DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,152
Simon Mnyola Baba mzazi wa mtoto Nilsa Mnyola amethibitisha kifo cha mtoto wake wake aliyezaliwa na tatizo la kichwa kikubwa (Hydracephalus) alipokuwa akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
Nilsa ni mtoto aliyezaliwa kabla ya muda (njiti) na baada ya kuzaliwa mwonekano wa kichwa chake ulikuwa tofauti na watoto wengine.
Nilsa alifikishwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kugharamia matibabu ya mtoto wake Nilsa Simon kufuatia ombi lake kupitia mitandao ya kijamii mtoto wake asaidiwe matibabu ambapo Crown Media ilichapisha katika kurasa za Mitandao ya Kijamii.