Kwanini Levamisole imepigwa marufuku ?

Kwanini Levamisole imepigwa marufuku ?

idiomer

Senior Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
195
Reaction score
228
20260627_180628.jpg
 
Hii si ilikuwa inahusishwa na kutibu/kusaidia wagonjwa wa Cancer?
Madawa yote yqnayohusishwa na matibabu ya cancer yamepigwa pini! Wenye nguvu wanajua sababu
 
Hii si ilikuwa inahusishwa na kutibu/kusaidia wagonjwa wa Cancer?
Madawa yote yqnayohusishwa na matibabu ya cancer yamepigwa pini! Wenye nguvu wanajua sababu
Ina madhara makubwa kwa binadamu...inaathiri chembe nyeupe za damu na kusababisha agranulocytosis..mbadala wake kwa matumizi ya binadamu kwa case za minyoo ni albendazole au mebendazole...Ingawa kuna Claim kwamba zinasaidia sana kwenye matibabu ya kansa ya utumbo
 
Back
Top Bottom