kama Kaizer Chiefs kuhitaji kandarasi ya staiker huyo wa Pyramid huku taarifa za awali zinasema kuwa ni...
  15. I

    JamiiForums Tanzania KUINGILIWA MFUMO WA MATOKEO WA CHUO UDSM NA IFM

    Suala la kuingiliwa kwa mfumo wa matokeo wa chuo kikuu, kama ilivyodaiwa kutokea katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni jambo la kusikitisha na lenye madhara makubwa kwa uaminifu wa taasisi za elimu. Hili linaweza kudhoofisha uaminifu wa vyuo vikuu na kuathiri vibaya mfumo mzima wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vikuu kwa mwaka 2024/2025 zinatoka lini?

    Wakuu mko salama? Kwa wanaojua ebu wanieleweshe,nimewafanyia maombi ya vyuo ndugu zangu wako huko jkt lkn mpaka sasa sijaona chuo kilicho publish selection. Naomba kwa anaejua selection za vyuo ni lini zinatoka anijulishe maana kwenye websites za vyuo kama udsm,udom,mzumbe,mucobs na hata saut...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kuwa Aggressive Supreme of Power ndiyo haya tunayoyaona

    Kuteka, kuua, kupoteza watu na atrocities zote tunazoziona leo ni watu kutaka ku consolidate power na matokeo yake ni haya ya kukiuka haki za binadamu!
  18. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha ovyo tulichonacho ni matokeo ya malezi haya!

    Wee mzazi utambue kuwa uwezo wa kumudu maisha ni matokeo ya malezi uliyopitia! Kwanini unataka kumuharibu mtoto wako? Au na wewe ujielewi unataka uzo wako ufanane na wewe?
  19. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbona CHADEMA hawajipangi ngazi za chini (grass root) kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba, 2024. Jinsi muda unavyoyoyoma kuelekea uchaguzi huo ninaona kabisa CHADEMA hawajijipanga kabisa kwa Uchaguzi huu. Wenzenu CCM wanapita nyumba kwa nyumba wakiomba kura...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Costal Union hamjayaona?

    Ukimya huu una maanisha nini?? Hakuna hata ushauri au mnasubiri SIMBA, YANGA na AZAM tu?
Back
Top Bottom