Serikali imeanzisha utaratibu wa kodi ili kugharamia maswala ya bima ya afya kwa wote.
Kwanini mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi ameahidi kuruhusu wanaofariki na kushindwa kulipia gharama za matibabu ndugu zao wataruhusiwa kuchukua maiti bure!
Swali ni kina nani hao...
Nimeona huko instagram Giggy money anatangaza kuwa Bob junior yuko hoi kiafya na kakosa pesa za matibabu,na wasanii wenzake wamemtenga?
Je hizi taarifa ni za kweli?
Maambukizi haya yanaweza kuathiri shingo ya kizazi, mji wa mimba (uterus), mirija ya uzazi (fallopian tubes), na ovari, na ikiwa hayajatibiwa kwa wakati, yanaweza kusababisha madhara makubwa kama vile ugumba, mimba nje ya kizazi, maumivu sugu ya nyonga, na makovu ya viungo vya uzazi.
Kama...
Kinachosababisha watu wampuuze Polepole kile anachokisema kuhusu siasa ni ile historia yake ya kuwa kiongozi muhimu wakati wa serikali ya Magufuli. Polepole angeweza kumshauri Magufuli aandike katiba mpya ya serikali 3 lakini hakufanya hivyo
Polepole angeweza kumshauri Magufuli asivifungie...
Serikali ya Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2024/25 na 2025/26 imetoa jumla ya Dola Milioni 114 sawa na Shilingi Bilioni 298 za kitanzania kuongeza manunuzi ya dawa na vifaa tiba ili kufidia fedha zilizokuwa zikitumika kupambana na magonjwa ya Kifua Kikuu, UKIMWI na malaria nchini.
Hayo...
Kuna wakati mgonjwa aliyelazwa hospitalini au ndugu zake huamua kwa hiari yake/yao kusitisha/kumsitishia matibabu bila ridhaa ya daktari kutokana na sababu mbalimbali.
Je wewe mdau ushawahi kulazwa hospitalini ukasitisha kuendelea na matibabu? Au ulishiriki kumsitishia ndugu yako matibabu?
Je...
Baba wa Boniface Kariuki kijana aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano nchini Kenya amenasa kwenye mtego wa matapeli waliodai kuwa maafisa kutoka Mfuko wa Afya ya Jamii (SHA), na kupoteza kiasi cha KSH 200,000 (sawa na zaidi ya TZS milioni 4)
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama kubwa za matibabu ya magonjwa kama saratani.
Wito huo umetolewa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, alipokuwa akijibu swali...
Watanzania wote waliotendewa vitendo viovu kama hivi kwa kawaida hukaa kimya na kwa aibu hawathubutu kusimulia kwa undani yaliyowakumba kwenye kinachodaiwa matibabu ya Kitanzania?
Je kuna uwezekano kwamba watekaji pamoja na viongozi wanaowatuma kufanya hivi vitendo nao hupitia hayo matibabu ya...
Kati ya Kipindi cha Mwezi Julai 2024 hadi Machi 2025, Serikali imetoa misahama ya matibabu ya afya yenye thamani ya Shilingi 34,720,233,085.28 kwa wagonjwa 268,224 wasio na uwezo wa kumudu gharama za matibabu.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama alipokuwa akiwasilisha...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeemdelea kung’ara katika matibabu ya kibingwa na kibobezi za mifupa barani Afrika baada ya kuendelea kuandaa mafunzo ya 10 kuhusu mbinu mpya na za kisasa za matibabu ya majeraha na mifupa kwa wataalam barani Afrika kwa kushirikiana na Taasisi...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amehoji kuhusu watoa huduma za afya katika hospitali za serikali kuwatoza fedha wanawake wajawazito na watoto chini ya miaka mitano, kinyume cha sheria na kuhoji waliruhusiwa na nani kufanya hayo?
Swali hilo limejibiwa na Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel...
Kwa Mtanzania Hassan Jumbe mwenye umri wa miaka 26, matatizo ya kukosa usingizi siku zote wakati usiku ilikuwa ni maumivu na mfadhaiko mkubwa kwake.
Usiku mmoja baada ya mwingine, maumivu makali ya kichwa yasiyoisha yalimwandama mfanyakazi huyu mbichi wa ujenzi, na kumfanya ashindwe kupumzika...
Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo.
Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana
Salaam, mimi nilie mdogo kati yenu nawasalimu.
Kwanza kabisa napenda kutambua mchango mkubwa na matokeo chanya yatokanayo na kampeni ya huduma za kibingwa katika Hospitali za wilaya na baadhi ya Vituo vya Afya zinazoendelea nchini kote.
Mwezi May mwaka huu, kampeni hizo nadhani zimeanza awamu...
Kikundi cha Hisani cha Emma Kiduku Charity Group kimechangia matibabu ya watoto 6 wenye kichwa kikubwa na mgongo wazi wanaotibiwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Ubongo Muhimbili (MOI).
Kikundi hicho kilikabidhi msaada huo Mei 4, 2025 MOI, ambapo kiongozi wa kikundi hicho Bw. Emmanuel Madaha...
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa amesema Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika huku akiwataka watanzania kuendelea kuombea ili mwenyezi Mungu amuwezeshe kupona haraka.
Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu...
Yote ni shuhuda kuelekea uchaguzi mkuu, wanasiasa wanaitafuta huruma ya wananchi. hatukuwahi kusikia shuhuda kama hizi huko nyuma :AAAA: :AAAA: :AAAA: msikilize mwananchi huyu, Mbanguji Paul wa Buchosa jinsi akieleza alivyosaidiwa matibabu ya jicho lililomtesa kwa takribani miaka 8 na Mbunge...
Mbeya, 18–21 Aprili 2025 – Kampuni inayoongoza nchini Tanzania katika huduma za mawasiliano na maisha ya kidijitali, YAS, kwa kushirikiana na KSI Charitable Eye Centre, imezindua rasmi kampeni ya siku tatu ya matibabu ya macho bure kwa wakazi wa Jiji la Mbeya na maeneo ya jirani.
Mpango huu...
Wananchi zaidi ya 900 wamepatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya ugonjwa wa saratani bila malipo katika Hospitali ya MT. Joseph Peramiho, huduma ambazo kutolewa na madaktari bingwa wa magonjwa ya saratani kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road kwa muda wa siku nne (4).
Waziri wa Afya Mhe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.