massage

  1. C

    JamiiForums Tanzania SPECIAL HIRE COASTER - Massage & Happy Endings

    Huduma tajwa ndani ya viwanja vya Biafra, FULL TINTED & AC. Bei 70,000 TZS kwa saa. FREE Wi-FI
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza 'kuchunguza' matangazo ya massage mitandaoni

    Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, imeanza kufuatilia kwa kina malalamiko ya wananchi kuhusu matangazo ya huduma za massage yanayosambazwa mitandaoni, hususan Instagram. Waziri Dkt. Dorothy Gwajima ameeleza kuwa hatua hiyo inakuja baada ya...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dar: Wafanyakazi wote wa Saluni za Kike na za Kiume pamoja na Massage Parlours watakiwa kupima Afya zao kila baada ya miezi sita

    Kwa mujibu wa Sheria ya Afya ya Jamii ya mwaka 2009 (The Public Health Act, 2009) kifungu cha 152(1) kinaelekeza kuwa wafanyakazi wote wa salons za kike na za kiume pamoja na massage parlours kupima afya zao kila baada ya miezi sita (6) ambapo watapatiwa vyeti vya afya kama uthibitisho kutoka...
  4. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Naomba list ya Machimbo ya huduma ya massage inayoinclude Happy Ending

    Malegends, Naombeni list nina kazi nayo personally.
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo biashara ya MASSAGE

    Habari wakuu. Nikitaka kuanzisha na kufanikiwa katika kutoa huduma ya massage nizingatie nini? 1). Kibali kinatolewa baada ya kukamilisha nini? 2). Profesional Masseuse /masseur wanakua na cheti cha level gani?Mishahara yao ikoje? 3). Natakiwa niwe na nini? Natanguliza shukrani
  6. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sex is overrated and massage is underrated

    Sex, sio mpango mzima, very chaotic and too much work, massage on the other hand, is very pleasurable and much relaxing. So watoto wa kiume, massage maiichukulie poa, the feelings is something else. So, do less sex, have more massage.
  7. Bakulutu

    JamiiForums Tanzania Physiotherapy Massage ! Massage

    Habari za hapa, hivi hapa Dsm wapi naweza pata physiotherapy massage ile ya ku strength viungo vina lia kama vinekakama .. unavutwa mpaka sikio linaitika! Mwili umechoka umebana vibaya mno! Nipe ramani! Note: Nahitaji massage tiba haswa na sio starehee!
  8. stan john

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya massage ambayo ni mazuri

    Habari, Naomba kuuliza ni mafuta gani manzuri kwa ajiri ya massage, na yanauzwa sh ngapi?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Natoa Huduma ya massage kwa wababa na wamama wanaosumbuliwa na migongo

    Hello.. karibuni sana wote ambao mnahitaji huduma ya massage. Nipo mm na wenzangu. Tuna timu yetu mikoa mbali mbali. Mimi binafsi nipo dar es salaam. Namba yangu ni 0787264085. Karibuni sana wote kwa huduma nzuri. Asante
  10. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafuta gani ni mazuri kwaajili ya Body Massage kwa wapenzi?

    Natumai mu buheri wa afya. Nimeokota dodo la kishua pale Africa Sana. Katika chats za hapa na pale akadai sexual fantasy yake ni body massage kabla ya tendo la ndoa. Kwa kujimwambafy nikajikuta namuambia kuwa hivyo ndo vitu vyangu Jumapili hii mtoto anatinga Uswazi kumezeshwa Dudukee. Kuhusu...
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Video: Professional massage, ni balaa!

  12. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

    Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa. Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh. Sasa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aagiza Biashara za 'Massage' zinazokiuka maadili zifungiwe

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya kuzifungia sehemu zote zinazofanya biashara za masaji ambazo zinakiuka maadili ya Mtanzania ikiwemo zile ambazo zimegeuza maeneo ya masaji kuwa madanguro. “Kwa mfano juzi mmeona kuna lipicha linazagaa la masaji upande wa...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upo uwezekano biashara ya massage+ na vibes za body to body na kachumbari ya happy ending vitaongeza kasi kupaa kwa ushoga na usagaji

    Hello, kuhusu sakata la ongezeko la majumba ya massage services hasa lile vibe la body to body + happy ending, na promo yake ya nguvu, nachelea kusema ukizingatia privacy iliyopo maeneo hayo tutarajie ongezeko kubwa la ushoga na usajili. Massage zitavunja sana watu bikra zao za matundu madogo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, kazi ya Massage imelaaniwa? Nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake

    Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake. Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana
  16. Bwana Bima

    JamiiForums Tanzania Sehemu za Massage ziangaliwe kwa umakini mkubwa

    Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye. Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba...
  17. blogger

    JamiiForums Tanzania Tulipofika sasa huko kwenye MASSAGE na SPA centres..

    I'm speechless
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wabunge wanyimwa huduma za "Masaji" na Urembo kwenye Bima ya Afya

    Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo. Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao...
  19. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage?

    Habari Wakuu, Nimesafiri Mbeya kikazi, Nina uchovu wa safari manake nimesafiri na private car. Hivi hapa Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage yaani ile hot massage na mabinti warembo wenye kujua kazi yao... Nitashukuru kama nitapatiwa na Bei zake.. Ahsanteni Sana
  20. M

    JamiiForums Tanzania Female Masseuse - Upcountry Barbershop(Mdada wa Massage)

    .
Back
Top Bottom