mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Cape Verde toka mwanzo wa Afcon gonga Likes😉

    Nilishatabiri mwamba wa hii Afcon ni Cape Verde. Sasa mtaniamini mtapoona South Africa yule kenge msupport magaidi wakipalestina anakalishwa mpaka anaomba poo pale mtondogoo... Mimi ni Octopus Paul nimemtabiri Cape Verse mechi zote na sijakosea hata moja. Hili kombe linaenda kwa underdog
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza Mashabiki wengi kwenye Matamasha yao

    Achana na Orodha ya Wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika, leo Mjanja M1 nakuletea Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza mashabiki wengi hadi kufikia mwaka 2023 kwenye matamasha yao. HII NDIO ORODHA YENYEWE! 1. Ferre Gola Aliingiza Watu 150,000 Show yake ilifanyika DRC Congo Mwaka 2023. 2...
  3. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Taifa stars mnakumbuka nini mkitazama hii picha?

    Sie mashabiki wa Mali hatuna hofu nyie mashabiki wa stars mnakumbuka nini mkiiona hii picha?
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Simba mnatuchukuliaje wanachama na mashabiki?

    Hakuna mtu asiyejua kama hatuna mafanikio, lakini sio kutufanya mazuzu kutuletea mafanikio ya kuungaunga. Mtu anapimwa kwa kufanikisha objectives, sasa mtueleze hizo ndio zilikuwa objectives zenu? Wanachama ili tuheshimiane kuna kila sababu za kufanya kitu kwa hawa viongozi
  5. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Aibu TANZANIA tumeshindwa kupeleka mashabiki AFCON

    Nashindwa kuelewa kwanini TFF na Serikali wameshindwa kupeleka hata mashabiki 50 katika hii michuano hii ya AFCON. Nchi yetu Tanzania tumezidi sana siasa na ufisadi. Katika pesa ambazo CAF wametoa TSH 2.5 Billion kwa kila nchi, tumekosa hata fungu la mashabiki? Ukiangalia kuna vinchi vidogo...
  6. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Mashabiki kutokua na shukurani kwa wachezaji

    Inasikitisha sana Kwa kweli Kwa mashabiki wengi wa timu kubwa nchini,hususan mashabiki wa Simba na Yanga. Mashabiki Hawa wamekua hawana shukurani kabisa kwa wa chezaji waliopungua uwezowao,Mfano wachezaji wa Simba ambao ama Kwa umri wao ama Kwa nyakati Tu au sababu nyingine inapopelekea viwango...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania 2023 /2024 Arsenal hatoambulia kikombe chochote tena , Mashabiki wake jiandaeni kisaikolojia

    Hii ndio taarifa ya upendo ya leo ambayo tumeona ni vema tusiwafiche washabiki wake ili visukari visije kuwapanda hapo baadaye . Arsenal 0-2 Westharm
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mashabiki wamjia juu Mo Salah baada ya kuwatakia heri ya Christmas mashabiki zake Instagram

    Mchezaji wa timu ya taifa ya Misri, Mo Salah amejiwa juu na Waislamu baada ya kuwatakia mashabiki zake heri ya sikukuu ya Christmas. Watu wametuma maoni ya kukebei na kusema kuwa hatakiwi kuwatakia Watu heri ya Christmas kwa sababu yeye ni Muislamu...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga ndiyo wanunuzi wa habari za michezo Tanzania

    Ukitaka habari zako za michezo ziuze hapa Tanzania, andika au toa habari za kuisifia au kuitukuza Yanga. Hakuna mashabiki wanaonunua habari za michezo hapa Tanzania kuliko mashabiki wa Yanga. Kwa hili mashabiki wa Yanga mheshimiwe.
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuambulia mashabiki watatu Yanga sc waamua kuweka kiingilio bure ili wajaze uwanja kama simba sc wanavyojazaga.

    Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea. Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf champions league. Waneweka kiingilio bure kwa lengo la kuonyesha kuwa, na wao wanaweza kuujaza uwanja...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hata kama Yanga atatoka makundi bado atakuwa kafikia lengo. Hakuahidi uongo kwa mashabiki zake

    Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus. Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko vizuri mno, lakini Yanga inaelewa ugumu wa mashindano ya kimataifa na huwa haiwapi mashabiki wake...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga: Mashabiki komeni kuukurubia zaidi uongozi na wachezaji wenu.

    Shabiki wa timu ni mhimili laini wa timu ambao kazi Yake kwenye timu ni kusimamia furaha yao isipotezwe na wachezaji, viongozi, wafadhili na wadhamini wa timu yao. Yaani malipo ya shabiki wa timu ni furaha TU ya ushindi wa timu. Mashabiki ndio mjeredi (whip) imara wa timu kuwafanya wachezaji...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi morali ya wachezaji na mashabiki wa Simba ilivyokuwa wakati wa mechi dhidi ya Asec Mimosas ni dhahiri kwamba mambo hayako sawa.

    Heshima yenu wadau. Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo waliokata tamaa wakiamini upngozi ndio chanzo cha haya yote. Wapo wanaoamini Kuna mzaha unafanywa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi morali ya wachezaji na mashabiki wa Simba ilivyokuwa wakati wa mechi dhidi ya Asec Mimosas ni dhahiri kwamba mambo hayako sawa

    Heshima yenu wadau. Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo waliokata tamaa wakiamini upngozi ndio chanzo cha haya yote. Wapo wanaoamini Kuna mzaha unafanywa na...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza mno Mashabiki wa Simba SC kwa Walichokifanya na Wanachokifanya

    Hakuna kununua Tiketi wala kwenda Uwanjani kesho na huko kwa Mkapa watajaza Familia za akina Try Again, Mangungu, Mo Dewji na Wachezaji Wanafiki Watatu wanaoneza migomo ya kichinichini na Timu kufanya vibaya akina Chama, Ntibanzokinza na Inonga. Mashabiki wa Simba SC heko mno.
  16. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Brazil vs Argentina inakaribia kutochezwa baada ya mashabiki wa Brazil kuanzisha vurugu

    Baada tu wachezaji kuingia uwanjani mashabiki wa Brazil walianza kuwarushia vitu mashabiki wa Argentina, ndipo vurumai kubwa lilipotokea. Wachezaji wa Argentina wakiongozwa na nahodha wao Lionel Mesi wamerudi vyumba vya kubadilishia jezi na hawajatoka mpaka sasa.
  17. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mashabiki wa Simba waweka bango la ushindi wao dhidi ya Yanga

    Hii picha niliipiga mtaa fulani katika kata ya Yombo vituka Dar es salaam miaka kama miwili nyuma hivi ,leo katika kupekua simu nimeiona..
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mamelodi Sundown inapendelewa. Mashabiki wa ligi ya PSL Afrika Kusini wameanzisha petition

    Mamelodi sundowns analalamikiwa anabebwa sana na marefa na viongozi wa ligi PSL. Africa ujanja ujanja kila sehemu Rais wa CAF ndio mwenye timu. Hivyo Marefa wanataka wamfurahishe bosi ili awape upendeleo na wao
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Picha: Hii ramani inatumika sana kueneza uwongo wa mashabiki wa magaidi ya HAMAS humu

    Ramani ya kwanza inayotumika kueneza uwongo, ila ramani ya pili ndio yenye uhalsia
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Hivi wachezaji wanawezaje kuingia uwanjani bila utaratibu rasmi (kuruka ukuta) lakini mashabiki hawawezi?

    Kuna kitu huwa kinanishangaza sana katika karne hii ya 21 kila nikisikia kuwa wachezaji wa timu fulani (hususani Yanga na Simba) wamepigwa faini kwa kosa la kuingia uwanjani pasipo kupita kwenye geti rasmi la wachezaji (kuruka ukuta) na wakaingia uwanjani (pitch) na vyumbani. Maswali...
Back
Top Bottom