massage

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanaotoa huduma za ‘massage’ watakiwa kujisajili

    Baraza la tiba asili na tiba mbadala Tanzania limeagiza vituo vyote vinavyotoa huduma za kusinga maarufu kama “massage” kuhakikisha vinajisajili pamoja na kusajili watoa huduma wao kabla ya Machi 31 mwaka huu. Baraza limeeleza kwamba usajili huo utafanyika kwa kituo husika pamoja na watoa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Naipongeza TCRA kwa kumkomesha Polepole and the Likes: Massage sent!

    Ktk vitu ambavyo intelijensia haijachukulia mzaha ni pamoja na swala la Polepole. Hata kama mlichelewa kumfumba mdomo lakini atleast mmejaribu. Huyu Polepole tungemchekea mwisho wa siku tungevuna mabua Waswahili husema ukimchekea sana Mbwa itakuja siku atakufata msikitini. Haiwezekani mtu...
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Massage ni danguro lililochangamka

    Nawasalimu! Basi bhana siku ya ijumaa nimekaa Zangu ofisini mwili unaniuma sana, kuanzia kiuno mpaka mgongo, nikawaza nitafute sehemu nifanye massage. Nikaingia Instagram kufatuta page zinazofanya huduma hizo nikabahatika kuipata moja iliyojirani na mitaa yangu, nikawacheki wahudumu kwa simu...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi body-to-body nzuri massage hapa Magomeni

    Nawasilisha kwenu wakuu. nimekuwa na safari nyingi na mwili umechoka sasa. Kama sio Magomeni basi iwe karibu.Au kama una contacts zao nimlete hapa kwangu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Massage Course...

    Wakuu wapi naweza kupata course ya kufanya massage maana kila nikiwaza njemba iwe ina mshika shika mamiloo hapana aisee.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Massage kwa Wanawake ♀️

    Je mwili wako unauchovu? Haujisikii vizuri kutokana na misuli ya mwili kukaza? Je unajisikia viungo vya mwili wako havipo sawa? Umekuwa na matatizo ya maumivu ya mgongo mara kwa mara, misuli kukaza, mifupa pamoja na ngozi kusinyaa au kuwa ngumu? Ondoa shaka nipo kwa ajili ya kuondoa matatizo ya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi 3 za kazi katika kituo cha massage

    Kazi ni massage service. Sifa za waombaji 1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30. 2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy) 3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi mikocheni,sinza,mbezi beach,kijotonyama,kawe atapewa kipaumbele. 4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Jobs facilitators ni Organization inayowaunganisha waajiriwa kwa waajiri. Kwa yeyeto mwenye hitaji la kazi yoyote tafadhali tutumie ujumbe kupitia Email Address hapo chini... Jobsfacilitators@gmail.com Na kwa muajiri anaehitaji muajiriwa pia anaweza kuwasiliana na sisi.kupitia Email Address...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa massage wanahitajika DSM

    Sifa za waombaji, 1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30. 2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy) 3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi ilala atapewa kipaumbele. 4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo. Mshahara kwa mwezi ni tsh 360,000/= Chakula cha asubuhi na...
Back
Top Bottom