maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi: Kutoka Ghasia Hadi Maridhiano

    Kutokana na ushahidi wa kina, Tume ilibaini kuwa ghasia zilikuwa na athari pana za kiuchumi na kijamii. Matokeo yalisisitiza haja ya kuimarisha mifumo ya majadiliano ya kisiasa na kijamii. Ushirikishwaji wa wadau mbalimbali uliwezesha hitimisho thabiti kuhusu vichocheo na madhara. Hii ilifanya...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi aibua hoja nzito: Maridhiano hayajengwi kwa ripoti ya siri ya Rais

    Mwanasheria na rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi, ameibua hoja nzito kuhusu mchakato wa maridhiano, akisisitiza kuwa Ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumika kama msingi wa maamuzi makubwa ya kitaifa kama vile kuunda Katiba mpya. Amesema ripoti hiyo ni mali ya Rais...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: Hatuendi kwenye maridhiano kuridhiana na chama fulani. Tume ni ya Rais sio ya Samia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesisitiza kuwa chama hicho kiko tayari kuingia kwenye mchakato wa maridhiano kwa lengo la "kuiponya nchi" na si kuridhiana na vyama fulani vya siasa pekee. Akizungumza katika mahojiano maalum na BBC Aprili 24, 2026, Wasira...
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira, Maridhiono siyo na CHADEMA ni Maridhiano ya Kitaifa na kuliponya taifa

    Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakisusia maridhiano watasusia na vikao vya kuandika Katiba Mpya?

    Nilimsikia Rais Samia akisema ataunda tume ya maridhiano nchini ya kuwaleta watanzania pamoja kabla ya kuanza mchakato wa kuandika Katiba mpya. Nimewasikia chadema wakisema hawatahusika wala kushiriki kwenye maridhiano. Kwa maoni yangu sioni namna chadema itakavyoshirikishwa kwenye kuandika...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini na Maridhiano Kitaifa

    Viongozi wa dini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika maridhiano. Taifa linahitaji kurejesha maadili na kushinda majeraha ya ghasia. Hii ni dhamira ya pamoja ya Watanzania wote. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo timu ya Maridhiano kama kutakuwa na maridhiano

    Hawa wawepo ndiyo kutakuwa na maridhiano ya kitaifa.
  8. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Iran viongozi wameuliwa, miundombinu imelipuliwa na kupata hasara ya 700Trilion, ila hawajasusia maridhiano na US. CHADEMA tusigomee maridhiano

    Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo. Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje? Mbona Raila aliridhiana na Kibaki Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu tuache mihemko kuliko uhalisia. Msimamo wa CHADEMA uko wazi. Lissu aachiliwe bila masharti kwanza ndo wataamua wafanye maridhiano au la

    Acheni mihemko na hisia za kijinga Msimamo wa chadema uko wazi Lisu aachiliwe ndo waamue kama watafanya mariandano au la Ndo maana CCM wameng'ang'ania apewe masharti kabla ya kutoka chadema wamekataa Na Kwa msimamo huo wa chadema unafanya lisu aendelee kubaki mahabusu Hadi pale ccm...
  10. USSR

    JamiiForums Tanzania Yerico Nyerere: Jela sio sehemu salama, hakuna aliyekaa jela akabaki na msimamo wake uleule

    Jela sio sehemu salama, hakuna aliyekaa jela akabaki na msimamo wake uleule, Nampongeza Lissu kwakubadili msimamo wake na kuomba sasa maridhiano ya mezani, Ukikomaa utafia jela ndugu….. Waulize wapinzani wengine Afrika kilichowakuta. Yuko mtu kwasababu ya uelewa mdogo anaamini kuwa Marekani na...
  11. passioner255

    JamiiForums Tanzania Maridhiano hayo mnayoyaandaa ni kati ya nani na nani?

    Kama maridhiano yatakuwa kati ya nyie vyama vya siasa basi mfahamu mtafanya kazi bure.Maridhiano ya kweli ni kushugulikia mambo ambayo wananchi wanayataka kama kukomesha ufisadi,uongozi bora,kukomesha utekaji na kurudishwa waliotekwa,kuwajibishwa kwa wauaji Nk...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maridhiano bila katiba mpya ni kuendelea kuwapa ulaji CCM ya Samia na akina Kizigha

    Italifaa vipi taifa letu kuwa na maridhiano na Lissu akawa nje bila kuwa na katiba mpya? Tunapaswq kuwa na katiba ambayo Rais akitumia vobaya madaraka yake kwa manufaa yake,. rafiki zake na ndugu yake aweze kuwajibishwa. Hata kama Lissu atatoka na kuwa huru. Lakini kama hatuna katiba ambayo...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Sasa ni muda muafaka wa maridhiano Tanzania

    Maridhiano ni muhimu sana baada ya zile vurugu za Oktoba 29. Mjumbe wa Jumuiya ya madola-Chakwera yupo nchini kutafuta maridhiano. Isije kutokea upande wowote ukakwamisha maridhino kwa tamaa ya madaraka. Pia, isije kutokea Lisu akabezwa kukubali maridhiano. Hii ni kwa sababu huu mkwamo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni wazi sasa Tundu Lissu amenyoosha mikono juu na kuomba kutolewa Gerezani na kuingia katika meza ya Maridhiano na mazungumzo

    Ndugu zangu Watanzania, Gerezani hakunaga Ubabe hata Siku Moja, Gerezani ni Mahali pa Kurekebisha Tabia hata kwa mwenye Usugu na Nunda. Gerezani hakuzoeleki hata Siku Moja,Gerezani siyo kwa kuchezea ,Gerezani siyo Hoteli ya kitalii ,Gerezani siyo kwa kulilia ,Gerezani siyo kwa kuomba kwenda...
  15. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Vijana huru wa Tanzania watoa msimamo kufuatia matukio ya vurugu yaliyojitokeza Oktoba 29 hadi 31, 2025

    Sisi vijana huru wa Tanzania, kupitia Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko, tunatoa msimamo wetu wa dhati kufuatia matukio ya vurugu yaliyojitokeza tarehe 29, 30 na 31 Oktoba 2025. Matukio hayo yaliambatana na upotevu wa maisha, majeruhi, uharibifu wa mali na miundombinu, pamoja na kutoweka kwa...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania MPYA Stephen wasira :maridhiano ni lazima, bila hivyo kuna watu watakaa jela milele

    Kwa sasa kuna chapisho linalosambaa kwenye mtandao wa Facebook likiwa na nukuu inayomuonesha Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Stephen Wasira, akisema kuwa “maridhiano ni lazima, bila hivyo kuna watu watakaa jela milele.” Chapisho hilo limewekwa katika baadhi ya makundi ya Facebook. Je, kuna...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Paschal Mayala: CHADEMA wajishushe, wakubali maridhiano

  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Odero: Hakuna kikao cha CHADEMA kilichoazimia kukataa Maridhiano

    Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) Odero Charles Odero anadai kwamba hadi sasa hakuna kikao chochote rasmi kilichofanyika ndani ya chama hicho ambacho kimeazimia kwamba chama hicho hakitashiriki maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hapa nchini siku za usoni, Soma Pia: Odero...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Dino na Maridhiano Hawana la Kusema au kushauri suala la Lissu

    Dini zote kitu cha Kwanza ni kuhubiri Haki, kama za Yatima, Wajane n.k. sasa hivi nchi yetu ina Kesi ya "Uhaini" ambayo Kwa sasa imesimama Kwa muda Mrefu tokea ilipo aanza, hivyo kusababisha Haki za msingi za mtuhumiwa kuvunjwa. Mtuhumiwa yupo tayari kesi iiendele ili haki iweze kutendeka na...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Bila Suzan S. Kaganda kuwa IGP, tugomee maridhiano Samia Suluhu na Watanganyika. Wambura ni Pandikizi

    Jana nimekutana na balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe, Suzan S. Kaganda hazina ya Taifa. Baada ya kumsikiliza vizuri, nimeamini kumbe Nchi yetu bado ina Wazalendo. Tatizo Wazalendo CCM hawataki wakae karibu na Wananchi. Mfano Balozi Polepole alipelekwa Cuba, Balozi Suzan kapelekwa and Zimbabwe...
Back
Top Bottom