masanja

  1. R

    Mwabukusi: Wamemuuwa wakili Joseph Masanja na wamekataa kuchunguza

    Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza namna mawakili wananyanyaswa na vyombo vya dola wakati wanajitoa bure kutetea wananchi. Mwabukusi amerejelea sakata la wakili kupigwa ndani ya mahakama na kifo cha...
  2. Megalodon

    Aliyekuwa DG wa TRC, Masanja anatakiwa kuwa Mahabusu as we speak

    Hakuna mmbunge mwenye maslahi kuzidi hawa ma DG wa taasisi za Umma. Massanja aliamua ku risk UDG wake over ubunge, hii ni kwa sababu Massanja anajua alichokifanya pale TRC na ufisadi mkubwa kwenye SGR …. amekimbia kukwepa uwajibikaji na kudondokewa na jumba bovu. 1. Baada ya Kifo cha JPM ...
  3. Sigonella Island

    Queen Masanja asema Bora arudi kwa mumewe kuliko hawa vijana wanakula viboga bila kuchoka

    Queen Masanja: "Bora nirudi kwa Mume wangu kuliko hawa Vijana wa siku hizi!". Msanii maarufu wa Bongo Movie, Queen Masanja, ambaye pia ni aliyekuwa Mke wa Dkt. Juma Mwaka, ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kufunguka wazi kuhusu maisha yake ya uhusiano. Kupitia mahojiano yake, Queen...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Masanja: Kazi yangu ni kuhubiri, si Kupigana, vijana wangu watanilinda

    Mimi siyo tu Mchungaji mimi ni mkuu wa dhehebu letu, naomba niwaulize nikilindwa mimi wao wanaumia nini, Mungu analinda roho zetu siyo miili yetu siwezi kufanya kazi ya kuhubiri neno la Mungu na kupangua ngumi za watu ni lazima vijana wangu wanipambanie zinapotokea vurugu"Alisema Masanja
  5. Mzee Mwanakijiji

    Masanja Kungu Kadogosa, aliharibu au anapelekwa juu zaidi?

    Wandugu, huyu aliyekuwa Mkurugenzi wa TRC ni kuwa alitumbuliwa kwa kuvurunda huko au anasubiria kupangiwa majukumu mengine makubwa.... Binafsi naweza kumpa maua yake kwa kusimamia uanzishwaji wa SGR hadi ilipofikia sasa....au alifikia umri wa kustaafu?
  6. JanguKamaJangu

    Mwl. Makungu amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini, kuchuana na Masanja Kadogosa

    Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu, ambaye ni Mwalimu na Mwandishi mahiri wa Makala , Mwl. Makungu Mussa Sweya, jana 2/7/2025 alichukua na kurejesha fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mwl. Makungu Ms amesema...
  7. Abdul Said Naumanga

    TLS: “Wakili Joseph Masanja Aliuawa kwa Kushambuliwa na Askari Magereza Katika Bwalo la Magereza Babati”

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) kimetoa taarifa rasmi leo tarehe 30 Juni 2025 kuhusu tukio la kuuawa kwa mmoja wa wanachama wake, Wakili Joseph Masanja (Roll No. 7664), lililotokea tarehe 23 Desemba 2024 katika bwalo la Jeshi la Magereza, Babati – Manyara. PIA...
  8. T

    Hili tangazo la Masanja ni kusherehesha tu!! Au lina uhalisia!? Mbona lina mkanganyiko!?

    Nimemsikia masanja mkandamizaji anapigia debe mradi wa maji mwanga katika segment yake maarufu kama mtalii wa ndani. Kwenye tangazo Hilo masanja anasema eti kwenye mradi ule zimetumika trilioni 335 fedha za kitanzania. Hili jambo linawezekanaje wakati hiyo hela kwa uelewa wangu ni bajeti ya...
  9. Ojuolegbha

    Kutana na 𝐌𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 𝐖𝐀 𝐍𝐃𝐀𝐍𝐈 Bw. Masanja Mkandamizaji akizunguka nchi nzima kukuonesha namna ambavyo 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 yetu inapendeza.

    Kutana na 𝐌𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 𝐖𝐀 𝐍𝐃𝐀𝐍𝐈 Bw. Masanja Mkandamizaji akizunguka nchi nzima kukuonesha namna ambavyo 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 yetu inapendeza. Masanja anakuonesha miundombinu ya barabara, madaraja, vituo vikubwa vya mabasi na daladala, masoko nk. Vijana sasa wameendelea kuziona fursa, neno moja lao kwa mama Rais...
  10. Bi zandile

    Masanja Mkandamizaji aililia Benz iliyochomwa moto na Goodluck Gozbert

    Bishop Masanja Mkandamizaji amefunguka kwa uchungu..... "Nimeona story ya Kuchomoa gari!! ninachojua Nabii @geordavietv amewapa Magari watu Kadhaa!" Ameendelea kusema.... "Ombi langu kwa yeyote aliyepewa gari na Nabii, kama anataka na yeye kuchoma naliomba mimi na ninalifata mwenyewe...
  11. The Palm Beach

    Jeremiah Masanja: Mbowe "Atalazimishwa kuondoka CHADEMA". Lissu namfahamu tumesoma naye, Mbowe namfahamu tumecheza naye muzik Billcanas Club enzi hizo

    https://youtu.be/WhlUbdvI5CA?si=6EYlRBSl4ZN0QnT5 Akihojiwa na SAUT DIGITAL, Mwanasiasa na mwanachama mwaminifu wa CHADEMA, jirani yake Tundu Lissu huko wanakoishi kwa takribani miaka 21 Mzee Jeremiah Masanja ametoa maoni na mtazamo wake juu ya hali ya CHADEMA sasa na wagombea uenyekiti wawili...
  12. Waufukweni

    Masanja Mkandamizaji aonesha mjengo wa Kanisa lake la Feel Free Church kwa mara ya kwanza

    Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church. Kanisa la Feel Free Church linajengwa maeneo ya Uwanja wa Barafu, Mburahati, jijini Dar es Salaam...
  13. comrade_kipepe

    Hivi kuna Aunt mzuri hapa afrika mashariki kama Queen Masanja?

    Hivi huyu Queen MASANJA ni msukuma? Toto limeiva Sana aisee Sina maneno mengi picha inaongea
  14. toriyama

    Nachukizwa na kukasirishwa namna Boniface na Huyu Maranja Masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa

    Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais na ni mkuu wetu pia kumtukana ni kutudharau hata sisi pia Wanaitumia mtandao wa Twitter (x) kama...
  15. Mcheza Piano

    PreGE2025 CCM imsimamishe ndugu Masanja Kadogosa kugombea urais mwakani (2025)

    Imefika wakati kama taifa tuchague watu wenye maono ambao wanaweza kutumia rasilimali za nchi yetu kuijenga nchi yetu. Hakuna sababu yoyote ya msingi inayozuia Tanzania kuwa kwenye orodha ya nchi tajiri duniani. Kinacho kosekana kwetu ni viongozi wenye maono na wazalendo. Baada ya kumchunguza...
  16. Roving Journalist

    Masanja Kadogosa: Kukatika kwa umeme hakutakwamisha utendaji wa Reli ya SGR

    Mkurugenzi wa Shirikla la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa wakati anazungumza na kutoa maelekezo kabla ya safari ya kutokea Dar - Moro mapema leo, Februari 26, 2024. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi...
  17. GENTAMYCINE

    Andrew Kisaka, amesema Mamlaka hiyo itawachukulia hatua baadhi ya Watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe

    Meneja wa Huduma za Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Andrew Kisaka, amesema Mamlaka hiyo itawachukulia hatua baadhi ya Watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe huku wakiongezea baadhi ya vitu visivyotakiwa wakati wa usomaji. Chanzo: millardayo GENTAMYCINE nawapongeza...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mary Masanja Agawa Magodoro na Mashuka Shule ya Msingi Mitindo

    MBUNGE MARY MASANJA AGAWA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA MSINGI MITINDO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja ameungana na viongozi wa Jumuiya ya UWT Misungwi katika zoezi la Ugawaji wa Magodoro na Mashuka kwa Wanafunzi wenye Mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Mitindo...
  19. Suley2019

    Masanja Malebo: Wanaume wa Kanda ya Ziwa wana nguvu za kiume

    "Hili tatizo (nguvu za kiume) tunalitambua na tatizo hili niseme tu kwa kifupi kwamba chanzo chake kikubwa ni lishe duni hasa kwa jamii ya sasa hivi. Katika utafiti tulipokuwa tukilinganisha watu wa mjini na vijijini, kule vijijini watu hawahangaiki kutafuta dawa za nguvu za kiume na ukiangalia...
  20. sinza pazuri

    Masanja Mkandamizaji Relax. Acha kupanic

    Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM. Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu. Swaga zako za mwanawane sijui kukandamiza simeshakifu watu ulishindwa kuzirejesha na ze comedy yenu haitakuwa...
Back
Top Bottom