masanja

  1. crome20

    Masanja Umechemsha bro!!

    Kolabo la wasanii wa bongo fleva kumpongeza Mh Rais, limetiwa doa na maneno ya Masanja Mkandamizaji. 1.Eti JPM ndiye Rais pekee duniani anayemuamini Mungu 100%. Hivi ana takwimu gani na Imani za Ma rais? Toka lini kumwamini Mungu imekuwa sifa ya urais hapa TZ? Huyo Mwl. Nyerere anayemsema yeye...
  2. Pascal Mayalla

    GE2020 Kuona ni Kuamini: Je, Oktoba 28, utachagua nini kati ya unachoona kwa macho kitu cha ukweli kilichopo vs ahadi tupu? Msikilize Masanja Mkandamizaji...

    Wanabodi, Sisi wana tasnia ya habari, kwenye uchaguzi huu, zaidi ya kuwahimiza watu na kuwahamasisha, hiyo tarehe 28 October, wajitokeze kwa wingi, kwenda kupiga kura, na kuitumia haki yao ya kidemokrasia, kuwachagua viongozi wanao wataka, media pia tuna wajibu wa ziada wa kuwaelimisha...
  3. U

    Masanja acha kulitukanisha jina la Bwana Yesu kwenye majukwaa ya wamataifa

    Habari wakuu! Wokovu sio Bwana asifiwe, Wokovu ni maisha mapya! Ni mabadiliko anayoyapata Mtu baada ya kumkiri Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake( Yohana 1:12) Masanja mkandamizaji ww ni mchungaji kitendo cha ww kwenda kucheza jukwaa moja na wasanii wa bongo fleva na wengine! Bado...
  4. Chief Kabikula

    Baada ya Masanja kutumia picha za miradi ya Lesotho kuisifia Serikali ya awamu ya tano, Msemaji wa Serikali naye kaja na upotoshaji huu

    Kisa hiki hapa kachukua picha miradi mikubwa ya mabwawa ya umeme Ehiopia na Lesotho anadanganya kwenye posti zake kuwa ni mradi wa Stiegers Gorge Tanzania.
  5. M

    Nini kimepelekea Kadinali Pengo kuondolewa kwenye tovuti ya Jimbo Kuu la D'Salaam?

    SOURCE: Website ya Jimbo Kuu la D'Salaam Nimeshtushwa kuondoloewa kwa Kardinali Polycarp Pengo kwenye website ya Jimbo Kuu la D'Salaam. Ukiisoma inaonyesha Jude Thadaeus Ruwa'Ichi ndiye Askofu Mkuu wa Jimbo hilo na Eusebius Nzigilwa ni Askofu Msaidizi. Jamani nikumbusheni. Je, inawezekana...
Back
Top Bottom