Mayova JF-Expert Member Joined May 10, 2018 Posts 238 Reaction score 229 Dec 19, 2025 #1 Jamani wapendwa mko poa? Nina tatizo la vidonda vya tumbo, naombeni kama kuna mtaalam anaye jua matibabu sahihi ya ugonjwa huu.
Jamani wapendwa mko poa? Nina tatizo la vidonda vya tumbo, naombeni kama kuna mtaalam anaye jua matibabu sahihi ya ugonjwa huu.
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,073 Reaction score 34,844 Dec 26, 2025 #2 Mayova said: Jamani wapendwa mko poa? Nina tatizo la vidonda vya tumbo, naombeni kama kuna mtaalam anaye jua matibabu sahihi ya ugonjwa huu. Click to expand... Mkuu Pole sana kwa maradhi yako Mkuu nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako uguwa pole.
Mayova said: Jamani wapendwa mko poa? Nina tatizo la vidonda vya tumbo, naombeni kama kuna mtaalam anaye jua matibabu sahihi ya ugonjwa huu. Click to expand... Mkuu Pole sana kwa maradhi yako Mkuu nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako uguwa pole.