matangazo

  1. JOSEPHAT_07

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  2. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ninatangaza kuuza Avatar yangu!

    Karibuni! Niwatakie Heri ya mwaka mpya 2025
  3. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Baada ya muda leo nimeanza kurusha matangazo ya adsense

    Wakuu hii ni mara ya kwanza kukubaliwa na adsense ishu nataka wale wenye uzoefu waniambie malipo yanapokelewa vipi huku tz Naomba mnijuze
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ubandikaji wa matangazo kwenye miundombinu ya Serikali upigwe marufuku

    Habarini, Kuna tabia imekua ikinikera miaka nenda rudi. Serikali inakazana kuunda miundo mbinu na kuifanyia finishing nzuri ili uliwe na mwonekano mzuri na kuvutia lakini baada tu ya mradi kuanza watu wasiojua uzuri na waliokosa ustaarabu wanaanza kubandika sticker za matangazo ya kampeni...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenye depression hawawezi kushirikisha watu wengine kwa sababu matatizo yao hufika mpaka vijiweni, hakuna usiri !!

    Baada ya mlolongo wa vifo vya Depression ikiwemo cha jana usiku mwanafunzi kujirusha ghorofani niseme tu kwamba watu wanapitia mengi sana, huwa inashauriwa kufunguka matatizo yako kwa watu wa karibu kundoa machungu lakini kwa hapa bongo hali watu wengi huyatunza rohoni. Shida ni kwamba watu...
  6. G

    JamiiForums Tanzania VOA wanyimeni UFM hali ya kurusha matangazo yenu, ni machawa

    Muda mfupi uliopita Ufm wamekatisha taarifa ya habari kutoka VOA walipoanza kutangaza habari za Tanzania kutoheshimu haki za binadamu. Huu ni ujinga uliopitiliza. CCM na serikali yake wanajitahidi kuficha maovu yao yasijulikane kwa wananchi hasa wale wajinga ambao ndio wengi na mtaji wao. Huwezi...
  7. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Kwa huu utitiri wa matangazo ya kazi ya kuhamia (Transfer vacancy) ndipo tunaamini mfumo wa ESS haufanyi kazi kabisa

    Sasa hivi kumekuwa na matangazo mengi kwa taasisi tofautitofauti kutangaza nafasi za kuhamia (Transfer vacancy) ambapo taasisi zinawataka watumishi wa umma wenye kupenda kufanya kazi hizo kutuma maombi ya kuhamia. Hapa inaonesha dhahiri kuwa mfumo wa kiutumishi uliowekwa(ESS) haufanyi lolote...
  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania Madaktari Bingwa wanaojiita Madaktari wa Mama Samia, huduma zenu na matangazo yenu yana ukakasi

    Habarini ya Asubuhi Wana Moshi Kila asubuhi, jiji la Moshi linapokea wingu la matumaini na changamoto. Hii ni kutokana na tangazo la hivi karibuni la madaktari bingwa lililotolewa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Wengi walidhani kwamba tangazo hilo lilikuwa ni hatua ya kuleta afueni kwa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanaotangaza kuuza Viwanja kwenye Vituo vya Daladala na spika zao walipie kodi ili iboreshe vituo vya hivyo

    Wakuu Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na wananchi kwa ujumla. Kila ukigeuka, unaskia matangazo yanayohusiana na viwanja vinavyouzwa, na hivyo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Magari ya Matangazo Mbeya Jiji hayazingatii Usiku wala Mchana, imekuwa kero sasa

    Leo Jumatatu tarehe 2 Dec 2024, muda huu ni saa tatu na dakika 45 usiku Mitaa ya Forest Mpya kwa Mwamnyange kuna gari la matangazo linatoa tangazo kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuhusu mauzo ya Viwanja maeneo ya Nsalaga. Jamani tumekuwa tukilalamikia hizi kero za haya magari ya matangazo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania ITV kwenye taarifa za habari achaneni na matangazo ya pombe

    TCRA pia Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kulinda watoto. Matangazo ya pombe kuwekwa katikati wakati unatazama taarifa ya habari binafsi naona sio sawa. Maana ni mazuri na unakuta watoto wanayafurahia kweli. Tafsiri yake inawachochea kutamani kutumia. Hii iwe hata kwa matangazo mengine...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Mganga Radio Free Afrika

    Wakuu habari. Niko nasikilizia hapa radio Free!. Kuna kipindi Cha mganga anajinadi kuwa kama una tatizo lolote yeye atakusaidia kulitatua kwa kupiga namba ya sim Aliyoitoa. Anasema kama unashida na Hela, cheo yeye anaweza kukusaidia. Najiuliza hapa nikienda kwa huyo mganga na nisifanikiwe...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Matangazo youtube/Mitandaoni yanakera

    Kinachonisikitisha hivi kwa nini hivi sasa you tube haifai kuangalia na watoto, maana hakuna unachoweza kukiangalia kwa amani, najiuliza hata watoto wetu wanajifunza nini hasa. Yaani unaweza kuwa unasearch kitu cha maana lakini utakayokutana nayo kama huna lengo maalumu unaweza usitimize au...
  14. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai: Matangazo ya kamari, riba na pombe yameingizwa mpaka sehemu ambazo zilionekana ngumu kufika

    Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
  15. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Kuna faida mnaofanya matangazo ya biashara na tiktokers wa Tanzania

    Jamani tupeane uzoefu. Mara nyingi natumia Instagram na YouTube kutangaza biashara yangu, lakini nataka kuongeza njia mpya za kufanya matangazo. Nimejaribu kuwasiliana na TikTokers kadhaa wa Bongo, lakini bei zao ni kubwa. Mfano, Kiredio aliomba milioni 6 kwa matangazo manne, na wengine wanadai...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje kuwaje vibinti huko mitandaoni ghafla vimegeukia ukulima na vipicha mashambani. Ni Show off tu au ndie ile "biashara matangazo"?

    "Strange are the ways of human behavior" by Orson Bean
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Matangazo barabarani ya kuuza viwanja yapo Dar Tu?

    Mimi nimejaribu kupita huku na huku Tz hii. Huu utataratibu wa kuweka speakers Asubuhi mpaka jioni ukitangaza kiwanja cha futi 40x50 nimeuona Dar peke yake. Kwa nini nje ya Dar huu utaratibu haupo wakati huku mkoani watu wanapata maeneo makubwa zaidi tena kwa bei nafuu siyo hio 20x20 . Mili 6.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Jumbe za matangazo na taarifa za serikali zimekuwakero kwetu wateja TCRA jitafakarini

    Habarini, Kwakweli sasa imekuwa kero kwa jumbe za matangazo,promotion,taarifa,nk kutoka serikalini, makampuni, taasisi, wafanyabiashara,nk yaani kwa siku mmiliki wa simu/line anapokea zaidi ya jumbe 20. Kulingana na sheria ya mitandao huu ni usumbufu na kuingilia uhuru wa mteja kwani makampuni...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hospitali huwa zinaruhusiwa kufanya matangazo ya kibiashara?

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikifahamu hospitali na mawakili huwa hawaruhusiwi na taaluma zao kufanya matangazo ya kibiashara mpaka leo hii nilipokutana ni hii ya Yanga kuitangaza JKCI! Sijajua lengo la huu mpango ni lipi hasa? Kwamba JKCI wana uhaba wa wateja? Au JKCI wanafanya ushindani na...
  20. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya kuongeza za dawa za kuongeza nguvu za kiume inatudhalilisha wanaume

    Jana nilimpelekea mtu moto mkaal eti baada ya mapuziko ananimbia kuwa mm natumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume," alisema mbna wee wa moto hv au umepaka mkongo nn" 🤣 😂 nikacheka akasema tena "utakuwa unatumia haya madawa ya kuongeza nguvu haiwezekani unikamatie hvyo dk 45 hukojowi tu akasme...
Back
Top Bottom