mashamba

Mashamba East is an open pit copper mine near to Kolwezi in Katanga Province, Democratic Republic of the Congo, currently not being actively worked.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyagawe mashamba makubwa kwa wananchi wa jembe la mkono

    Hiwezi kuanzisha kiwanda kinachotegemea wakulima wanaolima kwa kutumia jembe la mkono. Kama kuna yaliyokuwa mashamba makubwa, plantations ya wanyama, nafaka, kahawa, zabibu, machungwa, mkonge au mpira ambayo yalikuwa yanamilikiwa na serikali au wafanyabishara ni makosa makubwa kuyafuta na...
  2. yongpal

    JamiiForums Tanzania Mashamba ya korosho mkoa wa Lindi

    Habarini za leo wana Jamii Forums Nilikuwa napenda kuuliza mashamba ya korosho kwa mkoa wa Lindi upatikanaji wake umekaaje na vipi gharama za kununua eneo la hekari moja. Msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu juu ya hili.
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mashamba 86 kufanyiwa upekuzi

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ameagiza kufanyika upekuzi wa mashamba 86 yasiyoendelezwa katika wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ili yatakayobainika kutoendelezwa, mapendekezo ya kufutwa yapelekwe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani. Waziri Lukuvi alitoa agizo hilo leo...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kilosa: Rais Samia afuta mashamba 11 na kufufua 49

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameshusha neema kwa wananchi wa Kilosa kwa uamuzi wa kufuta jumla ya mashamba 11 yenye ukubwa wa ekari 24,119 katika wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro na kugawiwa kwa wananchi kwa ajili ya shughuli za kilimo, ufugaji na uwekezaji...
  5. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Kwanini wamiliki wa viwanja wanalazimishwa kuwalipa fidia wenye mashamba yaliyo hukuliwa na Manispaa ya Sumbawanga?

    Mwaka 2004 Manispaa ya Sumbawanga ilichukua mashamba ya wananchi huko kizwite na kufanya uthamini na kuwalipa fidia wahusika. Baadae ikapima viwanja na kuviuza kisha kuvimilikisha kwa walionunua na kuwapatia hati milki za miaka 66. Ghafla kumeibuka wimbi la watu wanavamia hivyo viwanja na kudai...
  6. ommytk

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wenye mashamba mijini

    Wadau fursa hii tushikirikiane. Kama una shamba na lipo eneo kidogo eneo zuri basi tunapima viwanja na kusimamia uuzaji wote kwa gharama zetu kwa mkataba maalum baina yetu Wewe uwe na shamba tuite tukae chini tufanye kazi pamoja Karibu
  7. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kama mwalimu wa literature in english na history

    Jina langu naitwa #####, ni mkazi Wa Mbeya, kwasasa naishi mkoani Njombe taaluma yangu ni mwalimu. ELIMU: Nimesomea bachelor of arts with education Chuo kikuu cha Dodoma, na kuhitimu mwaka 2017. Literature in English na history kama masomo ya kufundishia. UZOEFU; nimefundisha kama mwalimu Wa...
  8. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Mwakaleli (kijiji cha Kandete) bei za mashamba zipoje ili nisipigwe?

    Habari wakuu? Kwa atakayekua amesoma uzi wangu wa unaouliza sehemu nzuri ya kuishi kati ya Tukuyu na Kyela atakua anajua. Kikubwa ni kwamba sehemu niliyochagua kuishi ni Tukuyu eneo la Mwakaleli kijiji cha Kandete. Ninataka nikifika ninunue shamba dogo kwaajili ya chakula (ndizi, viazi Ulaya...
  9. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Zipi taratibu za kufuata kisheria katika kumiliki kiwanja, shamba na nyumba

    Habari wana JF, Nahitaji kujua kama kuna mtu ana kiwanja anataka kuniuzia natakiwa nifuate taratibu gani kisheria ili nisije kugubudhiwa baadae, kwa vijijini taratibu zikoje na kwa mijin taratibu zikoje pia nikitaka kununua shamba nifuate taratibu zipi ili hilo shamba liwe mali yangu halali...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tembo 30 wavamia mashamba na makazi ya watu wilayani Namtumbo

    Tembo 30 wakiwa katika makundi mawili wamevamia makazi na mashamba ya wananchi na kuharibu ekari zaidi ya 20 za mazao mbalimbali na kuzusha taharuki kubwa kwa wananchi katika kijiji cha Mbimbi wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma. ITV imetembelea mashamba yaliyoharibiwa kijijinii hapo katika kata ya...
  11. yongpal

    JamiiForums Tanzania Gharama za kununua mashamba ya miti ya mbao

    Habari za mchana ndugu wana JF Nilikuwa napenda kuuliza kuhusiana na gharama za mashamba ya miti ya mbao kwa mikoa ya Iringa na Njomba hekari moja yenye miti yenye umri wa miaka mitatu mpaka minne kwa hivi sasa inaweza ikawa imefikia shilingi ngapi?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali

    Property investors company inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja kwa bei ya offa maeneo ya 1. Madale - 28,000/= kwa sqm 2. Bunju - 20,000/= kwa sqm 3. Vikawe - 8000/= kwa sqm 4. Mwasonga - 8000/= kwa sqm 5. Vigwaza (mashamba) - 2.5M/= kwa sqm >Viwanja vinaanzia 500sqm na kuendelea >Maeneo...
  13. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mamlaka iwaruhusu watu waende kwenye mashamba na vijiji vya karibu wakajitafutie chakula, hapa tulipo ni nyika tupu

    Kutokana na ugumu wa ajira kwenye nchi hii naomba Mh Rais urahisishe mchakato wa watu kwenda nje ya nchi kutafuta ajira na kazi. Kikwazo kikubwa cha watu kwenda nje ya nchi ni passport na masharti yake. Hili limepelekea watanzania walio nje ya nchi wawe wachache sana. Nchi kama US kuna...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia picha za viongozi wa serikali mashambani kwao weekend, nakumbuka mashamba ya Mbowe yaliyovamiwa na wanasiasa wakaua mimea isiyo na hatia

    Binadamu ana tabia yakuona kitu flani kikamkumbusha Jambo fUlani la aina hiyo lililowahi kutokea miaka ya nyuma. Leo hii nikawaida kuona wanasiasa na baadhi ya viongozi wakisiasa wakipiga picha na kuposti wakiwa kwenye mashamba yao. Picha hizi unanifanya nijiulize hivi akienda mtu akaondoa...
  15. RealEstate Agent

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata Mashamba kilomita Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10 Mpaka acre 500...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashamba kwa ajili ya kilimo katika mikoa ya Mbeya, Njombe na Songwe

    Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya; nimeona bora nianze kujikita kwenye swala la kilimo kabla ubongo wangu hujagundua suala la ajira sio kitu cha kukitegemea. Hivyo napata shida kidogo kupata au kujua wapi naweza pata mashamba ya kununua kwa bei ya chini kutokana...
  17. mbikagani

    JamiiForums Tanzania Diwani na M/Kiti wa Kijiji (CCM) Mbigiri-Kilosa wanapora na kuuza mashamba ya wananchi. Serikali iingilie kati suala hili

    Hiki ni Kijiji cha Mbigiri kata ya Mbigiri wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro ambacho kinaoongozwa na diwani anayefahamika kwa jina la Watende Rashidi na mw/kiti wa kijiji anaitwa Jalala. Viongozi hawa kwa pamoja wanashirikiana KUPORA na KUUZA mashamba ya wananchi katika kata hiyo...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro azindua Jengo la Utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato, atoa maelekezo kwa Sekta ya Utalii nchini

    Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka watalii wa kutosha kwenda kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya...
  19. mbikagani

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kilosa anafisidi mashamba ya ushirika wa miwa

    Habari wanaJF, Huyu anafahamika kwa jina la Ameir. Ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Kilosa. Kama mnakumbuka huyu alishawai kutajwa na waziri wa ardhi mh Lukuvi mbele ya Rais Magufuli kuwa anamiliki mashamba makubwa kinyume na utaratibu. Kwa sasa amevamia kata inaitwa Mbigiri na...
  20. Chris wood

    JamiiForums Tanzania Brother amepata likizo anakuja kagua mashamba na mtaji nilishakula sijui nifanyeje

    Asee Christmas kwangu imekuwa ya hovyo balaa, naona kama imekuja niumbua. Kwanza kabisa mimi ni kijana wa miaka 33 ni degree holder lakini mpaka sasa sina kazi ya kueleweka, jambo ambalo limefanya nishindwe kuwa na familia. Maisha Dar yalinitandika haswa ikabidi nirudi kwa mama ndio mpaka sasa...
Back
Top Bottom