maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Samia anataka MARIDHIANO ya Wakwe na Wakwe ndio maana hata mifano yake utamsikia 'Nyie wanangu', huwezi kuua Watu alafu utafute Suluhu nyepesiii

    Yaaan Maelefu ya Vijana wameuwawa Oktoba 29 . Lissu yupo Gerezani. Unaibananga CHADEMA . Utekaji, Mauaji ya wakosoaji . Alafu kirahisi kabisaa kabisaa, Samia anasema 'Marudhiani sio Udhaifu ', Tulidhiane wenyewe, Haina haja ya Kutoka Nje kutafuta msaada. Yaan as if zile Roho za Oktoba 29...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Maridhiano ACT na CCM Zanzibar ni unafki na danganya toto Watanzania kuona nchi ina maridhiano

    "Kuna, kuna, kuna, kuna unafiki ule unaofanyika Zanzibar wa kusema kitu tofauti na kufanya tofauti. Na mimi nasema mzungumzo ni moja ya nyenzo ambayo sisi kama Chadema tunaamini katika kushughulikia matatizo. Tunaamini kwenye mapambano tunaamini kwenye mazungumzo lakini sisi tumesema tunaamini...
  3. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ni udhaifu unaotokana na uroho

    CCM kwa uroho wao wa madaraka wanadhani maridhiano ni ushujaa! Penye haki hakuna maridhiano, hili ndilo CCM wasilolijua! Kilichofanyika Zanzibar ni kurudisha nyama kwenye sinia la pilau ili waote mfaidi, pongezi kwa mroho kujitambua na kujirudi. KWENYE HAKI HAKUNA MARIDHIANO.
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Maridhiano bila maelewano 'a forced reconciliation', ni kosa kubwa kwa CHADEMA

    Chadema wakikubali mtego wa CCM kuingia kwenye maridhiano yasiyo na tija watakuwa wamejimaliza wenyewe, madai yao yote yatafunikwa na blanketi la maridhiano. Chadema itakuwa imejiziba mdomo kwa mikono yake yenyewe kila kitu wataambiwa wasubiri matokeo ya maridhiano. Maridhiano feki hayana...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Walishindwa kumng'oa Lissu, sasa wamehamia kwa Heche ili waweke pandikizi akubali Maridhiano! Hamtafanikiwa!

    Script ni ile ile! Walishindwa kufanya Mbowe apate wapinzani dhaifu kwenye uchaguzi wa chama, Lissu akatia ngumu. Wamepambana weee, wamemwaga hela lakini wapi! Eti watu wa kumbackup Mbowe ndo akina Yericko Nyerere😂, mweupe utafikiri kichwani kuna pamba ndo apambane na mtu ka Lissu? Zikawekwa...
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Hawajui hata hayo maridhiano ni kitu gani

    Serikali iliyojiweka madarakani baada ya vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu wizi wa kura, kuua raia na kumuapisha ndani ya kambi ya jeshi.... wamekuja na drama kabambe iitwayo TUNATAKA MARIDHIANO Yaani, wao wamechezea katiba na mifumo yote ya haki, wameibaka demokrasia mchana kweupe na kuipa...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Unaua raia wako kisha unalazimisha maridhiano

    Mmemsikia akipayuka maneno ambapo hata akiulizwa ameongea nini, hajui. Anasema wanaharakati ni sawa na magaidi. Kwa hiyo Nyerere na wenzake waliopigania uhuru wetu walikuwa ni magaidi? Tangu kabla, wakati na baada ya mauaji ya kimbari 29 Oktoba 2025, bado utekaji, utesaji, upotezaji, ufiraji...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya shinikizo yana faida gani?

    Swali ambalo Watanzania wengi wanapaswa kujiuliza ni hili: Maridhiano yanayoshinikizwa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi yana faida gani ikiwa hayatajibu hoja za msingi kuhusu haki, uhuru wa kisiasa, utawala wa sheria na uaminifu wa mifumo ya uchaguzi? Maridhiano sio lengo lenyewe...
  9. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA TUNAPIGANIA MARIDHIANO YA DOLA NA Watanzania. Tusikate tamaa. Ndoto ya haki karibu itatimia

    Tunaamini katika ndoto ya kweli. Ndoto ya haki, ukweli na usawa. Sasa Chadema tutaifanya ndoto ya watanzania iwe ya kweli. Chadema hatupo kutaka kugawana madaraka na CCM ndio tuite maridhiano. Tunaamini katika maridhiano ya kweli. Walioamini kwenye maridhiano ya kugawana ela, vyeo na...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hongereni Zanzibari kwa Maridhiano. Tanganyika tumebaki tunatekana na kuuana kisa vyama! Uchumi wa Zanzibar unaenda kupaa

    Huwezi amini! Anayemteka Mtanganyika ni Mtanganyika, anayemuua Mtanganyika ni Mtanganyika, anayempoteza Mtanganyika nu Mtanganyika. Ukimuuliza kwanini unamfanyia hivyo kaka yako mdogo wako, anasema Mwansiasa. Ipo Siku akili za Watanganyika waliokabidhiwa Bunduki watagundua kwamba wanaua...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maridhiano hadi Vitisho vya Ugaidi: Tunalaani upotoshaji wa Rais Samia wa kubatiza Wapigania Haki jina la 'Magaidi'

    Wana-JamiiForums, Leo tarehe 9 Julai 2026, tumeshuhudia kile kinachoitwa 'Tamko la Pamoja la Maridhiano' kati ya CCM na ACT-Wazalendo huko Zanzibar. Wakati viongozi wakitabasamu mbele ya kamera, hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan imeacha maswali mazito na simanzi kubwa kwa mtu yeyote...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 Yaliyokubaliwa Katika Maridhiano ya Zanzibar

    Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo: 1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wanaobeza maridhiano mko dunia gani?

    Ni Utamaduni wa ajabu kabisa wa baadhi ya Wanaharakati au Baadhi ya wadau wa vyama vya Upinzani kupinga kila ambalo linafanyika but je ni Sawa sasa kupinga hata MARIDHIANO ya kumaliza shida na migogoro ya kisiasa ambayo tuko nayo? If Chama cha Siasa na Kiongozi wake kinasema kipo kwa ajili ya...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Vile vyama Uchwara, mbona havijalalamika kutoshirikishwa Maridhiano ya Zanzibar

    Kuna vyama vilishiriki uchaguzi Mkuu, vinalalamika kwamba CHADEMA Asifanye maridhiano na CCM bali maridhiano yafanywe na vyama vyote. CHADEMA anataka uwajibikaji kabla ya maridhiano na Msamaha. Vyama Uchwara vinadai CHADEMA Wasisikilizwe kwani nao wana haki kama chadema. Sasa mbona Zanzibar...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Maridhiano baina CCM na ACT Wazalendo - Julai 9, 2026

    Hii hapa: Jambo Tv https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Paternus Niyegira: Kuzuia Mikutano inatoa tafsiri mbaya, unatangaza maridhiano huku unafunga milango ya Watu Kupumua

    Kufungia Mikutano tunarudi zama ambazo si sahihi za kuleta utengamano wa kitaifa, hatujapona makovu ya Oktoba 29, Serikali inazungumza maridhiano, wakati huohuo inafunga milango ya watu kupumua kufanya siasa Inafanya Sheria zetu haziwezi kuona wahalifu hadi shughuli fulani zisitishwe, wanatoa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo aibukia suala la Maridhiano na Amani, adai Haki ndio Msingi wa yote

    Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini na Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Arusha Mrisho Gambo amesema kuwa kila mtu anahitaji kuona taifa lenye misingi imara ya maridhiano, amani na upendo, hata hivyo ili hayo yote yafikiwe amesema inahitajika kuwa na msingi wa haki. "Mtu yeyote anayehubiri amani...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tuna msiba usiokuwa na mwili wa marehemu. Mnachelewesha maridhiano kwa kuendekeza uwongo na propaganda

    MIMI ni tunda la Azimio la Arusha. Chini ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kupitia Azimio hilo, tulijenga taifa kwa sera ya Ujamaa na Kujitegemea. Ujamaa ulishindwa, lakini katika kujitegemea tulipiga hatua kubwa. Natetea hoja yangu kama ifuatavyo; Kwanza, tulijitegemea kifikra na...
  19. Mmawia

    JamiiForums Tanzania UVCCM YAWAVUNJA MOYO CDM KUELEKEA MARIDHIANO KWA KUKIITA CDM KAMA SACCOS.

    Umekuwa ni kama muendelezo wa maneno yasiyofaa kutoka kwa viongozi wa uvccm kwenda kwa wapinzani. Ni kweli chama chochote like kilichopo madarakani kinahitaji kuendelea kubakia madarakani mile. Lkn kulingana na wakati tulionao kwa sasa ambapo Hali ya utangamano wetu kama wana wa Tanzania siyo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kuunga mkono mamlaka ya umma kwa kubadilsiha sheria hizi

    Nianze kwa Istilahi hii ngeni. Mamlaka ya Kiraia. istilahi hii inapaswa kuwa ndio mwelekeo wa Watz wanaporefer maana ya Serikali. kwani kunekuwa na upotofu kuwa Serikali ni Watendaji wa Serikali. Hapana. Serikali ni sisi raia tunsotengeza mamlaka ktk nchi za kidemokrasia. Maana hii...
Back
Top Bottom