Adhana Kupigwa Marufuku Denmark

Adhana Kupigwa Marufuku Denmark

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,738
Reaction score
42,828
Serikali ya Denmark imefungua upya ukaguzi wa pendekezo la sheria inayohusu wito wa kupiga marufuku 'Adhana' kusikika tena nchini humo, Waziri wa Uhamiaji Morten Bødskov alithibitisha kuwa serikali itaanza tena uchunguzi wa iwapo katazo la nchi nzima la kutangaza mwito wa Kiislamu wa sala kupitia vipaza sauti vya misikiti linaweza kutekelezwa,
-
Waziri Morten alisema 'Adhana haupaswi kusikilizwa juu ya paa za nyumba za raia wa Denmark, Haina nafasi nchini Denmark, na raia wa nchi hii hawatakiwi kuhisi kama wapo kwenye mitaa ya Islamabad kila wakati sababu ya adhana',
-
Mabishano ya jambo hili yanahusu haki za umma isiyo ya kidini huku wengine wakidai sheria hio itakiuka haki za kidini za kikatiba na kuwalenga Waislamu tu,
Source SamMisago
 
Wakafanye adhana kwao mbwa hao. Kama wanaweza kuamka saa 11 asubuhi mbona bado wanakuwa maskini hivyo. Kwani mbona kuna saa siku hizi?
 
Kufanya adhana kwa kutumia speaker's, ni usumbufu kwa raia wengine wasio wailsam.

Watumie mdomo TU kutoa adhana.

Na RC wasitumia kengele makubwaa , Zina leta mstuko wa Moyo, bali waweke kengele vidogo TU.

Na walokole watumia sound systems kwenye kufanya Ibadan zao sauti ibaki mule mule ndani ya nyumba ya Ibadan isitoke nje, wasitumie ma speaker ya matangazo kwenye nyumba za Ibada,
 
Tatizo ni mipango miji, watu wanafungua misikiti na makanisa sehemu za makazi, baa nankumbi zinawekwa maeneonya makazi.
 
Utapasuka bule kwa chuki buddy,Waislamu mchi za Magharib hawatumii vipaza sauti ila wapo wengi mno,na wazungu wanaingia kwenye uislaam kila kukicha.
Hapana, wazungu wanaongezeka kwa kiwango kidogo kutokana na kuzaa watoto wachache ila wahamiaji walio waislamu, kwa mila na ruhusa ya kuoa zaidi ya wake wawili wanazaliana kwa kasi.

Ninachokiona, ingekuwa enzi za kutokuwa na haki za binadamu, wazungu wangetumia force ili kuziondoa hizo jamii kwa sababu waislamu hawana kawaida ya kuishi kama wenyeji wao ila wana tabia ya kujaribu kuwabadilisha wenyeji wao wafuate imani zao.

Sasa hiyo kwa wazungu sio rahisi
 
Back
Top Bottom