maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM mnataka maridhiano ya nini? Kuna kipi kibaya mlifanya?

    CCM watuambie makosa waliyofanya.. Sioni sababu ya wao kupiga magoti kuomba maridhiano bila kusema walipokosea.. CCM watuambie nini walifanya, sio kushinikiza maridhiano. Unataka kuridhiana na nani? 29.10.2025 tutaikumbuka Daima..
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Leo CCM wanalilia Maridhiano nini kimetokea.

    Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani. Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano. Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima...
  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Tufanye maridhiano sisi wenyewe ndani bila kutegemea watu wa nje

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Hapi amewataka Watanzania na Vyama vya Siasa Nchini kufanya maridhiano kwa kutumia mifumo ya ndani badala ya kusubiri Mataifa ya nje kuingilia masuala ya Nchi. Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Hananja: Changamoto za Jamii zitatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro

    Mchungaji Richard Hananja amesema changamoto zinazojitokeza katika jamii zinapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Juni 18, 2026, amesema historia inaonesha kuwa hata uhuru wa Tanzania ulipatikana kupitia...
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya ‘maridhiano’ yanayotajwa tajwa na ‘serikali’!

    Siulizi kwa kejeli wala kebehi. Nauliza kimaanani kabisa. Watu walioshinda uchaguzi kwa 98%…. Watu waliopigiwa kura milioni 31+…. Watu ambao serikali yao inawakamata na kuwaweka ‘wahaini’ jela na magerezani…. Watu ambao wanaamini kabisa kuwa watu wote waliouliwa Oktoba 29 waliuliwa kihalali...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba, Dkt. Juma Homera: Mchakato wa Katiba Mpya utaanza baada ya Maridhiano, muda ukifika Rais ataeleza

    Serikali kupitia Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera amesema mchakato wa kushughulikia suala la Katiba Mpya utatekelezwa na Serikali baada ya kukamilika kwa kazi za Tume inayoshughulikia masuala ya jinai pamoja na mchakato wa maridhiano unaoendelea nchini. Akizungumza June 17, 2026...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Malecela: Hili la maridhiano sijalielewa

    Waziri Mkuu mstaafu, John Samuel Malecela amesema kwa muktadha wa kisiasa hajaelewa falsafa ya maridhiano ina maana gani na kwa hali ya sasa inapaswa kuwa kati ya pande zipi. Ameyasema hayo Juni 1, 2026 katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV.
  8. T

    JamiiForums Tanzania CCM endeleeni kujidanganya- maridhiano bila Chadema ni kupoteza muda, chadema walisema no reform no election mkadharau, je uchaguzi ulifanyika?

    CCM ni sikio la kufa sasa hivi wanajidanganya eti wawatumie vyama vibaraka vyao kufanya maridhiano eti bila CHADEMA. Lakini wote tunakumbuka CHADEMA waliposema NO REFORM NO ELECTION watu wengi wa CCM na vyama vyao pandikizi waliwabeza sana na kuonesha kiburi kuwa uchaguzi utafanyika tu...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maridhiano bila Lissu kuachiwa bila mashariti hayawezekani. Hata Lissu akitoka hakuna kufanya maridhiano na serikali iliyojaa uoavu na ufisadi

    Nakubaliana asilimia na Zitto wa Kigoma kuwa Chademq 8nq wafuasai na wanachama wengi na chama kikubwa cha upinzani. Sisi wafuasi wa Lissu na Chadema tunajisika vipi kiongozi wetu ambae ana uchungu na taifa lake kuwekwa gerezani kwa kesi ya kisiasa ? Halafu kuna mpuuzi kama Wenje anahamasisha...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna project inafanywa na CCM ili ACT - Wazalendo iongoze maridhiano

    Baada ya Chadema kusimamia msimamo wake kuhusu maridhiano, CCM imekuja na project mpya. Wameamua kuitumia ACT kwa vile imekuwa ikitumika kuisafisha CCM kwa muda mrefu. Ili Zitto na chama chake tuwaamini wameambiwa wahoji matokeo ya tume ya Chande na wahoji kwanini viongozi wa majeshi...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Amani na Maridhiano

    Kwa kutoa nafasi kwa wadau wote, Tume iliunda mazingira ya mazungumzo ya kitaifa. Ripoti yake inawakilisha sauti ya Tanzania nzima katika kutafuta amani na maridhiano baada ya matukio ya ghasia. #TumeImesikilizaWananchi #TumeYaUchunguziReport Ripoti Ya Maridhiano
  12. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Stephen Wasira: Waliofanya Vurugu wapatikane na kukamatwa Ndipo Tufanye Maridhiano

    Ndugu zangu Watanzania, Soma hapa ujumbe wa Mheshimiwa Stephen Wasira Makamu Mwenyekiti wa CCM MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini kuwachukulia hatua za kisheria kupitia...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania WASIRA: Waliosababisha vurugu wapatikane ndipo tuingie maridhiano

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini kuwachukulia hatua za kisheria kupitia vyombo vya haki watu waliohusika na vurugu zilizosababisha madhara vikiwamo vifo. Amempongeza...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Dangote aipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji

    #HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini. Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
  15. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tume imemaliza kazi yake kuhusu yaliyotokea ,hatua inayofuata ni maridhiano hasa mbona kuna watu mnafukua makaburi?

    Natumaini tuko poa Kila mmoja anaona au aliona yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi wa mwaka jana 2025 ,baada ya machafuko ya October 29 ,Raisi aliunda tume ya kuchuguza kilichotokea na sababu ya yale mambo kutokea na tayri tume imekabidhi ripoti yake na mapendekezo yake. Baada ya tume...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda Issa: Tuondoe yanayoleta mivutano na chuki ili tufanye maridhiano

    Sheikh Ponda Issa Ponda Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Tuondoe yanayoleta mivutano na chuki ili tufanye maridhiano. Sheikh Ponda ameyasema hayo katika kipindi cha Kasri kupitia Crown Fm Mei 13, 2026 “Suala la maridhiano ni jambo kubwa sana kitaifa, lakini haliwezi kufikiwa bila...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Lema: Lissu yuko tayari kufia jela wala msihangaike na Maridhiano feki

    Lissu si mnavyofikiria, yuko tayari kufia jela [...] Alisema, "acheni nikae jela, sijavunja hata rekodi ya Mandela miaka27). Hata nikifia jela msiache kukipigania hiki tunachokiamini." - Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA
  18. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania TANZANIA Kutafuta Maridhiano ni Ujinga wa kisiasa! Elimu inaruhusu kuona ujinga huo

    Tume ya maridhiano iliyokuwa ya kutolea mfano ni ile ya Afrika ya kusini. Matatizo ya Afrika Kusini yalitokana na siasa za ubaguzi wa rangi. Baada ya siasa hizo kutoweka, Ndo ikaundwa Tume ya maridhiano. ilikuwa salama kwa sababu hakuna jinsi siasa hizo zinaweza kurudi nchini kwao. Kenya...
  19. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kwa propaganda hizi zilizoandaliwa na Tume ya Chande kweli mko serious mnataka Maridhiano? Bila ukweli na Uwajibikaji sioni Maridhiano yakifanikiwa

    Taifa liweze kupona msingi wake lazima huwe ukweli na uwajibikaji sasa hii Tume Jaji chande imejikita kwenye propaganda za kitoto Je kweli nyie mnataka kuliponya Taifa? Watanzania au wananchi wa karne hiii hamtaweza tena kuwadanganya kitoto tena...
Back
Top Bottom