matangazo

  1. Criss

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na link za matangazo ya silaha. Je, ni mtego kwa raia au ndiyo washaingia?

    Tangu tarehe 02 November 2025 nimeanza kukutana na link za matangazo ya siraha. Bei zao nikuanzia laki moja hadi laki nane na elfu sitini za kitanzania. Mwanzo nilidhani watakuwa ni matapeli ,nilitamani kuwapuuza lakini akili ikaniambia hebu sogea nao mbele kidogo uujue ukweli . Nikaonyesha...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya maeneo ya Iringa kumetapakaa matangazo ya kuhamasisha watu kuandamana Oktoba 29, 2025

    Katika baadhi ya maeneo Mkoa wa Iringa kumeonekana matangazo yalibadikwa yakieleza au kuhamasisha maandamano ambayo yatafanyika Oktoba 29, 2025 ambapo pia siku hiyo itakuwa ni siku ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu! Katika hayo mabango yameeleza kwanini watu waandamane? Moja ya sehemu ambapo...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Airtel wamepunguza kutuma matangazo ya bure kwa wateja wake ila Yas, Vodacom,nk bado wana kiburi

    Ni wazi matangazo ya bure ya mitandao ya simu yanakera sana,sana,sana, yawe ya serikali au ya mtandao husika. Ni vyema kuwe na kipengele cha kukubali matangazo au kusitisha na kiwepo kipengele cha kuwajibu wote wanaotuma sms za bure zenye maslahi yao. Tcra msijiamini sana na mnapaswa kufungua...
  4. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 TCRA tunaomba msitishe sms za bure za TAKUKURU, INEC, nk laini tunazomiliki siyo kwaajili ya matangazo ya bure bali mawasiliano, acheni kiburi

    Tumechoka na kiburi chenu TCRA na makampuni ya somu haiwezekani sisi tununue simu na laini halafu nyie mpitishie matangazo yenu bure wakati sisi tunalipia bwana. Kila sekunde ni matangazo tu hadi chaji zinaisha hatulipwi chochote mnanifaika nyie tu sasa wekeni basi option ya matangazo mtu...
  5. OleWako

    JamiiForums Tanzania Hivi Vodacom mnatuonaje kwa huu utapeli mnaojaribu kufanyia?

    Leo nilinunua kifurushi cha intaneti kwa njia ya mpesa. Muamala ukatoka freshi, intaneti ikashika. Ghafla nikaletewa ujumbe ukisema salio langu halitoshi nichukue mkopo wa Tsh. elfu 4!🤔🤔 Bahati nzuri nilicheki salio langu kabla sijaendelea, na lilikuwepo la kutosha! Utaratibu huu ni halali...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ni matangazo

    Tangazo
  7. Thinn

    JamiiForums Tanzania Huduma za Graphics Designing. Tuwasiliane kama unahitaji huduma hizi kwa ajili ya biashara na matangazo.

    1. Uandaaji wa logo ya kampuni, biashara au huduma, lebo za bidhaa mbalimbali na muonekano wa vifungashio. 2. Uandaaji wa matangazo ya aina mbali mbali kwa ajili ya huduma, bidhaa au biashara yako. 3. Uandaaji wa tovuti kwa ajili ya biashara, huduma au bidhaa ulizo nazo. 4. Uandaaji na usimamizi...
  8. sway fast movers

    JamiiForums Tanzania Huduma bora za kuhamisha ndani ya Tanzania na Afrika Mashariki

    Karibu huduma zetu za kuhamisha. Tupo Tanzania nzima na nchi za Afrika Mashariki: Uganda, Kenya na Burundi. Tunatoa huduma za kuhamisha makazi, kusafirisha na kupanga mizigo, kukodi gari, pamoja na wafanyakazi wa kusaidia. Pia tunakufungia AC, TV, dish, electric fence na mengineyo. Piga...
  9. Invisible

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya biashara yoyote au mawasiliano yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF wala...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Amini kwamba: Matangazo ya nje ( Out door adverts) yana impact kuwa zaidi kuliko matangazo ya mtandaoni ( Digital Adverts)

    Nianze kwa kutoa hongera kwa fans wangu wote ambao mlinimiss na ambao mmefurahi kuniona tena kwenye jukwaa hili pendwa. Back to the point. Amini kwamba matangazo ya nje ( Outdoor Adverts) ya na impact kubwa kuliko matangazo ya mtandaoni. Ndio maana kampuni kama JCDecaux ambao wameanza ku...
  11. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Huyu Oscar Oscar inakuwaje watu wanamshangilia kwa upumbavu anaoandika mtandaoni? na kumpa matangazo?

    Huyu jamaa ni zezeta na pevert, anaandika upumbavu sana mtandaoni, kuhamasisha usodoma(mapenzi kinyume na maumbile), ufuska, ngono kwa watoto nafikiri LHRC walishamkemea wakabezwa, hata Waziri wa jinsia na watoto alishawahi kumkanya akabezwa, mtandaoni anashangiliwa sana na kupewa matangazo...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi redio zinasambaza matangazo ya makampuni yanayouza viiwanja feki awaogopi Mungu??

    Shalom wapendwa, Niwajulishe tu mimi ni mhanga wa zile kampuni zinazojitangaza zinauza viwanja redioni. Unasikia matangazo: “Njoo Jumamosi saa kumi ukaangalie kiwanja chako…” Mimi nililipa, na baada ya muda nikafika. Nilipokuta, ndugu wengine nao walikuwa wakisema mali zile ni zao. Hawa...
  13. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania YouTube Channel inauzwa,Ina matangazo ya Google

    Wakuu. Kuna YouTube inauzwa. Ina matangazo na Sasa Ina dollar 98 ndani. Imefanyiwa SEO tayari. Ina 10K subscribers . Bei. Maelewano. Update. Ishauzwa. Asante
  14. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mvumbuzi wa matangazo ya (Pop up ads) awaomba msamaha. " Sikuwa na lengo baya!".

    Ethan Zuckerman, mvumbuzi wa matangazo yanayoibuka (pop-up ads), hivi karibuni alieleza majuto yake kwa kubuni kipengele hiki kinachochukiwa sana tangu mwishoni mwa miaka ya 1990. Lengo lake lilikuwa kuwawezesha watangazaji kutangaza chapa zao bila kuhusiana moja kwa moja na maudhui ya kurasa...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Mtangazaji asitisha matangazo akiwa hewani baada ya Israel kushambulia Damascus

    Mtangazaji wa kituo cha televisheni ya taifa nchini Syria alilazimika kusitisha matangazo ya moja kwa moja baada ya mlipuko mkubwa kusikika karibu na jengo la studio, kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Israel katika jiji la Damascus. Tukio hilo lilitokea wakati taarifa ya...
  16. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Online: Siyo Tena Hiari, Ni Silaha ya Maisha ya Kidijitali

    Wakati wengine wanangoja “wateja waje wenyewe,” walioamka wanawalipia wateja wao waje sasa hivi. Dunia haingoji tena, matangazo ya online ndiyo silaha ya kila mfanyabiashara mwenye akili ya kiuchumi. Zamani biashara ilikuwa ya kupiga kelele sokoni au kuweka bango barabarani. Sasa dunia iko...
  17. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Pitch ya dimba la Mkapa inapaswa kuondolewa na kubadilishwa, big screen iwepo na matangazo ya LED kuzunguka uwanja yawepo juu na chini

    Kwa wapenzi na watazamaji wa mpira wanajua na wanatambua, kitu cha kwanza na kigezo cha kusema 'huu uwanja ni mzuri' basi ni pitch quality, maana wanaohudhuria uwanjani ni asilimia kidogo sana kati ya watmazamaji wote wa mpira, na zaidi ya 80% ya maeneo yanayomulikwa na camera wakati wa mchezo...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yasitisha marufuku ya kurusha maandamano mubashara, yaagiza matangazo ya Vituo TV na Redio kurejeshwa hewani

    "Mahakama yasitisha agizo la Mamlaka ya Mawasiliano lililopiga marufuku vituo vyote vya runinga na redio kurusha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano, na kwamba kituo chochote kilichozimwa kutokana na agizo hilo kirejeshwe hewani mara moja." Soma Pia: Vituo vya Televisheni vya KTN na NTV...
  19. Wernery G Kapinga

    JamiiForums Tanzania VIPEPERUSHI NA MATANGAZO

    Habari. Nahitaji kutengenezewa vipeperushi na kuprinti vinavyohusu MATANGAZO ya SHULE. Namba ya watsup ni 0754004189.
  20. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania ITV na shida ya kukatika matangazo DStv

    Wakuu,nikiwa kama mtu nipendaye kuifuatilia habari za ndani,hupendelea kutazama ITV kutokana na mfumo wa taarifa yao ya habari Lakini linalochosha kwenye kisimbusi cha DStv ni kukatika mara kwa mara kwa matangazo na kuonekana ujumbe 'technical difficulties'...ninachojiuliza ni ITV hawajui hili...
Back
Top Bottom