Masanja Mkandamizaji Relax. Acha kupanic

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,374
20230428_090422.jpg

Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM.

Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu.

Swaga zako za mwanawane sijui kukandamiza simeshakifu watu ulishindwa kuzirejesha na ze comedy yenu haitakuwa rahisi kuzirudisha kwenye radio.

Nakushauri jitafute taratibu hatimaye utaeleweka. Unataka kushindana na watu wenye talent kubwa ya hayo mambo inahitaji muda Mchungaji.
 
View attachment 2602064

Mchungaji cum presenter
 
Kila mtu ana malengo yake anapopata position flani mahali fulani. Nafikiri umpe muda tuone for now its too early
 
Chuki iko wapi hapo? Mie nimetoa ushauri kama haumfai ataachana nao. Ana overdo things
Safi nadhani uwasilishaji hukuweka umahususi wa kuoverdo, kama tabia ya kujifanyisha kike au exaggerations anaamini ndicho upekee wake huo
 
Huyu mtoa mada nafikiri ni mmoja wa watu wa propaganda wa wasafi na diamond kwa ujumla. Hamna jambo linalogusa maslahi ya diamond au wasafi linajadiliwa hapa jukwaani usimkute. Masanja ahitaji ushauri wako. Inshort wewe upo kazini tunajua kwa namna moja au nyingine hii mijadala inakunufaisha
 
View attachment 2602064

Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM.

Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu.

Swaga zako za mwanawane sijui kukandamiza simeshakifu watu ulishindwa kuzirejesha na ze comedy yenu haitakuwa rahisi kuzirudisha kwenye radio.

Nakushauri jitafute taratibu hatimaye utaeleweka. Unataka kushindana na watu wenye talent kubwa ya hayo mambo inahitaji muda Mchungaji.
Halafu Masanja anajaza waumini kanisani kwake ati.
 
Back
Top Bottom