MUHIMU: Hawa wahusika wameguswa na mafanikio ya yanga na ni wao kwa hiari yao wameamua kushow love wameongeza hamasa kwa kuwanuulia mashabiki tiketi, wala hawakuombwa wala kulazimishwa.
Rais wa nchi - Tiketi 5,000
Wizara ya Michezo>BMT -Tiketi 10,000
Benki ya NBC - Tiketi 5,000
Benki ya...
Rais wa Marekani, Joe Biden ameagiza Wizara ya Uchukuzi kuandika kanuni mpya zitakazoyalazimu Mashirika yote kugharamia Chakula na Malazi ikiwa uchelewaji utakuwa ndani ya udhibiti wa Shirika.
Baadhi ya sababu zitakazochangia kulipwa fidia ni pamoja na Matatizo ya Kiufundi na Shirika...
Namfuatilia hapa mubashara kwenye mtandao. Msajili wa Hazina Bw. Mchechu anasema ni wakati muafaka sasa Mashirika ya Umma kuanza kuchapisha taarifa zao za Utendaji za Mwaka. Hii ni nzuri. Ila ziwe genuine tu. Tusisubiri Ripoti ya CAG. Ukitazama Private commercial institutions kama Banks...
Mashirika mengi ya kijasusi yanakaulimbiu zao "nzito nzito" Shirika letu kaulimbiu yao inasemaje? Kaulimbiu inaweza athiri utendaji kazi wa watu?
1. Kaulimbiu ya TISS...
2. Kaulimbiu ya CIA.
"The Work of a Nation. The Center of Intelligence."
Unofficial motto: "And ye shall know the truth...
TANGAZO KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI
Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anayatangazia Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuwasilisha taarifa zao za mwaka 2022 na kulipa ada.
Mwisho wa kulipa ada na kuwasilisha taarifa ni tarehe 15 Aprili, 2023. Baada ya tarehe hiyo malipo yote ya...
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali. Baadhi ya sababu hizo ni:
1. Uongozi mbaya: Mashirika ya serikali yanaweza kuingia hasara kama uongozi wake ni mbaya na usiofaa. Wakurugenzi na mameneja wa mashirika haya...
Kutokana na PSRS kushindwa kufanya kazi kwa ukweli, welidi, ubunifu, hivi vitendo vimepelekea kuwa na shutuma nyingi juu ya utendaji wa hii TAASISI.
Na hivyo wadau tukamkumbuka bingwa wa diplomasia jk kipindi Cha uongozi wake jinsi michakato ya ajira ulivyokuwa inafanyika, watu walikuwa...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mimi Meneja Wa Makampuni naomba kuzama kwenye mada moja kwa moja:
Nashauri tu:
Kama serikali imeshindwa kuendesha baadhi ya mashirika kama TTCL, basi tumpe mwekezaji ili afanye biashara kwa faida huku akitengeneza ajira na kuiletea Serikali mapato.
Tunaweza...
Kwa mujibu wa ripoti ya E-Mobility Alliance, ambayo ilitolewa mwezi uliopita, inaonyesha kuwa kuna angalau magari 5,000 ya umeme (EVs) nchini Tanzania
Ingawa uagizaji na utumiaji wa magari ya umeme yana changamoto nyingi kwa nchi Tanzania serikali imeanza kuweka nguvu kutanua wigo wa watumiaji...
Pongezi nyingi kwa jitihada unazofanya za kuongoza nchi yetu na kurudisha hali nzuri ya mahusiano na uongozi wa kidemokrasia na kisheria. Najua una mambo mengi ila nitaandika kwa kifupi kabisa ushauri wangu walau kwa jambo moja tu kwa leo.
Ni kuhusu shirika la ndege ATCL. Ukweli unaojulikana na...
"Naamini mwaka huu tutakuwa na ongezeko la Mashirika yanayotoa gawio, Mashirika yasiotoa gawio lazima tutumie sheria kuhakikisha yanatoa au yanaondoka, Msajili wa Hazina simamia hili. Taasisi zote zinazotakiwa kutoa gawio, zifanye hivyo kabla ya mwezi wa saba, haiwezekani hadi Jeshi limetoa...
Mimi nashauri kwamba serikali isiyoweza kusimamia vyema mali za Watanzania ndiyo inayotakiwa kufutwa.
Maana yake ni kwamba hawa viongozi hawana uwezo wa kuwatumikia waTanzania kwa kuacha mali zao zipotee bure. Kuna sababu gani za wao kuendelea kuwa madarakani?
Shirika ulilokabidhiwa...
Mashirika 14 ya umma ya kibiashara yamepata hasara katika uendeshaji. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha.
Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG Charles Kichere amesema utafiti huo ni katika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo amepokea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) pamoja na TAKUKURU. Katika ripoti hiyo CAG aliyataja mashirika 14 yanayoendeshwa kwa hasara ikiwemo TRC, ATCL na NDC. Rais Samia alisema kwa muda baadhi ya makampuni yamekuwa...
Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu. Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana, lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu walitokea familia za aina gani?
Utagundua familia hizo ni za walevi au baba...
Nimefuatilia utaratibu unaotumiwa na watendaji wanaohudumu kwenye mashirika ya kimataifa na kubaini Kwa hatua za awali mambo yafuatayo;
1. Mashirika haya yanakataa kulipa watu wanaofanya nao kazi stahiki zao Kwa wakati Kwa kisingizio kwamba wakilipwa hawafanyi kazi. Hii ipo zaidi kwenye posho...
Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu.
Hayo yamebainishwa leo Jumanne tarehe 21 Februari 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani...
Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote.
Ikumbukwe wazo la chombo kimoja kusimamia ajira lilikuja baada ya upendeleo uliokuwepo wa wazi wazi katika ajira...
Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU
Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha
Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk
Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika...
Kwenye mashirika haya wakuu kuna unafiki,majungu na uzandiki nimechoka aisee na watu wanaongoza kwenye majungu ni wale wenzetu wa ukerewe yaani sio poa kabisa sema tu mimi ni blessed man ukinipiga majungu ndiyo kwanza nazidi kusifiwa na kila mtu yaani imefikia hatua naomba watu wanipige majungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.