Habari wakuu,Kwa mtu anayehitaji huduma ya mashamba ya kununua,viwanja kwa ajili ya makazi,ufugaji,kilimo, unapata maeneo,umeme upo.hekari moja inaanzia milioni 15 na viwanja kuanzia laki 8 mpaka milioni 3.maeneo yapo YOMBO MPERA WILAYA YA MKURANGA.KARIBUNI SANA.
Nauza Mashamba - Dodoma kwa bei nafuu, heka kwa Tsh.300,000/-yapo wilaya ya chamwino vijijin kwa maelezo zaidi piga simu no.0694 662625, Karibuni na pianauza mashamba na viwanja Dodoma Veyula vimepimwa million 2.
Habar zenu wapendwa
Kuna kiela changu nimekipata Mahali nataka kununua ka plot Kwa ajili ya investment for my kids for their feture
Sasa kwenye mitandao naona Kuna Hawa real estate agents wengi Sana nashidwa kuelewa jinsi wanavyo fanya kazi na usahihi wao jinsi ya Kupata hati baada ya...
Salaam, Shalom!!
Ulipokuwa mbunge kabla ya kupewa Uwaziri ulionekana kama mzalendo wa Kweli Kwa HOJA ulizojenga!!
Ulimaanisha nini?
1. Kwamba, mpunga unaweza kuwa mbadala wa sukari?
2. Kwamba Ajira ambazo zinatolewa na viwanda vya sukari, zikipotea, Watanzania hao waende wapi?
3. Hiyo...
Wana jamii forum Kuna watu wanauza mashamba morogoro eneo linaitwa bwanani karibu na bar inaitwa MV mapenzi.. Ukifika mkundi mwisho unaelekea mashariki. Je maeneo hayo ni salama kwa kununua. Au mwenye mawasiliano na mwenyeji wa maeneo hayo naomba anisaidie kunijulisha
Kama unajijua huna madeal ya million 50 huko na unajinyima kisa tu ujenge nyumba kali kama unazoziona za wengine za million 200 eti udundulize kila hela unayopata unakuwa Mpaka mchoyo kila pesa unaielekeza kwenye mjumba. Huku bado unaishi maisha ya shida ukiendelea kujisifu nyumba imekukula...
Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana.
Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa.
La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10.
La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
Njoo Iringa kwenye machai. Tunza tiketi YA BASI nauli unarudishiwa ukifika.
1.nyumba bure
2.maji ya uhakika
Vigezo
1. Miaka 18+
2. Uwe na NIDA namba au cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura au namba ya NSSF AU leseni ya udereva
Kazi ni kuchuma kipato ni kutokana na juhudi ya uvunaji lakni...
Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya utajiri kwa wakati muafaka.
Fokasi ni kuchagua njia/mbinu moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo mpaka kupata mafanikio ya...
Wanaukumbi.
BREAKING:
⚡ 🇱🇧Nasrallah, kiongozi wa Hizbullah:
SASA TUNAYO FURSA YA KIHISTORIA YA KUKOMBOA KILA INCHI YA ENEO LA LEBANE, PAMOJA NA ENEO LA MASHAMBA YA SHEBAA.
- Tuliwaua wanajeshi wengi wa Israeli, wakiwemo majenerali, lakini adui anaficha majeruhi wake.
-Idadi ya walemavu wa...
Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
Katika hali ya kuishiwa na akili za uongozi, Ole Sendeka ameendelea kusababisha vurugu na kushawishi wananchi kuvamia mashamba ya wawekezaji halali. Baada ya vikao anavyodai vya siri na baadhi ya wanachi ,Jana tarehe 11/12/2023 na leo 12/12/2023 wananchi wa Naberera walienda kuvamia shamba la...
Kwakweli naombeni matapeli madalali msinipigie ,mnasema mnauza mashamba natafuta mteja tunaanza kuzunguka tu kama pia.
Tuelewane.
Hii namba ni kwa ajili ya wateja sio mniharibie kazi .
Ila kama kuna mteja anahitaji kiwanja na mashamba Arusha aniambie na bajeti yake ili tumtafutie .
Darasa la leo ninakushirikisha moja ya kanuni chache za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Kanuni ambazo ni muhimu sana kuzifahamu. Ni kanuni ambazo unatakiwa kuzifanyia kazi mara kwa mara ili uweze kuona matunda ya kanuni hizo.
Kwa kuzifanyia kazi na kuona matokeo yake, imani itajengeka juu ya...
Karibuni wateja wetu viwanja na mashamba Arusha , tunamaji ya chai kikatiti , king'ori na East Africa.
Viwanja ni vya bei nafuu.
Unaweza kununua au kulipa kwa awamu.
Ila kuna kiwanja muungano kiseriani kinauzaa ml 3 ni 25 urefu upana ni 10 nikizuri kwa kujenga kina punguzo ya laki moja tu...
Shamba linauzwa Tshs.350,000 kwa ekari moja. Ekari hiyo hiyo inakodishwa kwa Tshs.100,000 hadi Tshs.130,000 kwa kilimo cha alizeti, mtama au mahindi.
Hapa ni momba mkoani Songwe. Inawezekana kutengeneza kipato kizuri sana kwa kumiliki mashamba ya kukodisha ambayo yana tija kwa wakulima wa mazao...
“Generally, real estate is cyclical. You have to buy in a way that lets you afford the cycles. And you have to know where you are in the cycle.”
Charles Brown
Kukaa na kusubiri soko ya ardhi na nyumba ziwe vizuri, ni kujipotezea muda wako wa thamani.
Wala huwezi kupiga hatua kwa kusubiri...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeridhishwa na usimamizi wa fedha ujenzi wa miradi ya Umwagiliaji katika mashamba ya Taasisi ya Utafiti wa Mbegu (TARI) pamoja na Mashamba ya Wakala wa Mbegu za kilimo (ASA) ikiwemo shamba la mbegu Ngaramtoni pamoja na shamba la mbogamboga Tengeru mkoani...
Wakazi wa Vijiji vya Matandalani na Mtisi vilivyopo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamekerwa kwa kucheleweshwa kugawiwa mashamba mapema ambapo wamekuwa wakiahidiwa na Ofisi ya Ardhi kwa lengo la kutekeleza zoezi hilo lakini utekelezaji unasuasua ambapo maeneo hayo yalirejeshwa kwa Wananchi...
Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imetoa onyo na tahadhari kwa Vijana ambao watashindwa kulima kilimo cha korosho na ufuta kwamba watakamatwa na Serikali za Vijiji vyao na watapewa adhabu ya kwenda kulima kwenye mashamba ya wenzao waliolima ufuta na korosho, bila kulipwa chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.